CHADEMA ni lazima mtujibu maswali haya!!

You are so fun man! Hivi hapo umeona kuna swali la kupelekwa ofisini? Huyu mleta maada ametumia polite way ya kuwataka muijadili akili ya Shonza, sasa ofisi gani ya CHADEMA ina muda wa kujadili huu ujinga unaofanywa na watu waliokwisha kufukuzwa? Halafu kuna hoja gani ya msingi hapo ya kujibiwa na chadema.

Cha msingi hapa ni kuijadili hiyo status ya shonza na tupime akili zake kama zinatosha hata kuwa balozi wa nyumba kumi!

Naamini wakati anaingia BAVICHA alikuwa na akili timamu lakini tangu aanze kutumiwa na CCM, na akili ikapotea ghafla. Kwa sasa tumvumilie tu!
Inaweza kuwa kweli au isiwe kweli.
Cha msingi ni kwamba, huyu binti ana akili za wastani. Kukaa kwake kimya muda wote wa uongozi wake kumewafanya watu wasijue kama anazo hau hamnazo.

Sasa kwasababu anaropoka hovyo, ndipo watu wanafahamu uelewa wake.
 
Kweli kakurupukia siasa,najua hajui kuwa CCM wamewahi kupeleka Malawi ule mgari mkubwa Wa TOT kumpigia Kampeni Bakiri Muluzi wa UDF wakaishia kupopolewa mawe.Anachoshangaa CDM kwenda Kenya ndani ya A.Mash ni nini kama si ujinga?Kaa ujifunze na kabla huja post chochote omnba watu wenye uelewa wakusahihishe kwanza.Hii ndio aina ya graduates tulionao?Uelewa sifuri kabisa
 
Kwanza sio kila mwenye kuvaa koti jeupe ni Dr.Usione huyo juliana shonza kuhudhuria chuo na ku graduate ukajua kasoma sana mana wengi wanavyuo wa sikuhizi tunawaona kazi ni mbili tu pale vyuoni! kujiuza kutwa nzima usiku na mchana na kushindana kuingia sokoni kupata pamba zakuwavutia wanaume na mwisho wa siku ana graduete,sasa huyo atakupa mawazo gani ya maana? huyo atakuwa anasumbuliwa na ARV feki!
 
Hivi Shehe Ponda anawakilisha uislamu?, Mtu akiponda tabia zaShehe Ponda anakuwa ameponda uislamu?, anyway point ya musingi ya kuitambua vyema na kuielewa ni kwamba Matola ameshasema mwanzo kuwa si mwana CHADEMA, Kwa hiyo hiyo ni kauli yake haihusiani na CHADEMA,

Tofauti na hapo utakuwa unajenga propaganda ya uwongo kwa sababu unazozijua mwenyewe.
Mkiambiwa mna element za udini mnakuja juu, kumbuka hata kama si kweli ila manenoneno yenu yanatia shaka, najua utatokwa na mapovu na matusi ila yaangalie maneno yako kabla hayajakutoka mdomoni.

Ponda anayo matatizo yake na yanashughulikiwa kwa mujibu wa sheria za Nchi tatizo liko wapi hata aonekane ni threat kwako? Mbona hakuna mshabaha na alichochangia huyo ndugu? HUU UBAGUZI WA KIIMANI UTAJATUGHARIMU WATANZANIA SIKU MOJA NYIE ENDELEENI TU!!!!

......

Sheikh Ponda Fellowship wala hupati tabu kuwagunduwa.
 
shule-+madwati.JPG
 
KAAMUA KUWA MTUMWA WA MAFISADI humuoni Dr KIGWA......! ndo humo humo.
 
Sijakupaka, ila nahitaji maelezo hasa kutoka kwa Dr Kitila Mkumbo wa UDSM kwamba hiki ndicho kiingereza wanachowafundisha watoto zetu siku hizi? maana huyu aliwahi kuhoji Elimu ya Dr Slaa, sasa nashindwa kuelewa kama ana sifa hizo kweli za kuhoji Elimu ya Dr Slaa?

Halafu ni mhitimu wa ualimu! Unatarajia matunda yake yatakuwaje? Umefanya vyema kumuuliza Kitila Mkumbo maana ndiye anawafundisha.
 
Last edited by a moderator:
Amesahau jinsi ccm inavyopata misaada kampeni kenya na kutoa mpaka Gari la T.O.T malawi

Juliana Shonza alikuwa makamu wa bavicha na aliaminiwa kwenye nafasi hiyo kutokana na usomi wake pia kubalance swala la jinsia Frank speaking by the time anachaguliwa alionyesha kama mwanasiasa anayechipukia na kukawa na imani kuwa akikaa na wakongwe wa siasa kama akina slaa, Mbowe, Lissu n.k angechota zaidi na kuwa hazina tatizo aliingia taamaa akaanza kutumika kwa vijisent vichache hapo ndipo akaanza kuporomoka kama radi! chadema kwa kujua hili walimuonya mara kadhaa hakubadilika mwishowe katimuliwa.

Si unaona bungeni kuna hata maprofessor na madaktari(phd) wa ccm lakini kwa tamaa ya pesa na hofu ya nafasi zao wanashiriki kupitisha upuuzi ambao hata hawa vijana wetu walilamba zero juzijuzi wasingepitisha,.chadema ipongozwe kwa kuchukua hatua stahiki baana ya kubaini upungufu!
 
... Tunaomba Chadema mtueleze huwa mnatumia vigezo gani kupata viongozi wenu?

Vetting ya wakati ule kwa hakika haikuimarishwa sana. Hivyo hatutarajii haya kujitokeza tena. Huyo 'mdada' nakuhakikishia muda si mrefu atasahaulika katika majukwaa mara moja hapo hapo CCM na Tanzania kwa ujumla kisiasa.
 
