CHADEMA Kutingisha Morogoro

Tupia basi ka link ka hii
shughuli pevu tuone jamanii
mimi nipo jimbo la sengerema
natoa elimu vijijini...........

V
SENGEREMA
 

kiongozi mkuu wa upinzani nchini na katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema), dkt. Willibrod slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa morogoro na vitongoji vyake, katika mkutano wa hadhara wa operesheni sangara, kwenye uwanja wa shule ya msingi uwanja wa ndege


mbunge wa singida mashariki, tundu lisu akizungumza na wananchi wa manispaa ya morogoro waliojitokeza katika mkutano huo.

makamu mwenyekiti chadema zanzibar said issa mohamed akifafanua jambo kwa wananchi hao.

aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la igunda kupitia chadema, joseph kashinde akizungumza na wananchi waliohudhuria katika mkutano huo


mwenyekiti wa chadema mkoa wa morogoro na mbunge wa viti maalum chadema suzan kiwanga akimwaga sera za chama hicho.


mkurugenzi wa habari na uenezi chadema na mbunge wa jimbo la ubungo jijini dar es salaam john mnyika akipanda jukwaani wakati akiwasili katika uwanja huo
umati ni mkubwa sana, je ulinzi wa polisi ulikuwepo au na waligoma kulinda wananchi, je wao ni usalama wa raia au usalama wa ccm???? Je na baada ya mkutano kama huo kulikuwa na tatizo lolote?? Mwenye taarifa atuhabarishe kuhusu ulinzi ulivyokuwa hiyo jana
 
Ni kweli Abood alivyochanwa! Maana anakuwa mwema ktk kuzika na si kuuguza. Iwaje anatoa mabasi ya kuzikia tu na si magari ya wagonjwa. Kwanini asitoe madawa?
C D M juuu
 
The world should come to its senses and realize that there is extreme brutality being perpetrated by the CCM government in Tanzania. The pictures of that young man who was shot through the back of his head simply because he took part in free political expression should go viral.

Ukificha ugonjwa kifo kitakusema
. Kuna ugonjwa umejitokeza Tanzania, wa watawala kutumia polisi kupiga na kuua wananchi. Si mambo ya kuficha haya, lazima CHADEMA ishirikishe mataifa wahisani wajue unyama wa washirika wao.

Mubarak tried hard to contain free political expression by using bullets. He failed miserably. Yuko anapelekwa mahakamani kwenye machela sasa, na huenda atanyongwa.

Naiomba CHADEMA iweke ushahidi wa hizi picha na vitu vingine ambavyo vitawawezesha Watanzania kuwaadabisha wauaji wao mara baada ya kuing'oa CCM madarakani.
Those who murder us now should not expect their perceived immunity to count when the time comes to take them to task. They may not murder freely.
 
Watu wamekata tamaa, maisha ni magumu sana na hawana matarajio mema.wenye dhamana hawana njia sahihi za kufanya watu wawe na kipato.hawaweki mazingira mazuri ya kuwawezesha kupunguza umasikini wa kipato na ndio maana kwa mfariji wa mioyo yao japo kwa kujua tu matatizo na shida zao ni CDM.
 
DSC01458.JPG
M4C - Morogor Fire
DSC01435.JPG

M4C. Bado kidogo tu.
 
Moto wangu wa M4C jana ulipanda mara 10 zaidi, nahisi nahitaji counselling nitulie kidogo.
 
Back
Top Bottom