CHADEMA ndani ya Sumbawanga

kheee natazama TBC1 hapa siamini nachokiona...duhhhh huu umati ni sumbawanga au wapi? mhhh 2015 kazi ipo ....
 
Kinachofurahisha na Zitto kabwe naye yupo na ametoa comittment ya kuwatetea wananchi katika bunge lijalo la budget akiwa kama waziri kivuli
 
Duh ngoja tungojee picha....i cant wait this. TBC tangu lini imeanza kuwaonyesha CDM???au wamejistukia...lol shame!!
 
Asante mkuu ila usishangae watu wakikuomba picha manake nimegundua wanadamu hawaamini wakiambiwa hadi waone. CDM ni chama makini mkuu ushindi walishashinda sema ti NEC iliamua kumtangaza mtu wao!
jidanganyeni na umati wa vitoto
 
Aisee! Na bado. Naipenda sana sababu wanapata uwezo wa kujiamini na kujua wingi wao. Matumaini yangu hawatafanya kosa kwenye sanduku la kura.
 
kheee natazama TBC1 hapa siamini nachokiona...duhhhh huu umati ni sumbawanga au wapi? mhhh 2015 kazi ipo ....

watajua tu kama kifupi cha 'chama cha msimu' ni CCM na wala si chadema.

watake wasitake, inakuja siku ambapo ccm kitaangukia pua.
 
  • Thanks
Reactions: Bob
Nimejifunza kuwa Watanzania wengi hawana shughuli za kufanya, hivyo kuwa tayari kujiunga kwenye tukio lolote litakalowachangamsha na kuwasaidia kuupoteza muda wa siku husika.

Hapa chini ni wana Sumbawanga walipoenda kumsikiliza Kikwete mwaka jana.

Francis Godwin ni mzee wa matukio daima: MGOMBEA URAIS WA CCM DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE APATA MAPOKEZI MAKUBWA SUMBAWANGA LEO

una ulemavu wa ubongo? unawadharau sana watz. hawana kazi? kwa hiyo hata wamarekani walioenda siku ya kuapishwa obama walikuwa
http://www.google.com
 
endeleeni kuishi kwa matumaini tu sidhani kama cdm itakuwepo mpaka 2016

ccm mpo kama osama. aliishi kwa kujidanganya kuwa hatakamatwa. nyie mnadhani cdm itavunjika ila kwa taarifa yako inaimarika zaidi
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Umati ni mkubwa sana waliojitokeza huko sumbawanga katika maandamano ya CHDEMA,CCM hata wagawe pesa kwa watu na kutoa magari ya kuwabea watu hawawezi kuwa na umati kama huu.Mungu ibariki CHADEMA MUNGU WABARIKI WATANZANIA WAENDELEE KUPATA UFAHAMU ILI MKOLONI MWEUSI ATOKE MADARAKANI.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Umati ni mkubwa sana waliojitokeza huko sumbawanga katika maandamano ya CHDEMA,CCM hata wagawe pesa kwa watu na kutoa magari ya kuwabea watu hawawezi kuwa na umati kama huu.Mungu ibariki CHADEMA MUNGU WABARIKI WATANZANIA WAENDELEE KUPATA UFAHAMU ILI MKOLONI MWEUSI ATOKE MADARAKANI.
jipeni matumaini tu hii cdm sidhani kama itakuwepo 2015
 
duh mzee MTUKA NA ZENO NKOSWE bado wapo? duh iknow them ince 1980 ipo siku ntarudi swanga nikapaona katandala, mazwi,jangwani regina mundi, swanga wenyeji, izia, chanji, bangwe, kizwite dah nionje sute hahaaa JANGWAN INN ipo bado? tajiri BHOJAK bd yupo? BAINZ bd yupo? mpango kabambe wa maji pale, CHADEMA HOPE pande zote hizi mtafungua matawi
 
ukweli upi ama hizo porojo za kila siku tumechoka tafuteni wimbo mwingine
<br />
<br />

Duh una masihala weye! Huo wimbo uneondoa kitumbua cha mzee makamba mdomoni pamoja na sekretariati, na hii impya imetoa siku 90 kwa mapacha 3, wewe bado haujakukolea.
Usitake nicheke.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Back
Top Bottom