Chadema na uongozi wa nchi 2015

tata mugaka

Member
Apr 6, 2012
47
6
Nipo hapa jamvini kutaka kujua endapo chadema watapewa ridhaa ya kuongoza dora rais na mawaziri watakuwa kina nani? Mikoa na wilaya watashika watu gani? wakurugenzi watakuwa kina nani? ukishajiuliza haya ndipo ujiulize chama kimejipanga vp kuwa na mbadala wa viongozi.Nashauri sasa chama kiweke mkakati mzuri wa kuandaa viongozi ambao pia wanaweza kuwa chachu ktk kushika dola. Nawasilisha tujadili !
 
wewe unaishi hawana human resources or?.... Ikiwa wameweza kuvunja vizingiti vyote vya mtawala aliye na kila kitu why dont u appreciate that CDM z on top of ccm and that will lead u to conclude that wamejipanga mkuu
 
Hivi ww unaishi dunia gani?Chadema kila kukicha wanakuambia katiba mpya hiyo ndio itakayo toa namna gani tujitawale kwaiyo mkuu jua kwamba katiba kwanza pili kujitawala sasa!Kama katiba ikija inasema iwe serikali ya kimajimbo kwamaana atakuwepo gavana wa jimbo flan pia senata haina haja ya mkuu wa mkoa hapo au mkurugenzi yaani chamhimu mkuu tusubili mchakato uishe ndo ufahamu utawala utakua vp siku ingine usijalibu kuuliza maswali ya kejeli sawa?
 
Nipo hapa jamvini kutaka kujua endapo chadema watapewa ridhaa ya kuongoza dora rais na mawaziri watakuwa kina nani? Mikoa na wilaya watashika watu gani? wakurugenzi watakuwa kina nani? ukishajiuliza haya ndipo ujiulize chama kimejipanga vp kuwa na mbadala wa viongozi.Nashauri sasa chama kiweke mkakati mzuri wa kuandaa viongozi ambao pia wanaweza kuwa chachu ktk kushika dola. Nawasilisha tujadili !

Naona una maswali ya maana ingawaje umeshindwa kujieleza. Wapo vijana kibao waliokwenda shule mpaka Chuo Kikuu hawajapewa fursa ya kupractice taaluma zao, nadhani umeusikia muziki wa hao wachache waliopatikana waliobadilisha mtazamo wa Bunge lililojaa wabunge wa CCM.

Kwa sasa umeona jamaa hawalali, JK kabadili Baraza lake mara ngapi unadhani ni kwa hiari yake? Wewe endelea kusubiria maana watumishi wa UMMA hawapaswi kuwa makada ila wataalamu na watumishi kwa watu wote.
 
Itategemea katiba. Iwapo mawaziri watatokana na wabunge, watakuwa wale watakaochaguliwa 2015, kama hawatakuwa wabunge, chadema itachagua wataalamu watakaoteuliwa na na rais
 

Wswahili tuna misemo mingi sana ya kujihakiki, lakini kumbuka mmoja tu kuwa mdharau mwima mguu huota tende........Hkuna kauli ya CCM nisiyoisahau kama kipindi cha uchaguzi mwaka 2010, nakumbuka kuna kiongozi mmoja wa CCM alisema wale vijana waliokuwa wanahudhuria katika kampeni za CDM kule mwanza ni wahuni, matokeo yake CCM wakaonja joto la wahuni, akaibuka Rais na kauli kuwa hahitaji kura wafanyakazi (hadithi za mbayuwayu)...mh!.......chamoto alikiona na matokeo yake akaibuka kuwa walimnukuu vibaya....sasa wengine humu munaweka na makaburi kuwa CDM inakufa, haifi matokeo yake 2015 mtakana id zenu.
 
Back
Top Bottom