CHADEMA mikutano ya hadhara kila siku inakera

Hili ni gamba na linatokea moshi nafikiri kuna kiasi cha hela analipwa na wakina Nape. Wana bodi samahani kidogo ngoja niongee nae lugha ya jadi (wokya ukou ngilekuwiya iyo nu mtondo sana na ulashikye se mochi fyo ubadilike iwinyi m.k.w e. r. e neche kulya numa) nafikiri atakuwa amenielewa na atabadilika
​hapo kwenye red kama nimepaelewa vile au nimetafsiri vibaya nn
 
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.

Elimu wanayotoa CDM ni mahususi kwa watu kama nyie, hivyo nakushauri ni muhimu ukahudhuria mikutani mingi zaidi ya M4C ili uweze kupata elimu zaidi. maana ulichoandika hapa kinadhihirisha upeo na mtazamo wako ulivyodumaa.
By the way si kosa lako, Serikali ya CCM haiwaandai watu wake kujitambua wala kutambua haki zao (kama wewe) ndio maana utaona utitiri wa NGOs na vyama vya siasa ndio vinajitolea kufanya kazi ya kuelimisha ambayo kimsingi ni kazi ya serikali chini ya wizara ya ELIMU
 
Kakojoe, kisha kesho asubuhi wahi kuamka. Zumbukuku mkubwa wewe, nani kakutuma utamke upumbavu huo. HATUDANGANYIKI NG'OOO!
 
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.

Kweli akili yako haina akili kabisa, ushauri wako ni wakijinga sana.
 
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.

Jiandae kuanguka na magamba wenzio,kama hii inakukera subiri 2015 ndio utajinyonga kabisa
 
Safari ndefu ya ukombozi lazima iwe na njia ndefu ya kupita, njia ndefu haikosi kona, milimani na mabonde. Ni heri kufanya makosa kuliko kutokujaribu chochote. Mtalalamika sana lakini ndege hairudi reverse hata siku moja, cdm imekwishapaa.
 
nipo bongo,uko unaposema nikienda naenda kutembea tu...Tz ndio nyumbani na ninaipenda Tz sana sana ndio maana kikitokea kikundi flani cha wahuni wanataka kuivuruga lazma niseme.

Tunajua system inakunufaisha ndomana unawakingia kifua, ila jua hakuna lisilo na mwisho duniani, nani kama Gaddaf Africa? Now yuko wapi?? "Mwerevu huuona mtego na kujificha"
 
Jamaa anaongelea wishful thinking, hatuwezi kukomboa nchi kwa matarajio pekee. We walk the talk.
 
Makupa kwanini Magamba ni wepesi wa kusahau? si mlisema chadema ni chama cha msimu ambacho huwa kinaonekana kwa wananchi wakati wa uchaguzi? sasa imekuwaje tena au ni kwa kuwa wanaenda kuangalia kama mmetimiza ahadi zenu 100 alizotoa JK. Vumilia kaka ndiyo hivyo CCM inapotea naamini 2015 wewe pia utaikana CCM na kusema hukuwa mmoja wao.
 
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.

Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.

Haya ndiyo makuzi ya akili za wanamagamba,laiti kama ungekuwa unajiuliza kwa nini kila siku unasali usingekuwa unawaza juu ya harakati za kuelimisha umma[civic education].SINA UHAKIKA KAMA ULIWAHI KUKUTANA NA METHALI'ELIMU HAINA MWISHO'.EWE MTZ ACHA KUDANGANYIKA,2015 CDM ITAKUJA KIVINGINE KABISA,KINACHOFANYIKA SASA NI MASS AWARENESS TU TOWARDS GVT FORMATION ON DEC.2015.KEEP IN TOURCH.
 
Back
Top Bottom