CHADEMA Kutingisha Morogoro

Communist

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
5,400
1,181
attachment.php


Tarehe 27 August, Jumatatu,
umekuwepo na mkutano mkubwa sana ambao haujawahi kutokea hapo K ndege (Fire) kwa ajili ya wakazi wa morogoro mjini.

Maandamano yaliingiliwa na polisi lakini yalifanyika

Muuza magazeti maeneo ya msamvu amefariki baada ya kupigwa kichwani na Polisi

CDM hawakufanya vurugu.

Mkutano ulianza saa nane mchana hadi saa kumi na mbili jioni.

Baadaye uchaguzi wa viongozi ulifanyika katika hoteli

183503302.jpg


Mkurugenzi wa Habari na Uenezi CHADEMA na Mbunge wa jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam John Mnyika akipanda jukwaani wakati akiwasili katika uwanja huo (Photo by Molemo the great)
One-of-CHADEMA-Morogoro-meetings.jpg

Angalia mambo yanavyoendelea vijijini, nafikiri njini itatisha.
"Hali inaonyesha kuwa vijana wengi na wazeee hasa wale waliokuwa vyama vya CCM na CUF wamehama vyama hivyo na kukiunga mkono CDM. Mfano mmoja wapo ni pale Tawi moja wapo lililokuwa na washabiki wa chama cha CUF karibu na BUSH BAR...SUA ROAD limebadilika na kuwa CDM.kama upo morogoro pita hapo utaona mwenyewe. Pia kwa mjibu wa kijana mmoja hivi yeye anakaa chamwino anadai kuwa nyumbani kwao kulikuwa na shina la CCM..hivo shina hilo nalo limebadilika na kuwa CDM. Jamani haya ni maneno ya kweli...Ngome ya CCM sasa inakwenda alijojo.....nawakilisha". (Matata 2011)

Tarehe 27 August 2012, fungueni masikio na macho, hukuna kuogopa.

DSC_0230.JPG




====================================
MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA MKUTANO HUO
====================================


Kiongozi mkuu wa upinzani nchini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Morogoro na vitongoji vyake, katika mkutano wa hadhara wa operesheni sangara, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege


Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliojitokeza katika mkutano huo.

Makamu Mwenyekiti CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed akifafanua jambo kwa wananchi hao.

Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Igunda kupitia CHADEMA, Joseph Kashinde akizungumza na wananchi waliohudhuria katika mkutano huo


Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Morogoro na Mbunge wa viti Maalum CHADEMA Suzan Kiwanga akimwaga sera za chama hicho.


Mkurugenzi wa Habari na Uenezi CHADEMA na Mbunge wa jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam John Mnyika akipanda jukwaani wakati akiwasili katika uwanja huo
 
Duhh hii sijawahi kuona. Heri watuletee matumaini. Mori umeshapanda kinoma. Kama noma na iwe noma. Mungu yupo pamoja nasi
 
Kuna ngurumo za peoples power kesho tarehe 25, Morogoro has maeneo ya Pembezoni kama Chamwino, Kihonda, Kauzeni, Milimani na kadhalika. Pia Tarehe 27 kutakuwa na mkutano mkubwa sana ambao haujawahi kutokea hapo K ndege kwa ajili ya wakazi wa morogoro mjini.

Wakazi wa Moro mjini kaeni mkao wa kula raha ya M4C kwa mara ya kwanza.

Nawatakia amani na upendo. Hakutakuwa na vurugu.

Mwenye ratiba kamili atuwekee hapa.

One-of-CHADEMA-Morogoro-meetings.jpg

Angalia mambo yanavyoendelea vijijini, nafikiri njini itatisha.

Umati mkubwa kiasi hiki sikuwahi kuushuhudia live! Ulikuwa wapi?
 
Watu wanaweza wasitokee wengi maana wanaogopa kupigwa risasi na bunduki ambayo haijasajiliwa.
 
People power ni kubwa kuliko sisi wachache tunaochapa jalamba katika mitandao; hali ni tete kabisa kwa magamba sio kawaida; they are fully locked up
 
Kuna ngurumo za peoples power kesho tarehe 25, Morogoro has maeneo ya Pembezoni kama Chamwino, Kihonda, Kauzeni, Milimani na kadhalika. Pia Tarehe 27 kutakuwa na mkutano mkubwa sana ambao haujawahi kutokea hapo K ndege kwa ajili ya wakazi wa morogoro mjini.

Wakazi wa Moro mjini kaeni mkao wa kula raha ya M4C kwa mara ya kwanza.

Nawatakia amani na upendo. Hakutakuwa na vurugu.

Mwenye ratiba kamili atuwekee hapa.

One-of-CHADEMA-Morogoro-meetings.jpg

Angalia mambo yanavyoendelea vijijini, nafikiri njini itatisha.
Sasa ninaelewa ni kwa nini CCM inahaha kuhonga watu na kuwabeba kuwapeleka kwenye mikutano. How can you fight this?
 
Duhh hii sijawahi kuona. Heri watuletee matumaini. Tumekata tamaa kabisa.

Dr. Slaa akikusikia atasikitika. Ameshaandika humu (kunionya mimi hapo nyuma)kwamba kukata tamaa ni kosa kubwa kuliko makosa yote.

Najua tunaudhiwa sana na CCM, lakini tusikate tamaa. Tufuate mfano wa makamanda wetu wa kuwakaba CCM kotekote. Tukumbuke Regia Mtema alivyoasa kwamba watakaba ndani na nje ya Bunge.
 
Wachimbe mitaro hata barabara za lami ili magari ya CDM yasipite lakini M4C hazuiliki hata kwa silaha ambazo hazijasajiliwa za Chama cha mabwepande
 
mleta mada hiyo picha uliyo weka ni moshi? maana nape husema hiki chama cha wachaga
 
Chamwino wana bahati, leo saa tisa M4C full swing. Nakumbuka kwamba hii ilikuwa ngome ya upinzani miaka ya 1995. Morogoro leo kitaeleweka.
 
mleta mada hiyo picha uliyo weka ni moshi? maana nape husema hiki chama cha wachaga
Waache waendelee kusema moshi, lakini kufichaficha ugonjwa kifo kitawafichua. Huu ugonjwa wa gamba utawamaliza. Muulize Nape siku tisini hazijatimia? Na wale mapacha watatu vipi?
 
Ukiambiwa huo umati hawajapewa tshirts, nauli, ubwabwa wala khanga unaweza kubisha! What a colourful crowd! Inapendeza!
 
Back
Top Bottom