Nasikitishwa sana licha mimi kutokuwa Mwanachama wa Chadema bali ni Mzalendo wa kweli ninyeipenda nchi yangu na ninaamini kwa sasa ni Chadema peke yake ndio tegemeo letu.

Swali, hawa watoto tulioambiwa na Kitila Mkumbo kwamba hawajabalehe waachwe wabalehe kwanza, mimi pamoja na utu uzima wangu lakini huwa natembelea Facebook, licha ya upuuzi mwingi unaoandikwa na Juliana Shonza na shoga yake Mtela Mwampamba leo nimestushwa kukuta status ya Juliana Shonza kuipiga kijembe Chadema kwamba kwa nini inashabikia siasa za Kenya huku akisahau John Pombe Magufuri alikuwa Kenya kumuunga mkono rafiki yake Raila Odinga.

Sasa kilichonipelekea mpaka kuomba ufafanuzi kutoka Chadema ni huyu binti kumalizia maelezo yake kwa kusema Charity Begun at Home!! hivi huyu ndio Graduate wa UDSM? Tunaomba Chadema mtueleze huwa mnatumia vigezo gani kupata viongozi wenu?

Acha ushamba wewe ni magamba tu huwezi kujificha tusikugundue, waliokutuma wamekugeuza kinyago fulani hata humu JF tunakuona kituko fulani kaa ujue kwa jinsi yoyote huwezi kuikashifu na kuitukana CHADEMA huku tukinyamaza. "No stone will be left unturned".
 

Haya ni matunda ya CCM a.k.a magambagamba.

Juliana Shonza alikuwa makamu wa bavicha na aliaminiwa kwenye nafasi hiyo kutokana na usomi wake pia kubalance swala la jinsia Frank speaking by the time anachaguliwa alionyesha kama mwanasiasa anayechipukia na kukawa na imani kuwa akikaa na wakongwe wa siasa kama akina slaa, Mbowe, Lissu n.k angechota zaidi na kuwa hazina tatizo aliingia taamaa akaanza kutumika kwa vijisent vichache hapo ndipo akaanza kuporomoka kama radi! chadema kwa kujua hili walimuonya mara kadhaa hakubadilika mwishowe katimuliwa.

Si unaona bungeni kuna hata maprofessor na madaktari(phd) wa ccm lakini kwa tamaa ya pesa na hofu ya nafasi zao wanashiriki kupitisha upuuzi ambao hata hawa vijana wetu walilamba zero juzijuzi wasingepitisha,.chadema ipongozwe kwa kuchukua hatua stahiki baana ya kubaini upungufu!
 
Pole sana! Lecturer hana muda wa kufundisha 'tense'. Kama shonza alikuwa nunda primary alitakiwa achangamke sekondary ili asome vizuri Mabala the Farmer, Hawa the Bus Driver nk. kwa kidato cha 1 na 2. Kisha kidato cha 3 na 4 ashughulike na word formation pamoja Language use kabla hajaenda 'A' level kwa sababu huko ndiko pre university na mwanafunzi hatarajiwi kufundishwa kiingereza ndiyo maana wana specialize into combinations. Chuo kikuu kule ni kuandaliwa kuwa professional kama hukuiva o-level (halafu wewe si unajua mambo 60% magamba zeros, leo unamshangaa shonza ambaye amejitahidi na unataka kumzulia Kitila: Ushindwe) hakuna muda tena maana kule ni specialization tu. Kitila anafundisha psychology siyo kiingereza mh wa magamba au shule yako bora ya shonza nini?
 
Acha ushamba wewe ni magamba tu huwezi kujificha tusikugundue, waliokutuma wamekugeuza kinyago fulani hata humu JF tunakuona kituko fulani kaa ujue kwa jinsi yoyote huwezi kuikashifu na kuitukana CHADEMA huku tukinyamaza. "No stone will be left unturned".
Msukule Mweusi bahati mbaya sina muda wa kujadiliana na misukule, ila umenisikitisha kujitambulisha na wewe ni miongoni mwa Wanachadema, kweli Chadema bado ina kazi nzito inaonekana ni kokolo lililovuwa mpaka vyura na makenge!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kukosa sifa kadhaa ndiyo maana cdm wakafukuzwa kwani walikuwa wanakuzwa/kulelewa kama wengine, wao wakajifanya wajanja na kujiona wameshaelimika vya kutosha kumbe bado! ccm hawalei kwani magalasa mengi kule.
 
Yeah , kuna tatizo , na wala si CDM tu bali nchi nzima , kuna vijana wanapewa uongozi kwa kuzingatia makaratasi yao ya Shule yalivyo , bali uwezo wao binafsi wa kudadavua mambo ni sifuri kabisa , mfano mzuri ni Mwigulu , hebu fuatilia mazungumzo yake au hata maandiko yake , huwezi kuamini kama ana elimu hata ya sekondari ya kata , Mwingine ni Mwampamba , hebu fuatilia ile Barua aliyomwandikia Dr Slaa akilalamika kuhusu kuenguliwa BAVICHA , Huwezi kuamini kama kijana huyo amemaliza hata darasa la saba ! Very poor ! Halafu huyo Eti ni Mwalimu , Shame ! Kuna haja ya kuangalia kwa jicho lingine namna tunavyoweza kupata viongozi , haya mambo ya vyeti yatatuponza , kumbuka kuwa kuna wanaoingia kidato cha kwanza bila kujua kusoma wala kuandika ! Hilo linawezekana hata kwa elimu ya juu nchi hii , TAFAKARI !
 
Back
Top Bottom