CHADEMA na Kushuka kwa TSHS

Mwl.Nyerere watu kama wewe aliwaita ZUZU au mazuzu.

hivi huoni huko Gavana wa kwanza wa nchi hii Mtei, humwoni Prof.Baregu, Dr.Kitila,Prof.Abdalah Safari,Marando,Suzan Lyimo,Antony Komu, Regia, Mrema,Kigaila,Lwakatare,Waitara,Daffi Ester et al.

Wapo wengi mno tatizo unaowajua ni wale unaotaka kuwajua .

Mkuu huyo ritz ni zuzu kabisa wala usipoteze muda wako kumtajia hiyo hazina yetu.
 
Lini au siku gani ulishawahi kumsikia Lema au Heche au Mbilinyi wakiongelea masuala ya Exchange rate Economics?

Wanachojua ni maandamano tu
 
Kiufupi kuna mambo mengi yanayosababisha kushuka kwa shillingi yetu!na kamwe hutoweza kuuza pesa yako kama uchumi wako na mahitaji yako ni tegemezi kwa asilimia zaidi ya 70!je tuna nini cha kutufanya tuwe na strong currency hapa tanzania iwapo utalii, madini na nishati mbalimbali zimemezwa na wajanja!what are we exporting!?utawezaje wakati baadhi ya transactions zinafanyika kwa dollars??mikataba inasainiwa kwa dollars!tuliowaweka hawana uelewa mzuri wa jinsi gani uchumu uendeshwe!wapo pale kwa interest za kiasa kwa ajili ya watu fulani! Huu mfumo wa uongozi ndo ulaumiwe lakini naamini hapa nchini tuna watu wanaweza sema hawajapata nafasi sababu ya siasa uchwara za magamba!!!!!!!!
 
Tanzania ikiendelea kutegemea umeme wa mafuta toka uarabuni itaendelea
kushusha thamani ya shilings mpaka itakapoamua kutumia makaa ya mawe na gesi
kwa ajili ya nishati ya umeme.
Nchi inatumia Dola kuagiza mafuta toka nchi za nje utaona kiasi gani hatuna mahitaji
shilings ya Tanzania.
Hata Dhahabu inayochimbwa hatuuzi sisi bali sisi tunaachiwa Ths badala ya Dolas.
 
Kuuza madini kupita BOT yaani madini yote kabla ya kuuzwa lazima yaizinishwe na BOT ili kumonitor mapato hilo moja lakini pili kupunguza importation ya vitu substandard na vitu ambavyo tungeweza kuzalisha wenyewe kama office furniture haina haja kuagiza hivi kutoka nje wakati kuna vijana wengi wanajishughulisha na uselemala kwahiyo ni kuwawezesha vijana hawa ili watengeneze vitu vyenye viwango tunavyo taka.
Pia kuongeza uzalishaji wa ndani kwa vitu tunavyoweza kuunda wenyewe sio kila kitu tuimport hata pamba za masikio,viberiti,mswaki hii itapunguza ile negative balance ya Exportation minus Importation.
I think that is one of the most great issues that would solve this crisis. lakini CCM si wanapata chao ngoja sisi tufe na njaa zetu!!
 
Mwl.Nyerere watu kama wewe aliwaita ZUZU au mazuzu.

hivi huoni huko Gavana wa kwanza wa nchi hii Mtei, humwoni Prof.Baregu, Dr.Kitila,Prof.Abdalah Safari,Marando,Suzan Lyimo,Antony Komu, Regia, Mrema,Kigaila,Lwakatare,Waitara,Daffi Ester et al.

Wapo wengi mno tatizo unaowajua ni wale unaotaka kuwajua .

Acha kukurupuka nimekuambia uongozi wa juu CDM wenye elimu ya chuo kikuu ni Tindu Lissu, Zitto Kabwe.

Sasa wewe unatajia wabunge wa kupewa? Nitajie basi elimu ya hawa...
John Mnyika
Freeman Mbowe
Hawa ni viongozi wa juu wa CDM
 
Mambo ya kiuchumi CDM hawawezi kutoa kauli yoyote wao wana subiri maandamano tu..

Wewe unadhani mtu kama Heche ataongea nini kwenye uchumi wa nchi hii.

Yeye anachojua ni kufoka na kuvaa magwanda tu
Kama kawaida Mzee wa Pumba umeingia tehe...tehe...tehee....!
 
Acha kukurupuka nimekuambia uongozi wa juu CDM wenye elimu ya chuo kikuu ni Tindu Lissu, Zitto Kabwe.

Sasa wewe unatajia wabunge wa kupewa? Nitajie basi elimu ya hawa...
John Mnyika
Freeman Mbowe
Hawa ni viongozi wa juu wa CDM

mUHIMU NI uzalendo WA MTU na si ELIMU YAKE
 
Wewe mwenyewe hilo neno nililo bold hapo juu hulijui, nenda kwa mwalimu wako kamuulize tena sio kutuletea upupu humu ndani. Umelisikia kwenye mikutano ya hadhara bila kujua nn maana yake

The balance of trade is the difference between the monetary value of exports and imports of output in an economy over a certain period. It is the relationship between a nation's imports and exports. A positive balance is known as a trade surplus if it consists of exporting more than is imported; a negative balance is referred to as a trade deficit or, informally, a trade gap. The balance of trade is sometimes divided into a goods and a services balance.
 
Kwa kawaida wanawake ndio wana tabia za kupenda kutaja majina ya wanaume wanaowatamani hasa wanapokuwa si waume zao.

