CHADEMA kutoa tamko kufuatia kikao cha dharura cha kamati kuu leo

Hamuyu

Senior Member
Mar 29, 2010
118
21
Wakuu,

Kuna taarifa kwamba baada ya Kikao cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku jana, Viongozi wa CDM wanatarajiwa kutoa tamko zito saa 5 asubuhi ya leo wa Tz tukae mkao wa kula ili kujua kilichojiri kwenye kikao cha Kamati Kuu ya dharura iliyokutana jana.
 
Hayo yote yanamwisho.Nitafurahi kama tamko litaelezea njia mbadala ya kuhakikisha tunakuwa na umeme wa kudumu, kupita kwa wamiliki viwanda kupunguza bei ili mlipuko wa bei usiwepo,pia njia mbadala ya kutufanya sisi tusilipe deni la dowanz na mali zetu za nje ya nchi zisishikwe.
Pia nitajisikia faraja kama tamko litakuwa la hekima na si jaziba. Ugomvi wa CDM na Makamba tumesha uchoka.Kulalamika sana ni dalili mbaya
 
Ninayo imani moyoni kwamba CDM na viongozi wake ni makini sana, ni chama chenye kufanya utafiti, tathmini ya kina na kisichokurupuka, ninayo imani kama chama mbadala wa Serikali iliyopo madarakani watatoa mwelekeo na kuhakikisha wanaiwajibisha serikali ili irudi kwenye mstari, vuta subira Mkutano wao na waandishi wa habari ni saa 5:00 asubuhi ya leo na baada ya hapo tuje kujadiliana
 
Vipi tanko bado tu au ndio ilikuwa danganya toto kama ilivyo kawaida yao chadema .

Poleni sana
 
Gadaffi anakiona cha moto hapa naona viranja wakuu wa dunia wanamuadhibu, huku Poor African Union calling for immediate attacks on Libya, haya sijui ndio CDM nao wanataka watupe route.... saa tano si mbali, ni saa tatu asa ivi
 
Originally Posted by HM Hafif Vipi tanko bado tu au ndio ilikuwa danganya toto kama ilivyo kawaida yao chadema .

Poleni sana

Hueleweki sijui unachokusudia kutuambia umeambiwa saa 5 ya leo au upo nchi gani wewe

unajua hata wajina wa mtu unabeba yeye alivo, nadhani unaelewa mtu hafifu ina maana ipi...

Ngoja tusubirie makamanda wetu watoe tamko
 
HM [B said:
Hafif[/B];1757922]Vipi tanko bado tu au ndio ilikuwa danganya toto kama ilivyo kawaida yao chadema .

Poleni sana

Watu huchagua ID/nickname kulingana na mawazo yao. Post yako hafifu kama id yako. Hongera ndo mwisho wa kufikiria MR/MRS/MS. hafifu
 
.Nitafurahi kama tamko litaelezea njia mbadala ya kuhakikisha tunakuwa na umeme wa kudumu, kupita kwa wamiliki viwanda kupunguza bei ili mlipuko wa bei usiwepo,pia njia mbadala ya kutufanya sisi tusilipe deni la dowanz na mali zetu za nje ya nchi zisishikwe.

Tamu kwelikweli.
CCM ihare chadema wawachambishe?
Tatizo la umeme, solution yake ni kumwajibisha mkulu wa inchi na dowansi yake. Deni la dowansi mnalolipa linaingia kwenye akount za mafisadi wenzenu wakiongozwa na mzee wakujichekesha na kukenuakenua.
"Mali zetu za nje ya nchi zishishikwe": woga umeaingia tayari? mmeibia watanzania na mkakati wa CDM(tukishachukua nchi) ni kurudisha mali yote mikononi mwa waTZ. Zile ofshore accounts za Cayman island, Zurich all will be freezed, na kikaango hamtakiepuka. Kamasi zishawaanza kuwatoka. Subiri dk chache tamko la chadema.
 
@SIGMA: Siyo freezed ni FROZEN you cant learn English hapa nenda shule. BTW KUDOS CHADEMA
 
Hayo yote yanamwisho.Nitafurahi kama tamko litaelezea njia mbadala ya kuhakikisha tunakuwa na umeme wa kudumu, kupita kwa wamiliki viwanda kupunguza bei ili mlipuko wa bei usiwepo,pia njia mbadala ya kutufanya sisi tusilipe deni la dowanz na mali zetu za nje ya nchi zisishikwe.
Pia nitajisikia faraja kama tamko litakuwa la hekima na si jaziba. Ugomvi wa CDM na Makamba tumesha uchoka.Kulalamika sana ni dalili mbaya
takataka
 
Duh! Leo nimeamini huyu jamaa ni kilaza. Sasa cdm watoe hayo kwani ndio wameshika dola hata kama wakitoa mapendekezo unafikili hao mafisadi watayafanyia kazi af wale wapi, we Mak kumbe huna unalolijua, hayo uliyosema yanatakiwa yatolewe na serikali na kufanyiwa kazi sio cdm. Nakushauri uwe unachuja mambo kabla ya kutoa kwa watu wenye akili. Yaani umefuka sijapata kuona
 
Vipi tanko bado tu au ndio ilikuwa danganya toto kama ilivyo kawaida yao chadema .

Poleni sana

Aah Hafif salamwalekum ndugu yangu, safi naona leo umeibuka napenda kusoma pumba zako, naona umeanza go on.
 
Asante mkuu, tunaomba mtujuze nasi kupitia jamvi hili, Jpili njema.
 
Back
Top Bottom