CHADEMA ni bora mvunje chama ikiwa ...!

Jibu lipo wapi,wakati mnaonekana kuishiwa nguvu ,mnalalamika kila siku ,sasa mmeanza kupandishwa kizimbani ,kuna udhaifu ambao umeanza kuwakumba ,wenye neema na wanaoweza kupambana ni hawa mijini ila mikoani huko bado mmewaacha na yakiwafika mnakuwa hamna msaada , CDM inawatetea kwa wito gani hawa.

Kama huoni jibu kwenye mlolongo wa post zake I dont know how I can help, except niseme siku nyingine ukipewa taarifa ya ku-post hapa basi take your time and read it before pressing the button, vinginevyo utajikuta unapost maswali na majibu at the same time kama ambavyo umefanya kwenye hii thread.
 
Nawapa ushauri wa bure viongozi wote wa Chadema ikiwa mnatishiwa kuuwa basi ushauri wa bure ni kuvunja hicho chama.

Haiwezekani siku hizi kila kiongozi wa CDM anatishiwa kuuwawa mnatishiwa na hamuogopi kuacha kazi, basi jamaa hao wataanza kufanya kweli.

Kama hamuogopi basi tangazeni tu kama walivyotangaza Uamsho kuwa akiuliwa kiongozi wao mmoja basi upande waliouwa nao wamtayarishie mwenzao kaburi ,Wakiwa na maana ya TIT FOR TAT ,hakuna kutishana tena.

JE CDM bado mnaogopwa kutishwa ,kama jawabu ni ndio basi hamfai na vunjeni chama ,kama jawabu ni hapana basi jibuni mapigo hadharani.

Nina wasiwasi tayari mmeshaonyesha kuwa ni waoga na ndio maana ,mna kamatwa kamatwa kama ndezi na kuswekwa rumande.Mwezi uu tumeshuhudia mkikurupushwa kama ngedere ,kila siku kizimbani ,mambo haya mtayakomesha lini.
Urojo mbichi huu , rudi jikoni kaupike upya aisee.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jibu lipo wapi,wakati mnaonekana kuishiwa nguvu ,mnalalamika kila siku ,sasa mmeanza kupandishwa kizimbani ,kuna udhaifu ambao umeanza kuwakumba ,wenye neema na wanaoweza kupambana ni hawa mijini ila mikoani huko bado mmewaacha na yakiwafika mnakuwa hamna msaada , CDM inawatetea kwa wito gani hawa.

Usiposema watasikiaje wakukusudiao au wengine wasioyafahamu hayo myakusudiayo? Jamii imefunguka sasa mnahaha kuendelea kuwadanganya lakini hawadanganyiki.
 
Mkuu Mwiba, mbona hujawapa ushauri genuine kama mlivyofanya huko Zenj, baada ya kuona mnasumbuliwa si mlitafuta bwana na mkaolewa sasa mmetulia!. Nilifikiri utawashauri nao kama wanaone wanaonewa nao watafute bwana, waolewe na kutulizwa kama mlivyotulia!.

Kwa maoni yangu, Chadema ni kidume, sio kama kile chama chenu huko, wenzenu hawatafuti bwana kuolewa kama mlivyofanya nyinyi, na sasa hivi nimesikia fununu mmepata na bwana mwengine wa Kiarabu, anataka kuwawowa jumla nyie na mume wenu wa huko, hiyo ndio mnawatumia hao vitimbakwiri wa uamsho ili kudai talaka ili mwarabu aoe jumla!.

Acha Pumba wewe...watu wanadai nchi yao wewe unaleta habari za Kuolewa na waarabu...hawa wanaodai Tanganyika wanataka kuolewa na nani ?

Badala ya kumwaga Pumba hapa washauri watu wanaodai Tanganyika waanzishe UAMSHO yao, idai Tanganyika Huru..au wewe unakubaliana na mfumo huu wa muungano ?

Ndio maana CCM imesema itatawala kwa miaka 100 ijayo kwa sababu inajua kuna watu wamejaa pumba vichwani kama wewe
 
Kusema kuwa umetishwa si kuwa unaogopa vitisho, Mafisadi ccm wamishiwa mbinu na sasa wanatisha viongozi wetu, Kuwatisha viongozi wetu ni kutisha umma wawatanzania na kamwe hawataweza.

Kutishwa viongozi wako ni kutishwa umma wa waTz ,ondoa hii msemo.
Viongozii wenu wote ikiwa wamefikia kutishwa ,ni bora mkavunja chama kwa usalama wenu ,na ikiwa mnatishwa mkaogopa basi hamfai ,mumeshagundua kuwa mnatishwa sasa mnaogopa kitu gani ?

Hivi mnatishwa au mnaambiwa kweli ?
 
Mkuu Mwiba, mbona hujawapa ushauri genuine kama mlivyofanya huko Zenj, baada ya kuona mnasumbuliwa si mlitafuta bwana na mkaolewa sasa mmetulia!. Nilifikiri utawashauri nao kama wanaone wanaonewa nao watafute bwana, waolewe na kutulizwa kama mlivyotulia!.

Kwa maoni yangu, Chadema ni kidume, sio kama kile chama chenu huko, wenzenu hawatafuti bwana kuolewa kama mlivyofanya nyinyi, na sasa hivi nimesikia fununu mmepata na bwana mwengine wa Kiarabu, anataka kuwawowa jumla nyie na mume wenu wa huko, hiyo ndio mnawatumia hao vitimbakwiri wa uamsho ili kudai talaka ili mwarabu aoe jumla!.

Ikiwa wanatishwa na wakaogopa basi wavunje chama ,ila ikiwa wanaambiwa kweli basi na wao watangaze vita kuwa ,akiuliwa kiongozi wa CDM na wao wanaua mmoja.

Halafu kumbe wewe dege ! Hayo maneno yaliokoza ni yako ,pole sana hebu yasome tena utajiona umejiweka uwanjani
 
Back
Top Bottom