CHADEMA na CUF walazimika kuomba msamaha Bungeni

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Sasa ni bifu zito.

Mjadala unaendelea bungeni kwa sasa!!

CHADEMA.
1.Sasa yale maneno ya kuhudhi pg7-9 kuondolewa.
2.Sasa CHADEMA waamliwa kuomba radhi.
3.Mbowe aamlishwa kumuomba radhi naibu spika kwa kosa la Wenje kumdhalau naibu spika,na pia anatakiwa kuomba radhi bunge lote.

CUF:
Nao waambiwa wawaombe radhi CHADEMA kwa kuchanana hotuba yao. Pia wote waamliwa kumuomba radhi naibu spika kwa kufanya vurugu bungeni jana.
 
Wote wanaombana radhi, CHADEMA waombe radhi kwa Wenje kutotii amri ya Naibu Spika na CUF waombe radhi kwa kufanya fujo na kuchana hotuba ya msemaji wa kambi ya upinzani.
 
Kufuatia msimamo wa Wenje kukataa kufuta kauli yake jana, baada ya kuhituhumu CUF kuwa ina hafiki masuala ya kishoga na usagaji kutokana na kuwa mwanachama wa jumuiya ya kiliberali, leo CHADEMA imekiri kuwa imekidhalilisha chama hicho na imeomba radhi.

My take;

CHADEMA imekusudia kupeleka siasa za maji taka bungeni, na hili lina dhihirishwa na hotuba kadhaa zilizo somwa na wabunge wa CHADEMA.

Tukija kuangalia uhalisia wa CUF kuwa mjumbe wa Liberal, ni kama vile Tanzania kuwa nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, jumuiya ya madola ina zitambua haki za mashoga na usagaji, je, Tanzania tuna zitambua?

Ni akili finyu ya viongozi wa kambi ya upinzani ikiongozwa na CHADEMA kwa kushindwa kwake kuchambua mambo madogo madogo kama haya, na kupelekea vurugu zisizo na lazima bungeni, na kulitia taifa hasara.

Nakiri kusema CHADEMA ni janga la bunge,janga la siasa na ni janga la taifa.
 
chiligati anajenga scene ya kulazimisha ngoma kuwa draw,na kuwafanya CDM guilty km watakataa hilo.Lakini CUF hawajatangaza rasmi kuwa wanaungana na Tanzania ktk kukataa ushoga.Wakati wanasema haki sawa.NI vipi waseme kuwa si yote,wakati chama chenyewe kinasema kuwa kina muunganiko na watu wenye mission hiyo duniani.
........
Lakin ihakuna kosa..CUF wajitete kwani ule mtandao kila mtu atautembelea.
.......

This is crazy...CCM waliwahi waweka CDM ktk uongo ,kwa kusema kuwa wanapokea hela kwa Cameron.Huku ni kuwapa kichwa CUF.Ingawa najua hilo halitoita bure.
........

wametoa sauti ktk hotuba ya mbowe.

.......

sasa CCM wantaka ku capitalize haya na kujenga hisia kuwa CDM wamekosea.
tayari ndugai anachombeza kuwa is vyema kuweka kipengele cha kuwakwaza wengine.Mtu anakwazwa vipi na sifa zake.

.....

Mbowe kaweka wazi,kuwa ni umoja wa kitaifa tuu..ila kaweka wazi kuwa kuwa kutoa majeshi ni shemu ya mikakati pia.

....

Hao jamaa CUF kwani nani hajui ukanda wanaotoka ndipo abia za kishoga na ubasha ndio sifa zao.

.....
 
Mnadhimu wa CUF kwa niaba ya CUF na Mh Freeman Mbowe kwa niaba ya CHADEMA wameombana radhi Bungeni baada ya kikao cha jana kilichokaa mpaka usiku.


CHADEMA.
CHADEMA japokuwa hawabadilishi msimamo wao kuhusu ukweli kwamba CUF wapo ktk umoja wa vyama vya kilibirerali ambavyo msingi wake mkuu ni kutetea haki za watu binafsi ikiwepo ushoga na usagaji hata hivyo, kwa ajili ya mustakabali mwema wa Tanzania CHADEMA wakawaomba radhi CUF pale waliopokwazwa na maneno yaliyotumika.
Mbowe pia amemwomba spika radhi kutokana usumbufu wa kuahirishwa Bunge kutokana hotuba yao.

CUF.

CUF wamewaomba radhi CHADEMA kupitia kwa kiongozi wao kuhusu matusi, kejeli na Kashfa walizomwambia Wenje. Wenje alisoma kwa niaba ya CHADEMA, siyo hotuba binafsi. Matusi dhidi ya wenje ni matusi dhidi ya kambi nzima ya CHADEMA.
Pili, Cuf walichana hotuba ya CHADEMA bungeni.
Tatu, CUF walifanya vurugu zilizosababisha Bunge kuahirishwa.
aamlishwa kumuomba radhi naibu spika kwa kosa la Wenje kumdhalau naibu spika,na pia anatakiwa kuomba radhi bunge lote.


My take.
wote wamefanya jambo jema.
 
Ni kutokana na kikao kilichokaliwa jana na kamati ya maadili ya bunge,kilichoongozwa na John Chiligati,wamekubaliana mambo yafuatayo
1.CHADEMA kufutaa part 3 ya hotuba yao
2.kuwaomba radhi wana c.u.f
3.CUF kuwaomba radhi chadema kwa kuchanachana hotuba ya CHADEMA
4.pia CUF kuwaomba radhi wabunge wote kwa kupelekea bunge kuahirishwa
Wajumbe waliokuwepo kwenye mkutano huo ni Rashidi Hamadi Abdallah (CUF),Mbowe(CHADEMA),Mary Nagu(CCM)
My analysis;hiki ndicho kitu ambacho kilipaswa kifanye kwa vyama hv viwili vya upinzani kwa ajili ya kuwa ki2 kimoja,wameweka nchi mbele!!! Saafi!!!
 
watu waombe radhi kwa kusema ukweli au? cuf waache unafki wao c ndo wanasema haki sawa kwa wote au(
 
Jamani msikubali uonevu wakati vielelezo mnavyo, jamani kimo cha chini cha mshahara sekta binafsi ni shilingapi bado nipo gizani nisaidieni.
 
Anaendelea kuongea bungeni sasa hivi bungeni Mbowe amelzimika kuomba msamaha kwa kukiri kuwa chama chake kilikosea kuwatusi chama cha CUF anaendelea kuongea.
 
Sasa nae kaomba radhi ili kuendelea kudumisha amani ya nchi yetu,ingawa amekiri kwamba hotuba ya Wenje ilikua ni kauli ya CHADEMA NA SII KAULI YA WENJE.
 
Tayari ameomba radhi na amesema hawawezi kugombea fito wakati wanajenga nyumba moja!
 
Back
Top Bottom