CHADEMA started as a docile NGO.

ZeMarcopolo

Platinum Member
May 11, 2008
14,013
7,209
Kiongozi mmoja wa CHADEMA amekaririwa akisema hivi:

" In any case, kwa wale wanaojua historia ya CHADEMA hawawezi kupuuza mafanikio ya Mbowe kama kiongozi. Wanaofuatilia mambo ya siasa Tanzania wanajua kwamba Mbowe kaitoa CHADEMA from a docile NGO to a respectable and winnable political party. So far sisi tunajua kwamba Mbowe amekwisha kuipeleka CHADEMA kwenye macho, masikio, akili na nyoyo za watanzania. Kinachofanyika sasa ni kuhakikisha kuwa CHADEMA inafika kwenye vidole vya watanzania ili ifikapo 2010 waweza kukunjua hivyo vidole katika sanduku la kura, na yote haya yanafanyika chini ya uongozi shupavu na imara sana wa Mhe Freeman Aikael Mbowe."

Siku zote malalamiko yaliyokuwepo juu ya CHADEMA kuendeshwa kama chama cha watu binafsi kumbe yana ukweli. Ili iaminike kuwa CHADEMA sio NGO tena basi ni LAZIMA itoke kabisa nje ya influence ya yule aliyeanzihsa hiyo "NGO" ambaye ni mkwe wake Mbowe.Iwapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi influece ya baba mkwe Mtei haitaondoka na CHADEMA itaendelea kuwa "NGO"
 
"Hahahahaha usinchekese mie, hivi hujui kama mie ndio niliyekuwa mmoja kati ya waanzilishi wa Chadema NGO?"

balozi.jpg

Sisi emu sasa hivi wamenipa ubalozi London na mwenye wivu....
 
Kwanza kabisa ningependa kuconfirm yale tuliyokuwa tunasema kwa muda mrefu sana tena sana kwamba chadema ilikuwa NGO na sasa imekuwa confirmed ! SHUKRANI KWA KITILA MKUMBO !!

Again, ladies and gentleman, the words have been confirmed ! They are now Facts ! i am able to say kwamba, hii ni vizuri sana kuhakikisha kile tulichokuwa tukisema siku nyingi !

Sasa kabla hatujaendelea....Subiri nilete tena ile listi ya waanzilishi wa chadema....maana nashindwa kuelewa, mtei alipokuwa kwenye mkutano alifahamika kama mwenyekiti wa chadema, na sio NGO then mbowe aliporithishwa Chadema...ikawa NGO to a winnable political party ? huh ? how is this possible ?? subiri nilete majina ya waanzilishi kwanza !
 
Kiongozi mmoja wa CHADEMA amekaririwa akisema hivi:

" In any case, kwa wale wanaojua historia ya CHADEMA hawawezi kupuuza mafanikio ya Mbowe kama kiongozi. Wanaofuatilia mambo ya siasa Tanzania wanajua kwamba Mbowe kaitoa CHADEMA from a docile NGO to a respectable and winnable political party. So far sisi tunajua kwamba Mbowe amekwisha kuipeleka CHADEMA kwenye macho, masikio, akili na nyoyo za watanzania. Kinachofanyika sasa ni kuhakikisha kuwa CHADEMA inafika kwenye vidole vya watanzania ili ifikapo 2010 waweza kukunjua hivyo vidole katika sanduku la kura, na yote haya yanafanyika chini ya uongozi shupavu na imara sana wa Mhe Freeman Aikael Mbowe."

Siku zote malalamiko yaliyokuwepo juu ya CHADEMA kuendeshwa kama chama cha watu binafsi kumbe yana ukweli. Ili iaminike kuwa CHADEMA sio NGO tena basi ni LAZIMA itoke kabisa nje ya influence ya yule aliyeanzihsa hiyo "NGO" ambaye ni mkwe wake Mbowe.Iwapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi influece ya baba mkwe Mtei haitaondoka na CHADEMA itaendelea kuwa "NGO"

Mzee leo nasherehekea hapa nilipo ! They might under-estimate what they said but to KADA this is big ! and you know it mr zemarcopo ! hapa yatachambuliwa mengi sana, kuanzia familia zao za mwanzoni hadi hivi sasa walipo na nini malengo, talking about family affairs wow.......!
 
