CHADEMA na Kushuka kwa TSHS

Kwa hiyo wewe nikimtaja Heche roho inakuuma? Nimecheka eti napewa buku mbili.

Mimi kwa siku natumia all most $30 kwa internet tu kwenye simu yangu BlackBerry Touch, Laptop, Desktop Computer ya home



Hapo umechanganya mambo! Unatumia $30 kwa Internet tu lakini "unatumiwa" kwa buku mbili!!? Lol...
 
Ritz nakushauri ukapimwe akili maana ndicho kipimo pekee cha sanity ya binadamu yeyote yule. Panda basi la Shabiby ukifika Dodoma kuna clinic ya Mirembe au kama unaishi ughaibuni basi tafuta huduma ya karibu huko huko ili ukirudi jamvini uwe timamu kifikra na busara pevu kama ya kuandika upupu wako. Ronald Reagan na John Major hawakuwa wamesoma lakini waliongoza USA na UK vizuri sana. Naomba kuwasilisha hoja

Wewe ebu acha uwongo hivi unaweza kuendesha meli kama ujaenda shule labda mtumbwi.

Ronald Reagan, ni Navy Captain.
Vile vile ni msomi ana Degree ya Economics kachulia Illinois..

Jf sio sehemu ya porojo sio kila mtu unaweza kumdanganya, labda wadanganye Magwanda wenzako
 
Mi ndo nachekesha au wewe! Unatumika vibaya dogo! Unatumia $30 kwa net halafu unatumika kwa buku mbili!!? Huoni hicho ndio kichekesho!

Labda $30 unadhani set 30..dola 1=1720 Tsh 51'360 sasa buku mbili ya nini mimi kwa siku natumia 51360 kwa matumizi ya Internet tu
 
Masuala ya Uchumi ni taaluma sio porojo..

Nikiangalia safu yote ya Uongozi wa CDM wenye elimu ya chuo kikuu ni watatu tu.
1. Zitto Kabwe
2. Halima Mdee
3. Tindu Lissu
Wengine hamna kitu


Hivi una akili kweli ritz1??? we una elimu gani??

haya tuendelee Meshack Upulukwa M Sc (MNRSA) - SUA, .... Ester Matiku M Sc Economics - UD, REgia Mtema - B Sc Home Economics & Human Ntrition - SUA, kahigi kalikoyega - Professor, .... JJ Mnyika LLB - UD, Abdalah Safari (Professor), Dr Kitila (PhD),....mimi mwenyewe PhD.....
 
Mambo ya kiuchumi CDM hawawezi kutoa kauli yoyote wao wana subiri maandamano tu..

Wewe unadhani mtu kama Heche ataongea nini kwenye uchumi wa nchi hii.

Yeye anachojua ni kufoka na kuvaa magwanda tu


Maandamano ni lazima kwa maana kama unasema Heche anafoka we ulitaka akubembeleze?

Acha izo wewe kama ni uchumi heche hausiki kuna watu wa uchumi sijui nyie CCM kwanini mnamtumia vilaza kama mkulo na para munyu lake
 
Masuala ya Uchumi ni taaluma sio porojo..

Nikiangalia safu yote ya Uongozi wa CDM wenye elimu ya chuo kikuu ni watatu tu.
1. Zitto Kabwe
2. Halima Mdee
3. Tindu Lissu
Wengine hamna kitu


Kweli wewe ndo **** kinachomata sio kusoma kinachomata ni delivarence kusoma ni kukopy na kupaste usiwe john kisomo

sasa kama CDM wasomi 3 na CCM ina wasomi 100 mbona kila kitu kipo hovyo hovyo?

Punguza ubwege ndugu yangu yaani kwa taarifa yako CCM wote .......... unajua namanisha nini
 
Mkulo hashauriki lakini pia hajui abc za uchumi, elimu yake ya kuunga unga na gundi tusitarajie unafuu wowote, shilingi itazidi kuporomoka!

usemalo lina ukweli fulani,naona wanauchumi hawakupewa nafasi ya kutosha kutoa ushauri wao ama kama wametoa ushauri haukufuatwa.
juzi juzi mkulo wakati wa budget alikana kuwa inflation rate ni double digit lakini sasa angalia hali ilivyo,ukweli unazidi kuwa peupe.
yaani nachelea kuona yale ya zimbabwe yakitokea kwetu.
viongozi wanatoa majibu ya kisiasa hata kwenye mambo ya utaalam zaidi.
ni yale yale ya kusema wamekufa watu 600 kumbe zaidi ya 1500,its shame.
 
Hivi una akili kweli ritz1??? we una elimu gani??

haya tuendelee Meshack Upulukwa M Sc (MNRSA) - SUA, .... Ester Matiku M Sc Economics - UD, REgia Mtema - B Sc Home Economics & Human Ntrition - SUA, kahigi kalikoyega - Professor, .... JJ Mnyika LLB - UD, Abdalah Safari (Professor), Dr Kitila (PhD),....mimi mwenyewe PhD.....

Nimekuambia nitajie wasomi walio kwenye safu ya uongozi wa juu wa CDM..

Wewe unanitajia mateka wa Mbowe na Slaa.

Ebu nitajie elimu ya Mwenyekiti wa CDM Freeman Mbowe na John Mnyika
 
Labda $30 unadhani set 30..dola 1=1720 Tsh 51'360 sasa buku mbili ya nini mimi kwa siku natumia 51360 kwa matumizi ya Internet tu

Hoja iliyopo hapa si kwamba unatumia kiasi gani kwa siku bali unatumika kwa kiasi gani.

Naamini kabisa kwamba unatumia $30 kwa ajili ya internet lakini kiasi hicho kinatolewa na Nape ili utekeleze majukumu aliyokutuma.

Sasa unapokuja kuambulia ujira wa buku mbili kwa siku ndio hapo tunakuhurumia, unatumika vibaya ritz jitambue!
 
Jambo la muhimu hapa ni kutoa hoja ya maana kwa jamii na siyo kutoa lugha ambayo wasomaji wengi wa jf hawahitaji.
 
Back
Top Bottom