Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 289
Heshima kwako mwanaJF!
Napenda kutoa taarifa kwa wale wanachama/wafuasi wa CDM wanaoishi/wanaotoka wilaya ya Lushoto kwamba kutakuwepo na operesheni kabambe ya kienezi tunayotarajia kufanya kabla wa mwezi wa 8. Hivyo kama mdau wa M4C tunakuomba kushirikiana nasi kuwezesha zoezi hili. Tunaamini kabisa wilaya ya Lushoto inaweza kuwa chachu wa fikra za mabadiliko kwa Mkoa wa Tanga.
Zingatia: Lushoto kuna majimbo matatu, Lushoto, Mlalo na Bumbuli. Jipe moyo kwa pamoja tunaweza, wasiliana nami kwa simu namba 0714 311 164 ili kuweza kujiunga na timu ya wapambanaji.
M4C+PEOPLE'S POWER=HAKIKA TUTASHINDA!