Chadema na umalaika.

Mleta thread, hatuhitaji kujua wewe ni gamba au ni MSISIEMU, ILA ujue hatuuhitaji ushauri wako wa kipumbavu. Ushauri huo mpelekee MUKAMA NA NEPI WAKE, PAMBAF.
 
Hii hudhihirisha watu wanaogopa cdm. Ndo mana mtu anaonekana kabisa ni ccm ila akitaka kuongea anatanguliza 'sina chama chochote' waendezao huko. Wawapishe tu cdm.
 
Hivi unakumbuka ni lini CDM au vyama vya upinzani walianza kuwapigia kelele watanzania kuhusu wizi/ujambazi unaofanywa na viongozi wa chama tawala lakini watanzania hawakutaka kuelewa au kwa namna moja au nyingine walibezwa na kupanindikiziwa chuki za uongo? Lakini leo hii watanzania wameweza kujionea wenyewe na kukubali japo si saaana lakini angalau wamezinduka. Taratibu, saizi safari ndiyo imekolea na siraha hazijaanikwa zote kwani zinazotumika bado zinawakimbiza CCM vibaya sana. Tusubiri muda utafika utasikia mengi mbadala!!
 
Hii hudhihirisha watu wanaogopa cdm. Ndo mana mtu anaonekana kabisa ni ccm ila akitaka kuongea anatanguliza 'sina chama chochote' waendezao huko. Wawapishe tu cdm.
 
mkubwa!....@Nakapaya wewe ni Gamba, na naweza kukuita mnafiki kwakua unamapenzi na CCM lakini unaogopa umma usikujue kama wewe ni mpenzi wa CCM.Wapo wapenzi wa magamba tumewaona na wapo wazi kihoja,hata wanatamka ka kabisa nazadhani unawafahamu sina sababu ya kuwataja.Toka jana unatapatapa na post kibao za CHADEMA,umebaki kuhaha tu huna hoja
 
Hivi unakumbuka ni lini CDM au vyama vya upinzani walianza kuwapigia kelele watanzania kuhusu wizi/ujambazi unaofanywa na viongozi wa chama tawala lakini watanzania hawakutaka kuelewa au kwa namna moja au nyingine walibezwa na kupanindikiziwa chuki za uongo? Lakini leo hii watanzania wameweza kujionea wenyewe na kukubali japo si saaana lakini angalau wamezinduka. Taratibu, saizi safari ndiyo imekolea na siraha hazijaanikwa zote kwani zinazotumika bado zinawakimbiza CCM vibaya sana. Tusubiri muda utafika utasikia mengi mbadala!!

Safi,hivi ndivyo tunavyotakiwa kwenda sio matusi kama wafanyavyo wengine
 
mkubwa!....@Nakapaya wewe ni Gamba, na naweza kukuita mnafiki kwakua unamapenzi na CCM lakini unaogopa umma usikujue kama wewe ni mpenzi wa CCM.Wapo wapenzi wa magamba tumewaona na wapo wazi kihoja,hata wanatamka ka kabisa nazadhani unawafahamu sina sababu ya kuwataja.Toka jana unatapatapa na post kibao za CHADEMA,umebaki kuhaha tu huna hoja

kama sina hoja nipe basi ya kwako.
 
Ninaposema sina chama namaanisha sina chama na wala sitarajii kuwa na chama,nitasimama as a neutral person,sasa mnaonivika uccm naona hayo ni mawazo yenu na fikra zenu.
 
hoja yako haina mashiko rudi kajipange upya. wala usiogope kutaja chama chako.
 
Awali ya yote naomba niseme namshukuru mungu muweza wa yote kwa kutuwezesha kuwepo tena kwa siku ya leo,poleni wagonjwa na poleni wote mliopoteza watu wenu wa karibu,amani iwe kwenu wote wenye shida mbalimbali,mtegemee mungu na mtayashinda yote,Amen.
Nirudi kwenye mada yangu;kwanza niseme mimi si mshabiki,mnazi,mkereketwa,mwanachama,au kada wa chama chochote kile cha siasa.Ndugu zangu wa CHADEMA naomba niwaambie kitu;hakuna mtu au kundi la watu lisilo na makosa au kasoro,unapokuwa na makosa au kasoro jiua wazi kuwa utakosolewa na kukosolewa ndio mwanzo wa kujirekebisha na kujijenga upya kwa ufanisi zaidi,cha ajabu ndugu zetu nyie hampendi kukosolewa kama vile nyie ni malaika na hamfanyi makosa,mnakosea sana.Ikitokea mtu akaikosoa CHADEMA ujue atashambuliwa kwa kila aina ya kejeli,matusi na lugha zote mbovu.
Wao wanaona kauli zote na mabo yafanywayo na viongozi wao na wanchama ni sahihi na hayahitaji kukosolewa ila akisema wa CCM yote huwa ni mabaya na ni pumba tupu,tunakosea hatuendi hvyo kubalini kukosolewa ndipo mtafika mbali.Au mnataka kuwa kama mfalme Juha?ni hayo tuu.GOD'S GREAT ALL THE TIME.

Inaelekea weye ni mgeni hapa na kauli yako haina ukweli wowote. Hapa jukwaani CDM wameshakosolewa mara nyingi sana. Na hakuna aliyesema kwamba CDM ni chama cha malaika au viongozi wa chama hicho ni malaika. Kuna kasoro nyingi sana ndani ya CDM ambazo wanachama wa CDM na wapenzi wa chama hicho kila siku iendayo kwa Mungu wanazipigia kelele zirekebishwe. Pamoja na kuwa CDM si chama cha malaika au Viongozi wa juu wa CDM si malaika lakini inapokuja kwenye kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania CDM kiko mbali sana ukilinganisha na magamba chama ambacho Viongozi wa juu wa magamba wanachojali ni kuneemesha matumbo yao na kutojali kabisa kuhusu maslahi ya Tanzania na Watanzania.

Pipoz powaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Alutta continua! continua!

:peace::peace::peace:
 
kama sina hoja nipe basi ya kwako.

mkubwa!.....usiwahadae watu kuwa huna chama,wewe ni mwana-CCM,jiweke wazi ili upambane na hoja zinazo ikabili chama chako.unaogopa nini?au huamini kile unachokisimamia/kukitumikia?content za post zako zote zipo wazi
 
nakiamini ninachokizungumza na ninachokifanya,chukua kile ninachokisema na sio kuniwekea maneno mdomoni bra.
 
Back
Top Bottom