Chadema kumekucha ubunge Sumbawanga Mjini

ccm kaeni numbani muda wenu umekwisha sumbawanga kama alumeru.
 
chadema ndo chama wengine ni magenge tu....chek inavyojaza watu bila kuwa na lori wala costa huyo ni heche tu...wangekuja wakina slaa mnyika zitto na mbowe na lisu aaaah na sugu aah na na nakadhalika ingekuwaje..?
 
Yaani hapo ccm wanaenda n hela nyingi sana maana wanajua kuanguka kupo tena sana ushauri kuleni hela zao na wali kura msiwape maana watatafuta kil njia kulipa hela zao na wali wao

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom