Chadema kuwaadhibu madiwani wake watatu mkoani Arusha

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, amesema uongozi utawachukulia hatua kali za kinidhamu madiwani watatu wa chama hicho mkoani Arusha, wanaotuhumiwa kukisaliti kwenye hoja ya kumtambua Meya wa Arusha, Gaudence Lyimo.

Madiwani hao ni Diwani wa Kata ya Sekei, Chrispine Tarimo. Diwani wa Kata ya Engutoto, Elbariki Malley na Diwani wa Viti Maalumu, Rehema Mohammed, wote kwa pamoja wanachungunzwa kwa madai tofauti ya usaliti ndani ya chama hicho kuhusu kumtambua Meya wa Arusha.

Akizumgumza mwishoni mwa wiki iliyopita, kwenye viwanja vya Mahakama kuu kanda ya Arusha. Dk Slaa alisema madiwani hao watashughulikiwa.

SOURCE: MWANACHI MEI 3, 2011
 
Madiwani hawana haki ya kujiamulia msimamo kwa faida ya wanaowaongoza?
 
Siku Dk Slaa au Mbowe wakifanya makosa sijui nani atawashughulikia, labda Lema na navyomjua Lema atawapiga ngumi mpaka watakoma
 
kwa hilo lema ni jambo dogo sana kwake kufanya.kwa sababu maamuzi ya LEMA huya hayotoki katika ubongo wake. kwa ufupi hashirikishi ubongo wake ktk maamuzi.
 
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, amesema uongozi utawachukulia hatua kali za kinidhamu madiwani watatu wa chama hicho mkoani Arusha, wanaotuhumiwa kukisaliti kwenye hoja ya kumtambua Meya wa Arusha, Gaudence Lyimo.

Madiwani hao ni Diwani wa Kata ya Sekei, Chrispine Tarimo. Diwani wa Kata ya Engutoto, Elbariki Malley na Diwani wa Viti Maalumu, Rehema Mohammed, wote kwa pamoja wanachungunzwa kwa madai tofauti ya usaliti ndani ya chama hicho kuhusu kumtambua Meya wa Arusha.

Akizumgumza mwishoni mwa wiki iliyopita, kwenye viwanja vya Mahakama kuu kanda ya Arusha. Dk Slaa alisema madiwani hao watashughulikiwa.

SOURCE: MWANACHI MEI 3, 2011
Slaa anataka kuturudisha kwenye enzi za ziduma fikra za:::
 
Wameisha baini kuwa nyie mnawachuuza, na mmesababisha mauaji ya Arusha pasipo sababu za msingi wakati utaratibu ulifuatwa
 
hapa inaonekana kuna msimamo ambao chama kama chama wameshakubaliana, kwahiyo si vyema wengine wakaanza kurudi nyuma kwani kufanya hivyo wanasalitiana na pia kukisaliti chama, na mwisho wa siku wote wataonekana hawana maana mbele ya wananchi, upinzani na ccm pia.ni vizuri wakaendelea na msimamo wao wa kwanza au wakabalisha kwa kukishirikisha chama lakini iwe ni msimamo wa pamoja.
 
Mbona huja qoute habari nzima toka gazeti la mwananchi umechagua habari duuh uchakachuwaji mpaka kwenye habari ya gazeti ungeeleza amesemaje kuhusu meya pia kwenye gazeti hilo
 
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, amesema uongozi utawachukulia hatua kali za kinidhamu madiwani watatu wa chama hicho mkoani Arusha, wanaotuhumiwa kukisaliti kwenye hoja ya kumtambua Meya wa Arusha, Gaudence Lyimo.

Madiwani hao ni Diwani wa Kata ya Sekei, Chrispine Tarimo. Diwani wa Kata ya Engutoto, Elbariki Malley na Diwani wa Viti Maalumu, Rehema Mohammed, wote kwa pamoja wanachungunzwa kwa madai tofauti ya usaliti ndani ya chama hicho kuhusu kumtambua Meya wa Arusha.

Akizumgumza mwishoni mwa wiki iliyopita, kwenye viwanja vya Mahakama kuu kanda ya Arusha. Dk Slaa alisema madiwani hao watashughulikiwa.
SOURCE: MWANACHI MEI 3, 2011

Hatutaki Wasaliti kwenye CHAMa...twataka watu wenye nia ya Dhati ya Kushirikiana kuendesha Mashua ya Demokrasia ya kweli
 
Back
Top Bottom