Chadema kumekucha ubunge Sumbawanga Mjini

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,899
hche.JPG

Heche avuta umati.

Chadema imepiga hodi Sumbawanga jana na kuanza kambi rasmi ya kutetea jimbo lililochukuliwa kwa mizengwa na CCM kisha kunyang'anywa na mhimili wa Mahakama nchini. Jimbo liko wazi na Chadema imeshapuliza filimbi ya kuamsha kasi ya wimbi la mageuzi huko Sumbawanga lengo likiwemo kulichukua jimbo uchaguzi mdogo ujao.

hche1.JPG

Wahudhuriaji jana Sumbawangu walivyofunika mbaya kuonyesha matumaini mapya kuwajaa mioyoni mwao.
hche2.JPG

hche3.JPG

Mwl.Yamsebo aliyekuwa mgombea wa CHADEMA uchaguzi mkuu uliopita

hche6.JPG

Moto huu hadi kieleweke, umati huu si wa kawaida, "ee ndita mkwai, yapola yonsi, yaposile tataitu."
 
Impressive!

Heche afanye na sensa ya papo kwa papo pia ili kujua kwenye umati huu wangapi ni eligible voters.

Vinginevyo ni sawa na kula ugali kwa harufu ya samaki!!
 
Impressive!

Heche afanye na sensa ya papo kwa papo pia ili kujua kwenye umati huu wangapi ni eligible voters.

Vinginevyo ni sawa na kula ugali kwa harufu ya samaki!!

Heche afanye sensa kwa nini kwani yeye Tume ya Uchaguzi au Tume ya sensa ambayo mpaka leo hatujui tulifikia wangapi Tanzania. MAmbo ya CCM Igunga noumer hatutaki.Ebo!!
 
Impressive!

Heche afanye na sensa ya papo kwa papo pia ili kujua kwenye umati huu wangapi ni eligible voters.

Vinginevyo ni sawa na kula ugali kwa harufu ya samaki!!

Lile Daftari linatofautiana sana na nia ya watz.Km hawatafanya mabadiliko ili kuongeza watu walioksa kipindi kile bado hata waumini wapya watakosa nafasi.Ila good news ni kwamba wanakuwa reserve ya mwaka 2015, na walinda kura wa uchaguzi huu.
 
Haya bwana, mwenye macho haambiwi tazama. Mkapa naye atapeleka nyama, mchele, na mahindi mara hii? Kweli watanzania wameelimika na wanaonyesha kwa matendo kuwa ukombozi unawezekana. CCM endeleeni kutoa hongo tu kwani Sumbawanga tutakula CCM na kupiga kura.......malizia!
 
Heche afanye sensa kwa nini kwani yeye Tume ya Uchaguzi au Tume ya sensa ambayo mpaka leo hatujui tulifikia wangapi Tanzania. MAmbo ya CCM Igunga noumer hatutaki.Ebo!!

Inatia moyo kujua hawakusombwa na maroli!!
 
Back
Top Bottom