Uchapakazi wa Hayati Magufuli pamoja na usaliti ya viongozi wa CHADEMA umekimaliza chama

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
3,718
11,708
Ndugu wadanganyika wenzangu,

Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo;

1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi.

2. Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya taifa ili kurejesha biashara tulizopoteza kwa nchi jirani.

3. Kujenga barabara nchini kwa kuzingatia ubora

4. Kujenga shirika la ndege la taifa

5. Kujenga miundombinu ya kisasa kwa lengo la kuondoa misongamano ya magari katika majiji, kuimarisha usafiri wa majini kwa kuboresha na kuweka miundombinu mipya.

Baada tu ya kuapishwa kuwa rais wa JMT, hayati Magufuli alianza kuyatekeleza mengi mazuri ya yaliyomo kwenye ilani ya CHADEMA, mpaka CHADEMA wenyewe wakakiri kuwa "anatekeleza ilani yetu".

Lakini JPM hakuishia hapo, alikwenda mbali zaidi na kutekeleza hata mengine mazuri ambayo hayakuwepo kwenye ilani za vyama vya siasa, kwa mfano;

1. Afya (ujenzi wa hospitali, vituo vya afya na zahanati nchi nzima),

2. Elimu (bure kwa wototo wote),

3. Madini (kudhibiti utoroshwaji wa madini na wizi uliokuwa unafanywa na makampuni ya mabeberu kwa miaka nenda rudi, ikiwa ni pamoja na kupitia upya mikataba ya madini nchini),

4. Ukusanyaji wa mapato (kuanzishwa kwa mfumo wa malipo kwa control namba na kuwaondoa wahuni waliokuwa wamejichomeka katikati kama mawakala wa kukusanya fedha za serikali),

5. vita dhidi ya rushwa (hata wale ambao walizoea kuiweka serikali mfukoni walifikiwa na kunyooshwa)

6. Nishati (ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere na kuacha kununua umeme wa bei ghali kutoka kwa makampuni ya kihuni na kifisadi)

Kwa upande wa CHADEMA hoja zao zote zikayeyuka kama barafu juani, mbaya zaidi mwaka 2015 uongozi wa chama ulimpokea Edward Ngoyai kuwa mgombea wao wa urais, mtu ambaye walitumia zaidi ya miaka mitatu wakiwaaminisha watanzania kuwa ni fisadi papa na hasafishiki. Kwahiyo hoja ya kupinga ufisadi na wizi serikalinin nayo ikawa imeishia hapo, hoja yao kuu ikabaki "kuwaondoa CCM madaraka" ambayo kimsingi siyo hoja bali ni matamanio tu ya chama chochote cha upinzani.

Fast forward, ni 2023. Hayati Magufuli na utendaji kazi wake uliotukuka ametangulia mbele za haki, CHADEMA wameingia kwenye ndoa isiyo rasmi na CCM kwa hoja ya maridhiano! Kwasasa hawana tena ujasiri wala uhalali wa kumkosoa rais. Hoja zao ni kumkejeli hayati JPM, kukejeli ajira ya bodaboda, mara ooh "watoto wetu wana uraia wa Marekani", mara ooh "tunataka mtoto wa Majaliwa asome shule ya kata" na ujinga ujinga mwingine.

Kwakifupi CHADEMA wanaonesha dalili za chama kilichofilisika kisiasa, wamebaki kuwa wachumia tumbo kama vyama vingine vya upinzani.

Inasikitisha na kuumiza kuona mahali walipo leo hii, ukizingatia katika kuunga mkono harakati zao kuna watanzania walipoteza maisha, mali zao na hata kupata ulemavu wa kudumu. Kuna watu waliwekeza nguvu, akili, muda na mali zao kwenye harakati za hicho chama wakiamini wanajenga chama madhubuti mbadala wa CCM, lakini matokeo yake ndio kama haya, uhuni na usanii mwingi.

