THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,365
- 12,823
Ladies & getlemen,,
friends & enemies,,
ifike wakati sasa tuweze kuthubutu kuiambia ukweli chadema kua kuendelea kutegemea mapungufu ya mafisadi kama mtaji kwao kisiasa na fursa ya wao kukimbilia kwa watanzania kuomba ridhaa ya kuongoza nchi hii ni kujidanganya na kuendesha harakati za msimu,
pamoja kuendesha harakati zinaofanana na uvumo wa upepo
nani hapa leo yuko radhi kuwaona chadema wakiwa madarakani na sera yao ya kuigawa nchi hii kiukanda na majimbo,hatuoni kua hii ndio itakua ni muendelezo wa zile siasa za ukanda tunazozipigia kelele kila siku??
Ifike wakati sasa kwa wao kua busy kutengeneza sera zenye uhalisia na maisha ya watanzania kuliko kutumia umaskini na kukata tamaa kwa watananzania walio wengi hasa hasa vijana kama petroli katika harakati zao mfu,,
wakiendelea kwa hulka za siasa za aina hii watakua kila siku wanaishia kuibua slogan mara operation sangara mara m4c n.k,,
kuigawa nchi hii ktk majimbo ni kitu cha kusadikika kama ndoto za abunuasi,,