..chama chochote kile cha siasa kinaanza na watu wachache na baadaye kutanuka na kuwafikia wananchi walio wengi.

..hata TANU, ASP,AFRO-SHIRAZI,CUF,NCCR,....ukivichunguza unaweza kukuta mwanzo wake hautofautiani sana na ule wa CHADEMA.

..hivi Mzee Mtei ana influence gani huko Chadema? mbona Mwalimu Nyerere ambaye ameshafariki bado ana influence ndani ya CCM? majuzi nimeona wamezuru kaburi la Baba waTaifa kabla ya kuanza mkutano wa NEC!!
 
chama chochote kile cha siasa kinaanza na watu wachache na baadaye kutanuka na kuwafikia wananchi walio wengi
.
joka ni kweli unavyosema hakuna kitu kinaanza kwa kuzuka tu kama uyoga na kuwa na watu kibao.
..hata TANU, ASP,AFRO-SHIRAZI,CUF,NCCR,....ukivichunguza unaweza kukuta mwanzo wake hautofautiani sana na ule wa CHADEMA.
Hivi vilianza kama NGO?
 
..chama chochote kile cha siasa kinaanza na watu wachache na baadaye kutanuka na kuwafikia wananchi walio wengi.

..hata TANU, ASP,AFRO-SHIRAZI,CUF,NCCR,....ukivichunguza unaweza kukuta mwanzo wake hautofautiani sana na ule wa CHADEMA.

..hivi Mzee Mtei ana influence gani huko Chadema? mbona Mwalimu Nyerere ambaye ameshafariki bado ana influence ndani ya CCM? majuzi nimeona wamezuru kaburi la Baba waTaifa kabla ya kuanza mkutano wa NEC!!

Is this a serious question?
 
wewe unasema au unaongea tu ?? umesikia yaliyosemwa before ? chadema kilianza kama docile NGO na hapo hapo mbowe akakitoa toka NGO hadi kuwa winnable (pengine whinnable) political party....mzee mtei alikuwa anaongoza nini ? NGO au party ? je mbowe alirithishwa NGO au political party na baba mkwe wake ? una full details juu ya hii NGO ? unajua kwamba family ties are not involved, kama unazo hizo full details wee zimwage tu na sio kusema kila kitu kilianza hivyo hivyo ! ASP unajua ilikuwa mwaka gani ? tena baada ya tukio gani muhimu ? je nayo ilikuwa NGO ? je chadema ilikuwa formed baada ya tukio gani muhimu ? what motivated wao kufanya hivyo ? hii kitu yaani ni garbage sana ! na tena nashangaa watu kuburuzwa hivi na familia moja....just because wao ni wakwe !!!! no, am sticking to this bro !

Ukisema mwalimu ambae ulimrefer kama "BABA WA TAIFA" basi jua kwamba hiyo influence sio ndani tu ya ccm peke yake, bali kwa tanzania nzima na ndio maana akaitwa baba wa taifa ! na kama angekuwa ana influence ndani ya ccm pekee basi angeitwa baba wa ccm !

sasa tumchambue mzee mtei !

mzee mtei alimrithisha mkwe wake MBOWE chama, hivyo atakuwa na the biggest influence, yeye akiwa kama muasisi wa chadema (angalau member wa chadema katuambia chadema ilikuwa NGO mbowe aka-take over na kuwa chama kizuri)....hadi hapa hutajaona kuna UFISADI tu ??

Ndugu watanzania, hadi hapa nadhani tumetekwa akili na hawa chadema !
 
Zagorakis guess what, my computer has eyes. It has seen something. Lakini endelea kuenjoy uhuru wako.
 
..chama chochote kile cha siasa kinaanza na watu wachache na baadaye kutanuka na kuwafikia wananchi walio wengi.

..hata TANU, ASP,AFRO-SHIRAZI,CUF,NCCR,....ukivichunguza unaweza kukuta mwanzo wake hautofautiani sana na ule wa CHADEMA.

..hivi Mzee Mtei ana influence gani huko Chadema? mbona Mwalimu Nyerere ambaye ameshafariki bado ana influence ndani ya CCM? majuzi nimeona wamezuru kaburi la Baba waTaifa kabla ya kuanza mkutano wa NEC!!

Pitia tena historia ya hivyo vyama Jokakuu.

Wakati CHADEMA inataka kubadilika toka kuwa NGO kuelekea kwenye Political party ilibidi kwanza wabadilishe katiba, Lini limefanyika jambo hilo? Au katiba ya NGO inaweza kutumiwa na political party halafu kila kitu kikawa Ok?
Tukisema kuna vyama feki tunaonekana wapinga demokrasia, kumbe sisi ndio tunaitetea demokrasia kwa kuwafumbua macho wale wanaofuata fuata blindly.
 
Tukisema kuna vyama feki tunaonekana wapinga demokrasia, kumbe sisi ndio tunaitetea demokrasia kwa kuwafumbua macho wale wanaofuata fuata blindly
.

au pengine katiba ilibadirishwa kisirisiri yaani kifamilia ili ilenge zaidi maslahi ya familia ! lol.. kwi kwi kwi..hapana bana haikubadirishwa wasituzuge !

hii bana ngoma bado mbichi kabisa ! watu tukisema tuangalieni uongozi wa chama tawala na pia wapinzani mnasema sie tuendelee tu kuwachunguza hao wapinzani na mnaishia njiani, lakini sawa ! hatutokata tamaa....we are getting there by the grace of God!

mzee kuna wale wengine humu wanajua kwamba wanatetea ujinga, lakini wao wamo tu ! sie tuendelee kutetea demokrasia bana kwa wale wasioona vizuri zaidi ! maana angalau wanasema mwenye macho haambiwi ona, lakini sio wote wenye macho huona !
 
kadaMpinzani,

..mimi naona kama una-make a big deal out of nothing.

..nilivyomsoma Kitila nadhani ameteleza tu katika kujieleza.

..ninavyokumbuka mimi ni kwamba Mbowe alichaguliwa na vikao vya chama kuwa Mwenyekiti. kama unataarifa ambazo ni kinyume na hivyo unaweza kutuwekea hapa.

..Mwalimu Nyerere bado ana influence ndani ya CCM lakini wewe huoni tatizo. kabla ya kikao cha Butiama wajumbe wa CCM-NEC walizuru kaburi la Nyerere. hivi kaburi hilo lina mahusiano gani na vikao, sera, na maamuzi ya chama?

NB:

..masuala ya kina Mbowe na Mtei ni mambo madogo-madogo mno.

..bora ungejielekeza ktk kujadili/kulipinga pendekezo la Chadema kuhusu Majimbo.
 
Pitia tena historia ya hivyo vyama Jokakuu.

Wakati CHADEMA inataka kubadilika toka kuwa NGO kuelekea kwenye Political party ilibidi kwanza wabadilishe katiba, Lini limefanyika jambo hilo? Au katiba ya NGO inaweza kutumiwa na political party halafu kila kitu kikawa Ok?
Tukisema kuna vyama feki tunaonekana wapinga demokrasia, kumbe sisi ndio tunaitetea demokrasia kwa kuwafumbua macho wale wanaofuata fuata blindly.
Nakupata vilivyo hapo,kama wana Chadema wenyewe wamekiri kuwa ilianza hivyo basi kuna ulakini hapo.Na kama wanatumia katiba ya Nothing Going On(NGo) basi kweli jamaa ni feki hawa nathubutu kusema hivyo.

Kuna watu wanafata Mkumbokrasia
 
kadaMpinzani,

..mimi naona kama una-make a big deal out of nothing.

..nilivyomsoma Kitila nadhani ameteleza tu katika kujieleza.

