CHADEMA ndani ya Sumbawanga

Safi sn mkuu kwa taarifa Ila vipi tupia picha tuende sawa.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu wabariki watu wake
Mungu kibariki chama cha Chadema
 
Mpui Lyazumbi

wewe pia ni mmojawapo wa wanaharakati wa mabadiliko ya maendeleo ya taifa letu ....

asante kwa kuwa na ujasiri wa kutujuza kilichojiri live... endelea mkuu


Watu wanataka mabailiko jamani kwa kweli sio siri tufanye kweli hawa magamba ya mijusi wako hoi yaani ningekuwa nina uwezo sijui
 
Asante mkuu ila usishangae watu wakikuomba picha manake nimegundua wanadamu hawaamini wakiambiwa hadi waone. CDM ni chama makini mkuu ushindi walishashinda sema ti NEC iliamua kumtangaza mtu wao!

Yaliyopita sinwele tuangalie yanayokuja genekai huyu mswahili wa hapo uzaramoni ninakuhakikishia hatomaliza hii ngwe yake nchi imedhohofika kama ungejua ni hali gani serikali inayo kwa sasa
 
Yaliyopita sinwele tuangalie yanayokuja genekai huyu mswahili wa hapo uzaramoni ninakuhakikishia hatomaliza hii ngwe yake nchi imedhohofika kama ungejua ni hali gani serikali inayo kwa sasa

Mkuu ahsante kwa kuona hilo, serikali imejaa viaction vya kwenye movies, yaani kila sehemu mission town hakuna cha maana wala utaifa haupo tena, watu wanaotakiwa wasimamie maadili ya kazi na sheria ndo wanavunja waziwazi! sijui sasa huko jikoni kama TRA si ndo watu wanajijengea mijumba kila sehemu kwa pesa za bure.

Hivi hatuwezi kufanya maamuzi magumu jamani tusubiri hadi 2015 naona kama vile ni mbali?
 
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz.... mbele kwa mbele mpaka kieleweke
:israel: thank you Mkuuu
 
Aisee nimeipenda hiyo, wananchi wamechoshwa na kudanganywa na sasa wanataka ukombozi, hivyo saa ya ukombozi ni sasa. Hongereni CDM kwa kuwaelimisha wananchi na sasa wameanza kujua haki zao mdogomdogo.
 
Mbowe_na_Slaa_Mwanza.JPG

NATUMAINI MAMBO NI KAMA HAPA? DUH
 
hivi govt inaweza kutupa unemployment rate kwa sasa?watu wangapi hawana ajira tanzania?
 
Wakuu, hawa jamaa nilikuwa nawasikia na kuwaona tu kwenye media. Nawashuhudia hapa Sumbawanga, maandamano yamefunga barabara the entire 3km to katikati ya mji. Siyo siri, mimi napata picha mpya kabisa na wasifikiriwe kuwa bado ni chama kidogodogo. Wanasupport ya dhati kutoka kwa wananchi tena walioacha shughuli zao kuja kuwasikiliza. Stay tuned!

Nimejifunza kuwa Watanzania wengi hawana shughuli za kufanya, hivyo kuwa tayari kujiunga kwenye tukio lolote litakalowachangamsha na kuwasaidia kuupoteza muda wa siku husika.

Hapa chini ni wana Sumbawanga walipoenda kumsikiliza Kikwete mwaka jana.

http://francisgodwin.blogspot.com/2010/08/mgombea-urais-wa-ccm-dr-jakaya-mrisho.html
 
Hawa jamaa ni hatari wamemwaga ujumbe ni hatari na zaidi wamezoa wanachama wapya mia6. Kubwa zaidi mwenyekiti wa ccm mstaafu mzee Nkoswe na wa wilaya mstaafu mzee mtuka wamehamia cdm rasmi muda huu. Bibi wa miaka70, kamwagiza mjukuu wake aje kurejesha kadi ya ccm na apewe ya cdm. Stay tuned kwa picha.
 
tujuzeni zaidi yanayojiri huko na waliokuwa kwenye front line huko, na km inawezekana tupostieni hayo ma foto ya wapambanaji!
 
Mpui Lyazumbi

wewe pia ni mmojawapo wa wanaharakati wa mabadiliko ya maendeleo ya taifa letu ....

asante kwa kuwa na ujasiri wa kutujuza kilichojiri live... endelea mkuu

Mkuu mimi ni mfuatiliaji makini wa maswala ya msingi ya nchi yangu. Na napenda changamoto zaidi kwa maendeleo yetu. Sisiti kuhudhuria nikiwa na fursa ya kufanya hivyo.
 
Mbowe akiwashukuru wananchi  wawakati akihutubiwa.jpg
Hiyo ya Tunduma: Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiwashukuru wananchi wa Tunduma kwa kumchagua David Silinde (kulia) kuwa mbunge wao wa jimbo la Mbozi Magharibi, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma.
 
Back
Top Bottom