hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,539
sasa wewe ulikua unataka bei ya 1995 ya sukari ifanane na ya 2012??
Maisha hubadilika ndugu
kupanda na kushuka kwa thamani ya sarafu hakukuaanza zama hizi tuh
usikariri...
So, unaona ni sawa kabisa hiyo bei kuwa namna hiyo?
Huko kupanda na kushuka kwa thamani ni Tanzania tu?!
Hebu fanya utafiti Nchi za jirani(Afrika Mashariki na Kati) uone ongezeko la bidhaa mfano sukari ilikuwaje/ikoje kwa sasakayika nchi zao.