Chadema lushoto: M4c+people's power hakika tutashinda!

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
Heshima kwako mwanaJF!

Napenda kutoa taarifa kwa wale wanachama/wafuasi wa CDM wanaoishi/wanaotoka wilaya ya Lushoto kwamba kutakuwepo na operesheni kabambe ya kienezi tunayotarajia kufanya kabla wa mwezi wa 8. Hivyo kama mdau wa M4C tunakuomba kushirikiana nasi kuwezesha zoezi hili. Tunaamini kabisa wilaya ya Lushoto inaweza kuwa chachu wa fikra za mabadiliko kwa Mkoa wa Tanga.

Zingatia: Lushoto kuna majimbo matatu, Lushoto, Mlalo na Bumbuli. Jipe moyo kwa pamoja tunaweza, wasiliana nami kwa simu namba 0714 311 164 ili kuweza kujiunga na timu ya wapambanaji.

M4C+PEOPLE'S POWER=HAKIKA TUTASHINDA!
 
Hongera sana, Mungu atatangulia juhudi hizi.

Naomba mchuje sana ili kuwaondoa watakaojifanya ni timu ya mapambano kumbe ni wanafiki wa magamba.
 
Mgosi wa ndima kaza buti,wasambaa nawakubali sana ktk mkoa wa Tanga hili ni kabila linalojituma hasa,i hope mtafanya pia mabadiliko ya kisiasa'its time for Revolution na Zumbe yuko pamoja nanyi
 
Heshima kwako mwanaJF!

Napenda kutoa taarifa kwa wale wanachama/wafuasi wa CDM wanaoishi/wanaotoka wilaya ya Lushoto kwamba kutakuwepo na operesheni kabambe ya kienezi tunayotarajia kufanya kabla wa mwezi wa 8. Hivyo kama mdau wa M4C tunakuomba kushirikiana nasi kuwezesha zoezi hili. Tunaamini kabisa wilaya ya Lushoto inaweza kuwa chachu wa fikra za mabadiliko kwa Mkoa wa Tanga.

Zingatia: Lushoto kuna majimbo matatu, Lushoto, Mlalo na Bumbuli. Jipe moyo kwa pamoja tunaweza, wasiliana nami kwa simu namba 0714 311 164 ili kuweza kujiunga na timu ya wapambanaji.

M4C+PEOPLE'S POWER=HAKIKA TUTASHINDA!
Fantastic move, keep it up. Waelimisheni watu wa Tanga waache kuyakumbatia mafisi yanayolitafuna taifa letu bila hata ya woga.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom