KML
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 861
- 133
​hapo kwenye red kama nimepaelewa vile au nimetafsiri vibaya nnHili ni gamba na linatokea moshi nafikiri kuna kiasi cha hela analipwa na wakina Nape. Wana bodi samahani kidogo ngoja niongee nae lugha ya jadi (wokya ukou ngilekuwiya iyo nu mtondo sana na ulashikye se mochi fyo ubadilike iwinyi m.k.w e. r. e neche kulya numa) nafikiri atakuwa amenielewa na atabadilika