OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 227
Magamba at work. Huu ni umbeya, wananchi wapi hao wakati kila kuchao watu wanahamia cdm. M4C NI ZAIDI YA TSUNAMI.
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.
word..kila siku mnakalia politics tu kuwalemaza watu badala ya kuwahamasisha kufanya kazi..nchi haijengwi kwa satilili hii ya mikutano kila siku...hili swala lilikuwa linaniumiza kichwa sana..nashagazwa na utaratibu wa msajili wa vyama pamoja na sheria inayosimamia mambo ya vyama vya siasa kuwa weak kiasi kwamba inaipa vyama loop hole ya matumizi mabaya ya uhuru wa vyama kufanya kazi za kisiasa..mbona uchaguzi ulishakwisha kitambo ndugu zanguni?? let us be realistic..lini tutafocus kujenga taifa letu..ghafla tu..zimeashaanza vugu vugu za uchaguzi wa 2015 wakati bado miaka mitatu kufikia huko.. kwahiyo mnataka kuniambia tutaendelea na porojo hizi kwa miaka mingine mitatu mfululizo?? tuache ujinga na tufanye kazi period!!! anaenuna na anune..na ataenuna ni mmoja wapo wa wavivu wanaotuletea umaskini..
Kilaza wewe kaa kimyaSiku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata
umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.
Mikutano yenyewe haina jipya kila siku wanazungumza yaleyale ufisadi ufisadi ufisadi mpaka watu wamewachoka...hawana sera nyingine,hawasemi tukiwapa nchi watatusaidia vipi 2pate maendeleo...
Ndio maana mikutano yao inajaa Arusha na Moshi pekee,kwingine huwa wanakosa watu kabisa.
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.
watu wa chadema mnapenda sana vurugu.....sasa nazidi kuamini ile alama ya V ni kweli inamaanisha manati.
aya sio maneno mazuri kwa mtoto wa kike,jifunze staha Angel Msoffe.
Mikutano yenyewe haina jipya kila siku wanazungumza yaleyale ufisadi ufisadi ufisadi mpaka watu wamewachoka...hawana sera nyingine,hawasemi tukiwapa nchi watatusaidia vipi 2pate maendeleo...
Ndio maana mikutano yao inajaa Arusha na Moshi pekee,kwingine huwa wanakosa watu kabisa.
unakideri wewe
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.
word..kila siku mnakalia politics tu kuwalemaza watu badala ya kuwahamasisha kufanya kazi..nchi haijengwi kwa satilili hii ya mikutano kila siku...hili swala lilikuwa linaniumiza kichwa sana..nashagazwa na utaratibu wa msajili wa vyama pamoja na sheria inayosimamia mambo ya vyama vya siasa kuwa weak kiasi kwamba inaipa vyama loop hole ya matumizi mabaya ya uhuru wa vyama kufanya kazi za kisiasa..mbona uchaguzi ulishakwisha kitambo ndugu zanguni?? let us be realistic..lini tutafocus kujenga taifa letu..ghafla tu..zimeashaanza vugu vugu za uchaguzi wa 2015 wakati bado miaka mitatu kufikia huko.. kwahiyo mnataka kuniambia tutaendelea na porojo hizi kwa miaka mingine mitatu mfululizo?? tuache ujinga na tufanye kazi period!!! anaenuna na anune..na ataenuna ni mmoja wapo wa wavivu wanaotuletea umaskini..
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.
mbwa koko mkubwa,hamia rwandaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaSiku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.
Kirumba uliona? Sengerema uliona? Mbeya uliona? songea uliona?