..ninavyokumbuka mimi ni kwamba Mbowe alichaguliwa na vikao vya chama kuwa Mwenyekiti. kama unataarifa ambazo ni kinyume na hivyo unaweza kutuwekea hapa.

..Mwalimu Nyerere bado ana influence ndani ya CCM lakini wewe huoni tatizo. kabla ya kikao cha Butiama wajumbe wa CCM-NEC walizuru kaburi la Nyerere. hivi kaburi hilo lina mahusiano gani na vikao, sera, na maamuzi ya chama?

NB:

..masuala ya kina Mbowe na Mtei ni mambo madogo-madogo mno.

..bora ungejielekeza ktk kujadili/kulipinga pendekezo la Chadema kuhusu Majimbo.

there you go ! just like i said kwamba mta-underestimate aliyosema kitila mkumbo ! yeye ateleze, mbowe ateleze (ballali kauliwa na ccm) halafu wasitoe maelezo ?? tuwaache tu waende hivi hivi ? labda mie sio kada !

kama mwalimu ana influence ndani ya ccm, speaking of ccm as a political party or an NGO ? Sidhani kama una uhakika na unachokiongea !

Mwambie Kitila Mkumbo aje hapa na aeleze kwa kina alikuwa na maana gani, otherwise the saga continues....

aliteleza kwa kusema mbowe kaitoa chadema from docile NGO to winnable political party, ina maana alikuwa tu anamtetea mbowe for no reason ? yaani ilibidi atunge kitu just kumtetea huyo mbowe ? no, bana..
 
Nakupata vilivyo hapo,kama wana Chadema wenyewe wamekiri kuwa ilianza hivyo basi kuna ulakini hapo.Na kama wanatumia katiba ya Nothing Going On(NGo) basi kweli jamaa ni feki hawa nathubutu kusema hivyo.

Kuna watu wanafata Mkumbokrasia

Mzee hapa ni pabichi mno ! tena sana, na nshaanza kuona watu wanataka tulipuuzie hili suala ! Lakini ohh no !

NGO to winnable political party ? if under NGO, who was it registered to ? what were the intentions ? does chadema's intentions and those intentions of that NGO relate ? yaani........!
 
[B said:
jokaKuu[/B];215011]

..nilivyomsoma Kitila nadhani ameteleza tu katika kujieleza.
QUOTE]

Sawa, hivi ndivyo ulivyomsoma wewe. Lakini kwa vile yeye ni mwana JF tena sasa hivi yuko online, basi cha msingi zaidi ni yeye mwenyewe kutoa maelezo sio kila mtu aanze kuspeculate maana yake!!!
 
[B said:
jokaKuu[/B];215011]

..nilivyomsoma Kitila nadhani ameteleza tu katika kujieleza.
QUOTE]

Sawa, hivi ndivyo ulivyomsoma wewe. Lakini kwa vile yeye mwana JF tena sasa hivi yuko online, basi cha msingi zaidi ni yeye mwenyewe kutoa maelezo sio kila mtu aanze kuspeculate maana yake!!!

Kwa uchokozi, nitamuuliza Irene Mark hili swali (yule mwandishi wa freemedia ama tanzania daima la mbowe) pamoja na yule hellen katabazi sijui !

Mzee unajua kitila mkumbo ni mtu makini sana humu ndani i have to acknowledge that na ndio maana naamini kasema kitu cha ukweli na anachokijua kwamba chadema was a docile NGO !
 
kadaMpinzani,

..achana na hayo mambo ya tit-for-tat kuna mambo mengine ya maana ya kuwabondea CHADEMA kuliko kuzungumzia familia ya Mbowe na Mtei.

..hivi umefuatilia pendekezo la Chadema kuanzisha majimbo Tanzania? I think you have a better opportunity kuwakandia[which you like] ktk suala hilo, kuliko haya mambo ya familia.

NB:

..yale mambo ya CCM kuzuru kaburi la Mwalimu kabla ya vikao limekaa kiaja-ajabu sana. sasa kama unataka kuzungumzia "influence" ungezungumzia hiyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom