Pamoja na kupigania Demokrasia, haki na Usawa, Chama cha siasa kinapaswa pia kuandaa viongozi wa baadaye

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,806
218,456
Chama cha siasa ni kama timu za soka za Ulaya, pamoja na dhamira ya kutwaa madaraka na kuongoza Nchi , kama timu za soka zinavyojipanga kutwaa mataji na kuwa juu kwenye misimamo ya ligi zao , ni lazima kuwa na mipango ya kuandaa vipaji vipya kwenye timu hizo.

Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema kwa kuzalisha viongozi wengi sana kwenye nchi, kwa kupitia mipango yao ya makusudi ya kuandaa vijana kwa semina mbali mbali na makongamano.

Utafiti unaonyesha kwamba karibu nusu ya Wakuu wa Wilaya na Ma DAS, ama walikuwa viongozi wa Chadema ama wanachama wa kawaida, achilia mbali Wakurugenzi, mawaziri, madiwani, Wabunge na hata viongozi wa vyama vingine vya kisiasa, nani anafahamu kama Lusinde alilelewa na kukulia Chadema na kupewa mbinu za kumuangusha Malecela?

Tukiamua kuandika majina ya waliopita Chadema na kufuzu kwenye uongozi na kuteuliwa hapa na pale kwenye nchi hii , JF haitatosha.

Bali itoshe sana kuwashukuru Viongozi wa Chadema kuendelea kutuandalia viongozi wa kesho .

JamiiForums77508547.jpg
 
Mmmmh hapo kwa ma DAS hapo. Hizo nafasi zina wenyewe, kama walikuwa CDM kabla ya kuteuliwa kwenye hizo nafasi basi mnafuga nyoka wengi sana.
 
Chama cha siasa ni kama timu za soka za Ulaya , pamoja na dhamira ya kutwaa madaraka na kuongoza Nchi , kama timu za soka zinavyojipanga kutwaa mataji na kuwa juu kwenye misimamo ya ligi zao , ni lazima kuwa na mipango ya kuandaa vipaji vipya kwenye timu hizo .

Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema kwa kuzalisha viongozi wengi sana kwenye nchi , kwa kupitia mipango yao ya makusudi ya kuandaa vijana kwa semina mbali mbali na makongamano .

Utafiti unaonyesha kwamba karibu nusu ya Wakuu wa Wilaya na Ma DAS , ama walikuwa viongozi wa Chadema ama wanachama wa kawaida , achilia mbali Wakurugenzi , mawaziri , madiwani , Wabunge na hata viongozi wa vyama vingine vya kisiasa , nani anafahamu kama Lusinde alilelewa na kukulia Chadema na kupewa mbinu za kumuangusha Malecela ?

Tukiamua kuandika majina ya waliopita Chadema na kufuzu kwenye uongozi na kuteuliwa hapa na pale kwenye nchi hii , JF haitatosha .

Bali itoshe sana kuwashukuru Viongozi wa Chadema kuendelea kutuandalia viongozi wa kesho .

View attachment 2707309
Nadhani CDM Inatakiwa kujivunia viongozi walioandaliwa na kuleta TIJA na Si hao wasaliti waliohama kwenda kuungana na maadui wa wananchi.
 
Chama cha siasa ni kama timu za soka za Ulaya , pamoja na dhamira ya kutwaa madaraka na kuongoza Nchi , kama timu za soka zinavyojipanga kutwaa mataji na kuwa juu kwenye misimamo ya ligi zao , ni lazima kuwa na mipango ya kuandaa vipaji vipya kwenye timu hizo .

Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema kwa kuzalisha viongozi wengi sana kwenye nchi , kwa kupitia mipango yao ya makusudi ya kuandaa vijana kwa semina mbali mbali na makongamano .

Utafiti unaonyesha kwamba karibu nusu ya Wakuu wa Wilaya na Ma DAS , ama walikuwa viongozi wa Chadema ama wanachama wa kawaida , achilia mbali Wakurugenzi , mawaziri , madiwani , Wabunge na hata viongozi wa vyama vingine vya kisiasa , nani anafahamu kama Lusinde alilelewa na kukulia Chadema na kupewa mbinu za kumuangusha Malecela ?

Tukiamua kuandika majina ya waliopita Chadema na kufuzu kwenye uongozi na kuteuliwa hapa na pale kwenye nchi hii , JF haitatosha .

Bali itoshe sana kuwashukuru Viongozi wa Chadema kuendelea kutuandalia viongozi wa kesho .

View attachment 2707309
Ila mkija kwenye Wagombea Ubunge na Urais mnakimbilia CCM. Nikiandika orodha yao hapa nikianza na Dk. Slaa (Karatu, 2000), Mwl. Wenje (Nyamagana, 2010) na Mwl. Mawazo (Busanda, 2015), Dk. Slaa (Urais, 2015) kutaja wachache!
 
Imebaki stori .
 
Back
Top Bottom