Kwa namna usivyoacha kumtaja heche hapa jf ni dhahiri kwamba wewe ni wakike na unamtamani heche na bila shaka hutojali kuwa kimada wake. Ni bora umfuate umweleze shida yako kuliko kukesha hapa jf ukimtaja!

Mimi nataja CDM wote, nashangaa wewe wengine uwasemei wewe na Heche tu...lol.. au kwa sababu ni Mshashi mwenzako
 
Ukiona mwanamme kama wewe unakuwa unachanganya mada basi ujue...............................

Mimi nataja CDM wote, nashangaa wewe wengine uwasemei wewe na Heche tu...lol.. au kwa sababu ni Mshashi mwenzako
 
Mimi nataja CDM wote, nashangaa wewe wengine uwasemei wewe na Heche tu...lol.. au kwa sababu ni Mshashi mwenzako

Bwahahaaaa! Ritz magamba wamekuharibia maisha sasa umebaki kutanga na njia.

Wamekusmesha shule za kata zisizo na walimu, vitabu wala vitendea kazi vya muhimu. Baada ya hapo wamekuajiri kwa malipo ya buku mbili kwa siku, hali yako imezidi kuwa ngumu.

Ukisoma post yako ya mwanzo utaona ulivyomtaja Heche, baada ya hapo ndo ukaanza kutaja na wengine. Lakini ni ukweli kwamba hata pale heche asipohusika huachi kumtaja, ndo maana nikahoji kulikoni?
 
Acha kukurupuka nimekuambia uongozi wa juu CDM wenye elimu ya chuo kikuu ni Tindu Lissu, Zitto Kabwe.

Sasa wewe unatajia wabunge wa kupewa? Nitajie basi elimu ya hawa...
John Mnyika
Freeman Mbowe
Hawa ni viongozi wa juu wa CDM

Nasikia mwenyekiti wenu ana degree sijui ya nini ? Mbona hovyo hovyo tu ?
 
Wewe mwenyewe hilo neno nililo bold hapo juu hulijui, nenda kwa mwalimu wako kamuulize tena sio kutuletea upupu humu ndani. Umelisikia kwenye mikutano ya hadhara bila kujua nn maana yake

Muda wa kubishana kwa kawaida huwa sina .Ukienda wee mikutano ya hadhara sote twaenda ?Maneno yote nimesema umeingiwa na balance of trade siyo ?
 
Bwahahaaaa! Ritz magamba wamekuharibia maisha sasa umebaki kutanga na njia.

Wamekusmesha shule za kata zisizo na walimu, vitabu wala vitendea kazi vya muhimu. Baada ya hapo wamekuajiri kwa malipo ya buku mbili kwa siku, hali yako imezidi kuwa ngumu.

Ukisoma post yako ya mwanzo utaona ulivyomtaja Heche, baada ya hapo ndo ukaanza kutaja na wengine. Lakini ni ukweli kwamba hata pale heche asipohusika huachi kumtaja, ndo maana nikahoji kulikoni?

Kwa hiyo wewe nikimtaja Heche roho inakuuma? Nimecheka eti napewa buku mbili.

Mimi kwa siku natumia all most $30 kwa internet tu kwenye simu yangu BlackBerry Touch, Laptop, Desktop Computer ya home
 
moja ya sababu zilizotufikisha hapa ni hizo!looking on the certificate and relationship!elimu tanzania inanunuliwa alafu THINK ON STEVE, BILL GATE,DONALD NA FACEBOOK OWNER ALL OF THOSE GUYS ARE NOT GRADUATES!ILA WATU KAMA NYIE MLIOKALILI NDO MATOKEO YAKE AIBU! NA LAZIMA UPOST UPUPU WAKO HUU!?WHAT DO U USE TO THINK?MASAB...............????????
 
Kuuza madini kupita BOT yaani madini yote kabla ya kuuzwa lazima yaizinishwe na BOT ili kumonitor mapato hilo moja lakini pili kupunguza importation ya vitu substandard na vitu ambavyo tungeweza kuzalisha wenyewe kama office furniture haina haja kuagiza hivi kutoka nje wakati kuna vijana wengi wanajishughulisha na uselemala kwahiyo ni kuwawezesha vijana hawa ili watengeneze vitu vyenye viwango tunavyo taka.
Pia kuongeza uzalishaji wa ndani kwa vitu tunavyoweza kuunda wenyewe sio kila kitu tuimport hata pamba za masikio,viberiti,mswaki hii itapunguza ile negative balance ya Exportation minus Importation.
100% umemaliza
zambia nao wameanza kuuza kwa huu mfumo
 
I think that is one of the most great issues that would solve this crisis. lakini CCM si wanapata chao ngoja sisi tufe na njaa zetu!!

Any economy does not just thrive on exports only, it is also about imports. Like any situation in life, you gain some you lose some.

From an economic point of view, Tanzania imports heavily than it exports e.g crude oil, steel, machineries etc.
The demand and supply of the dollar determines the equilibrium of the Tanzania shilling as Tanzania's policy is. The supply and demand of agriculyural/holticultural exports will determine how much prices they can fetch. They may lose or gain, but will be cushioned by cheap imports eg oil that has a dominoes effect on other products. If you looked at the economy purely from an exporter's view, then you loose track. That would work if Tanzania was self sustained and it didn't need to import.

Like a few other countries eg South Africa and Botswana, Tanzania also can move away from trading in the weakening Dollar to a more stable currency, but only if "Magambas" are out of the system.
 
Back
Top Bottom