Rai yangu. Kama mheshimiwa Mbowe umekuwa compromised, kama ile kesi ya ugaidi ilikuwa ya kweli na umeachiwa kwa masharti maalumu, basi jiuzulu uenyekiti wa chama na ukae pembeni. It's a sin to take down the party with you.

Pole ndugu yangu J.J Mnyika, nadhani tangu 2015 hauna amani moyoni na sarakasi za chama chako, hata hilo la wabunge 19 walikuacha gizani, wakati unafanya press unatoa msimamo wa chama wao wanakuangalia tu lakini ukweli wanaujua moyoni.

Tukutane 2025, CDM mtavuna mlichokipanda, hata mikipewa viti kadhaa vya ubunge haitowasaidia chochote, wenzenu wanajipanga 2030, 2040 na kuendelea, watatawala milele.
 
Sukuma Gang kubalini matokeo,mumeshapoteza hii game.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Na mama akifanikiwa kuleta katiba mpya, atakuwa ameweza Jambo lililowashinda watangulizi wake.
CCM inaweza kuleta katiba mpya, lakini katiba hiyo ni lazima itahakikisha mambo mawili

1. Uhai wa muungano.
2. Uendelevu wa utawala wa CCM.

The best outcome kwa vyama vya upinzani ni viti vya ubunge na kuongoza baadhi ya halmashauri.

Muda utaongea.
 
sukuma gang na uvccm wanasonona tuwatafutie psychologist maana watajinyonga tuendako.
 
Screenshot_20230308-122741.png
 
Kila anayewaambia ukweli mnamwita sukuma gang! Ujinga uleule wa kumpokea Lowasa 2015 na kuwatukana wote waliowaambia mnapotea. Leo mko wapi? Mmegeuka CCM B. Mwenyekiti wenu anapokea maelezo kutoka ....
ujinga ni pale wewe unaposhabikia chama ambacho mwenyekit wenu amepewa kadi ya chadema leo kule moshi huku wewe na sukuma gang wenzio hamjui muanzie wapi na muishie wapi mmebaki na depression na bado mpaka mfe kwa kujinyonga wajinga nyinyi.
 
Mama njoo uone huku Sukuma gang huku wameachwa yatima.

Mliamini binadamu kuliko Mungu, Sasa mungu wenu fake wa Chato ametawaliwa kuzimu mmebaki kuweweseka.

Ushauri wa bure, kubalini matokeo na mrudi kwenye maisha ya kawaida, wenzetu kina Ndugai, Polepole, na Dr Bashiru wanapokea mishahara inayosainiwa na mama.

Baki tu na ujinga wako.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli CCM watatawala milele. Mnadanganywa na vitu vidogovidogo mno.
 
Mama njoo uone huku Sukuma gang huku wameachwa yatima.

Mliamini binadamu kuliko Mungu, Sasa mungu wenu fake wa Chato ametawaliwa kuzimu mmebaki kuweweseka.

Ushauri wa bure, kubalini matokeo na mrudi kwenye maisha ya kawaida, wenzetu kina Ndugai, Polepole, na Dr Bashiru wanapokea mishahara inayosainiwa na mama.

Baki tu na ujinga wako.
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu. CDM mtawatukana sana wanaowaambia ukweli, lakini mwisho wa siku ukweli mnaujua, mwenyekiti wenu amekuwa compromised na chama chenu kimeshashikiliwa na CCM. watawapa kile wanachoona mnastahili.
 
Sukuma Gang kubalini matokeo,mumeshapoteza hii game.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sukuma Gang tupo imara na mama anafanya kazi zetu vizuri,ilo nna uhakika mmelishuhudia kama sio kusikia leo chama kikuu cha upinzani kuimbishwa pambio ya CCM oyeee na wao wakaitikia CCM oyeeee ni hatua nzuri kwa kweli kwa upande wetu.

Halima Mdee na wenzake bado ni wabunge wetu na Mbowe ataendelea kupata hela/posho yake kupitia wale wamama 19 Bungeni.
 
Back
Top Bottom