Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,419
Haya ndio mambo ya ukomavu wa siasa tunayotaka kuyasikia...ngoja wazee wa ngonjera za ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WAJE HAPA utawasikia watakovyotoka povu....
Sasa ni bifu zito.
Mjadala unaendelea bungeni kwa sasa!!
CHADEMA.
1.Sasa yale maneno ya kuhudhi pg7-9 kuondolewa.
2.Sasa CHADEMA waamliwa kuomba radhi.
3.Mbowe aamlishwa kumuomba radhi naibu spika kwa kosa la Wenje kumdhalau naibu spika,na pia anatakiwa kuomba radhi bunge lote.
CUF:
Nao waambiwa wawaombe radhi CHADEMA kwa kuchanana hotuba yao. Pia wote waamliwa kumuomba radhi naibu spika kwa kufanya vurugu bungeni jana.[/QU mi nadhani wangekuwa wanatozwa fine katika posho zao kwani wanafanya makusudi pindi wakumbukapo vimada wao wanaanzisha sekeseke kikao kivunjwe wakafanye mambo yao. Is unfair game they play to us
Kufuatia msimamo wa Wenje kukataa kufuta kauli yake jana, baada ya kuhituhumu CUF kuwa ina hafiki masuala ya kishoga na usagaji kutokana na kuwa mwanachama wa jumuiya ya kiliberali, leo CHADEMA imekiri kuwa imekidhalilisha chama hicho na imeomba radhi.
My take;
CHADEMA imekusudia kupeleka siasa za maji taka bungeni, na hili lina dhihirishwa na hotuba kadhaa zilizo somwa na wabunge wa CHADEMA.
Tukija kuangalia uhalisia wa CUF kuwa mjumbe wa Liberal, ni kama vile Tanzania kuwa nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, jumuiya ya madola ina zitambua haki za mashoga na usagaji, je, Tanzania tuna zitambua?
Ni akili finyu ya viongozi wa kambi ya upinzani ikiongozwa na CHADEMA kwa kushindwa kwake kuchambua mambo madogo madogo kama haya, na kupelekea vurugu zisizo na lazima bungeni, na kulitia taifa hasara.
Nakiri kusema CHADEMA ni janga la bunge,janga la siasa na ni janga la taifa.
Sasa ni bifu zito.
Mjadala unaendelea bungeni kwa sasa!!
CHADEMA.
1.Sasa yale maneno ya kuhudhi pg7-9 kuondolewa.
2.Sasa CHADEMA waamliwa kuomba radhi.
3.Mbowe aamlishwa kumuomba radhi naibu spika kwa kosa la Wenje kumdhalau naibu spika,na pia anatakiwa kuomba radhi bunge lote.
CUF:
Nao waambiwa wawaombe radhi CHADEMA kwa kuchanana hotuba yao. Pia wote waamliwa kumuomba radhi naibu spika kwa kufanya vurugu bungeni jana.
Mnadhimu wa CUF kwa niaba ya CUF na Mh Freeman Mbowe kwa niaba ya chadema wameombana radhi Bungeni baada ya kikao cha jana kilichokaa mpaka usiku.
CHADEMA.
Chadema japokuwa hawabadilishi msimamo wao kuhusu ukweli kwamba CUF wapo ktk umoja wa vyama vya kilibirerali ambavyo msingi wake mkuu ni kutetea haki za watu binafsi ikiwepo ushoga na usagaji hata hivyo, kwa ajili ya mustakabali mwema wa Tanzania CHADEMA wakawaomba radhi CUF pale waliopokwazwa na maneno yaliyotumika.
Mbowe pia amemwomba spika radhi kutokana usumbufu wa kuahirishwa Bunge kutokana hotuba yao.
CUF.
CUF wamewaomba radhi Chadema kupitia kwa kiongozi wao kuhusu matusi, kejeli na Kashfa walizomwambia Wenje. Wenje alisoma kwa niaba ya Chadema, siyo hotuba binafsi. Matusi dhidi ya wenje ni matusi dhidi ya kambi nzima ya Chadema.
Pili, Cuf walichana hotuba ya chadema bungeni.
Tatu, CUF walifanya vurugu zilizosababisha Bunge kuahirishwa.
aamlishwa kumuomba radhi naibu spika kwa kosa la Wenje kumdhalau naibu spika,na pia anatakiwa kuomba radhi bunge lote.
My take.
wote wamefanya jambo jema.
Pale kilichofanyika ni kufunika kombe mwanaharamu apite,najua kuna watakaoleta tena mjadala huu wakati wa kuchangia hotuba hii na hapo litazuka jingine,kufuta kile kipengele haitowasaidia CUF cha msingi wajieleze wazi msimamo wao umesimama wapi maana haitoshi tu kusema HAKI SAWA KWA WOTE,kila kitu kina mipaka yake.
Kama tafsiri aliyotaka kuleta wenje ni sahihi, basi nimeamini kuwa wanachokisema CCM kuhusu cdm kuwa ni chama cha Kikristo kwani wadhamini wao wakuu wanaotaka cdm waingie madarakani ni chama cha kikristo.
Nawaomba waislam wote ambao mlioko huko muondoke kwani mmekalia mlango usio wa Iman yenu.
CDM=CDU=CHAMA CHA WAKRISTO. SIJUI KAMA HILI AU HUU UPUUZI KAMA SERIKALI INAUKUBALI.
huelewi exactly ulichokiandika.pole sana...umeamua kujitekenya na kujichekeshaMnadhimu wa CUF kwa niaba ya CUF na Mh Freeman Mbowe kwa niaba ya chadema wameombana radhi Bungeni baada ya kikao cha jana kilichokaa mpaka usiku.
CHADEMA.
Chadema japokuwa hawabadilishi msimamo wao kuhusu ukweli kwamba CUF wapo ktk umoja wa vyama vya kilibirerali ambavyo msingi wake mkuu ni kutetea haki za watu binafsi ikiwepo ushoga na usagaji hata hivyo, kwa ajili ya mustakabali mwema wa Tanzania Chadema wakawaomba radhi CUF pale waliopokwazwa na maneno yaliyotumika.
Mbowe pia amemwomba spika radhi kutokana usumbufu wa kuahirishwa Bunge kutokana hotuba yao.
CUF.
CUF wamewaomba radhi Chadema kupitia kwa kiongozi wao kuhusu matusi, kejeli na Kashfa walizomwambia Wenje. Wenje alisoma kwa niaba ya Chadema, siyo hotuba binafsi. Matusi dhidi ya wenje ni matusi dhidi ya kambi nzima ya Chadema.
Pili, Cuf walichana hotuba ya chadema bungeni.
Tatu, CUF walifanya vurugu zilizosababisha Bunge kuahirishwa.
aamlishwa kumuomba radhi naibu spika kwa kosa la Wenje kumdhalau naibu spika,na pia anatakiwa kuomba radhi bunge lote.
My take.
wote wamefanya jambo jema.
Kufuatia msimamo wa Wenje kukataa kufuta kauli yake jana, baada ya kuhituhumu CUF kuwa ina hafiki masuala ya kishoga na usagaji kutokana na kuwa mwanachama wa jumuiya ya kiliberali, leo CHADEMA imekiri kuwa imekidhalilisha chama hicho na imeomba radhi.
My take;
CHADEMA imekusudia kupeleka siasa za maji taka bungeni, na hili lina dhihirishwa na hotuba kadhaa zilizo somwa na wabunge wa CHADEMA.
Tukija kuangalia uhalisia wa CUF kuwa mjumbe wa Liberal, ni kama vile Tanzania kuwa nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, jumuiya ya madola ina zitambua haki za mashoga na usagaji, je, Tanzania tuna zitambua?
Ni akili finyu ya viongozi wa kambi ya upinzani ikiongozwa na CHADEMA kwa kushindwa kwake kuchambua mambo madogo madogo kama haya, na kupelekea vurugu zisizo na lazima bungeni, na kulitia taifa hasara.
Nakiri kusema CHADEMA ni janga la bunge,janga la siasa na ni janga la taifa.
Mbowe amesema kwa umakini kabisa kwamba wanaomba radhi kwa sababu tu ya kujenga masikilizano. Lakini hawaombi radhi kwa sababu walisema uongo. Lakini akasisitiza zaidi kwamba iwe ni ukweli au uongo, wanatakiwa kuomba radhi kwakuwa CUF wamekwazika na hoja yao. So usiwalishe maneno CHADEMA kwamba wamekubali kuwa waliwadhalilisha CUF. Hawajakubali, bali wamekubali kuomba radhi kwakuwa CUF wameumizwa na ukweli uliowasilishwa na CHADEMA.Kufuatia msimamo wa Wenje kukataa kufuta kauli yake jana, baada ya kuhituhumu CUF kuwa ina hafiki masuala ya kishoga na usagaji kutokana na kuwa mwanachama wa jumuiya ya kiliberali, leo CHADEMA imekiri kuwa imekidhalilisha chama hicho na imeomba radhi.
My take;
CHADEMA imekusudia kupeleka siasa za maji taka bungeni, na hili lina dhihirishwa na hotuba kadhaa zilizo somwa na wabunge wa CHADEMA.
Tukija kuangalia uhalisia wa CUF kuwa mjumbe wa Liberal, ni kama vile Tanzania kuwa nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, jumuiya ya madola ina zitambua haki za mashoga na usagaji, je, Tanzania tuna zitambua?
Ni akili finyu ya viongozi wa kambi ya upinzani ikiongozwa na CHADEMA kwa kushindwa kwake kuchambua mambo madogo madogo kama haya, na kupelekea vurugu zisizo na lazima bungeni, na kulitia taifa hasara.
Nakiri kusema CHADEMA ni janga la bunge,janga la siasa na ni janga la taifa.
"Hii ni kwa mujibu wa tangazo lao (CUF) kwenye mtandao wao wa umoja wa maliberali ulimwenguni, likiungwa mkono na Waziri wa Haki na Usawa wa Uingereza, Lynn Featherstone kutoka chama cha Liberal Democrats wakati chama hicho kilipokuwa kinapitisha azimio la kuruhusu ndoa za jinsia moja kama haki ya mtu mmoja mmoja.