CHADEMA na Kushuka kwa TSHS

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,199
4,198
Kwa sasa kuna crisis ya kuporomoka kwa TSHS against USD.Je chadema ingesolve vipi tatizo hili? Cant you advise mkulo on this?
 
Kuuza madini kupita BOT yaani madini yote kabla ya kuuzwa lazima yaizinishwe na BOT ili kumonitor mapato hilo moja lakini pili kupunguza importation ya vitu substandard na vitu ambavyo tungeweza kuzalisha wenyewe kama office furniture haina haja kuagiza hivi kutoka nje wakati kuna vijana wengi wanajishughulisha na uselemala kwahiyo ni kuwawezesha vijana hawa ili watengeneze vitu vyenye viwango tunavyo taka.
Pia kuongeza uzalishaji wa ndani kwa vitu tunavyoweza kuunda wenyewe sio kila kitu tuimport hata pamba za masikio,viberiti,mswaki hii itapunguza ile negative balance ya Exportation minus Importation.
 
Mambo ya kiuchumi CDM hawawezi kutoa kauli yoyote wao wana subiri maandamano tu..

Wewe unadhani mtu kama Heche ataongea nini kwenye uchumi wa nchi hii.

Yeye anachojua ni kufoka na kuvaa magwanda tu
 
Waziri kivuli wa fedha Mh Zuberi Kabwe Zitto, alishasema wakati wa bunge la bajeti, pitia hotuba yake utapata mengi.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
CCM na Gavana wao hawajui neno balance of trade .Wakilijua hili basi Uchumi utasimama na CCM ukiwaambia in the open hawakubali ila wanapinga wakiingia wanajifanya kutoka kwamba wan solution kumbe wame copy .Kwa sasa wako bize kila moja anatafuta cha kuuza .Pinda kauza Ardhi huko US Mkulo na Gavana nao wana yao .
 
Mambo ya kiuchumi CDM hawawezi kutoa kauli yoyote wao wana subiri maandamano tu..

Wewe unadhani mtu kama Heche ataongea nini kwenye uchumi wa nchi hii.

Yeye anachojua ni kufoka na kuvaa magwanda tu

Lazima uwe mgonjwa na umejawa na mapepo wewe .Hujawahi kuchangia hata siku ila you are always after personalities your heart is devil's heart full of hate .Go to hel kapumzike huko .
 
We Ritz One unaye jua kuongea kwa hila huoni ulipoifikisha nchii kiuchumi??????????? Bado tuu unataka kuendelea kuididimiza nchi yetu, nyie na maghamba wenu hamna lolote mmebaki kazi kuua watu na kuwatupa machakani!!!!!!!!!!!!
 
Mambo ya kiuchumi CDM hawawezi kutoa kauli yoyote wao wana subiri maandamano tu..

Wewe unadhani mtu kama Heche ataongea nini kwenye uchumi wa nchi hii.

Yeye anachojua ni kufoka na kuvaa magwanda tu
Kama wewe na Babako mnavyojua kujimilikisha nyumba za NSSF, kila zinapotoka wapangaji tunapoomba inaletwa fomu ya Ridhiwan anaitaka na kwa uoga wa watu unapewa! Basi chukua nyumba zote zilizo Dar. Aibu!
 
Kwa sasa kuna crisis ya kuporomoka kwa TSHS against USD.Je chadema ingesolve vipi tatizo hili? Cant you advise mkulo on this?

Mkulo hashauriki lakini pia hajui abc za uchumi, elimu yake ya kuunga unga na gundi tusitarajie unafuu wowote, shilingi itazidi kuporomoka!
 
Mambo ya kiuchumi CDM hawawezi kutoa kauli yoyote wao wana subiri maandamano tu..

Wewe unadhani mtu kama Heche ataongea nini kwenye uchumi wa nchi hii.

Yeye anachojua ni kufoka na kuvaa magwanda tu

Kwa jinsi usivyoacha kumtaja Heche kila leo ni dhahiri kabisa kwamba kama wewe ni mwanamke utakuwa radhi kuisaliti ndoa yako kwa ajili yake.
 
Mambo ya kiuchumi CDM hawawezi kutoa kauli yoyote wao wana subiri maandamano tu..

Wewe unadhani mtu kama Heche ataongea nini kwenye uchumi wa nchi hii.

Yeye anachojua ni kufoka na kuvaa magwanda tu
Nchi hii si ya mtu/chama kimoja tu kutawala,wakipewa madaraka wanaweza sana.
 
Lazima uwe mgonjwa na umejawa na mapepo wewe .Hujawahi kuchangia hata siku ila you are always after personalities your heart is devil's heart full of hate .Go to hel kapumzike huko .

Sasa unadhani Heche au Lema, wanaweza kutoa assistance economic? au unaleta Magwanda tu!
 
Masuala ya Uchumi ni taaluma sio porojo..

Nikiangalia safu yote ya Uongozi wa CDM wenye elimu ya chuo kikuu ni watatu tu.
1. Zitto Kabwe
2. Halima Mdee
3. Tindu Lissu
Wengine hamna kitu
 
Kwa hiyo wewe ni small house ya Heche?

nyamaza wakati wanaume wanajadili matatizo ya nchi yao!umesikia mama mjamzito kakataliwa kuzalishwa kisa hana sh 30 000?kuwa na roho ya kibinadamu tulete maendeleo ya jamii yote ktk nchi
 
Crackpot...kama wanaume wenyewe ndio nyie basi hamna kitu, mnajadili uku mmejificha mbele ya Laptop na Simu zenu za kichina
 
Ritz ankeuwa mwanagu wa kumzaa ningemtoa awe chakula cha simba make hana msaada wowote kifamilia na kitaifa pia!kiujumla akili zake ni mgando na sishangai akawa mbunge kwa upupu wake huu, na magamba wakishindwa kuenedesha nchi utashindwa kujua tatizo?iq ndogo!
 
Masuala ya Uchumi ni taaluma sio porojo..

Nikiangalia safu yote ya Uongozi wa CDM wenye elimu ya chuo kikuu ni watatu tu.
1. Zitto Kabwe
2. Halima Mdee
3. Tindu Lissu
Wengine hamna kitu

Mwl.Nyerere watu kama wewe aliwaita ZUZU au mazuzu.

hivi huoni huko Gavana wa kwanza wa nchi hii Mtei, humwoni Prof.Baregu, Dr.Kitila,Prof.Abdalah Safari,Marando,Suzan Lyimo,Antony Komu, Regia, Mrema,Kigaila,Lwakatare,Waitara,Daffi Ester et al.

Wapo wengi mno tatizo unaowajua ni wale unaotaka kuwajua .
 
Kwa hiyo wewe ni small house ya Heche?

Kwa kawaida wanawake ndio wana tabia za kupenda kutaja majina ya wanaume wanaowatamani hasa wanapokuwa si waume zao.

Kwa namna usivyoacha kumtaja heche hapa jf ni dhahiri kwamba wewe ni wakike na unamtamani heche na bila shaka hutojali kuwa kimada wake. Ni bora umfuate umweleze shida yako kuliko kukesha hapa jf ukimtaja!
 
CCM na Gavana wao hawajui neno balance of trade .Wakilijua hili basi Uchumi utasimama na CCM ukiwaambia in the open hawakubali ila wanapinga wakiingia wanajifanya kutoka kwamba wan solution kumbe wame copy .Kwa sasa wako bize kila moja anatafuta cha kuuza .Pinda kauza Ardhi huko US Mkulo na Gavana nao wana yao .

Wewe mwenyewe hilo neno nililo bold hapo juu hulijui, nenda kwa mwalimu wako kamuulize tena sio kutuletea upupu humu ndani. Umelisikia kwenye mikutano ya hadhara bila kujua nn maana yake
 
Back
Top Bottom