CHADEMA Kutingisha Morogoro

Dr. Slaa akikusikia atasikitika. Ameshaandika humu (kunionya mimi hapo nyuma)kwamba kukata tamaa ni kosa kubwa kuliko makosa yote.

Najua tunaudhiwa sana na CCM, lakini tusikate tamaa. Tufuate mfano wa makamanda wetu wa kuwakaba CCM kotekote. Tukumbuke Regia Mtema alivyoasa kwamba watakaba ndani na nje ya Bunge.
Hata Mandela alikata tamaa kwa makaburu, ni suala la tafsiri tu. Lakini kwa maana yangu mapambano dhidi ya ufisadi yamekolea. Hata mbwa ukamfukuza, akafika ukingoni asione pa kutokea, hakika atakujeruhi. Kukata tamaa sio kujikunja na kulia yowe. Kwa mimi nikikata tamaa napigangumi za macho.
 
Hiyo picha ni ishara tosha kwamba kazi inafanyika kuhamasisha wananchi waamke. Kitaeleweka tu 2015.
 
Kuna mzee mmoja amenifurahisha sana hapa Moro, aliniuliza uko katika harakati za chama gani, akaongezea cha Power. Nikamwambia ndio. Akasema sawasawa. Yaani Moro wako wengi, wanangijea unity the power.
 
Saa ya ukombozi ni sasa!hii M4C naisubiri sana huku Moshi vijijini tumetengwa jama,tren ya ukombozi inapita tukiitizama kwa mbali!
 
leo kutakuwa na vuguvugu kila kata hpa morogoro manispaa,makamanda wakimwaga sera.,hvyo kaeni mkao wa KIKAKAMAVU ZAIDI.peopleeeee poweeeerr
 
M4C mpaka CCM slaa.jpg
 
Jana mpaka saa 7 usiku gari la matangazo lilikuwa likitangaza Mikutano ya Chadema ....Hakika hakuna kulala.
 
Ngoja niende kutafuta vikao sasa vilipo nitawajuaza yanayojiri....maana sisi ndio wadau wa Moro! au kama kuna mwenye taarifa kwasasa wapo wapi ili nisiunguze mafuta.
 
Ngoja niende kutafuta vikao sasa vilipo nitawajuaza yanayojiri....maana sisi ndio wadau wa Moro! au kama kuna mwenye taarifa kwasasa wapo wapi ili nisiunguze mafuta.
Nami nawaletea live si muda mrefu kutokea sasa.
 
Back
Top Bottom