Chadema kuelekea 2015

Mallaba

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
2,554
47
Pamoja na Mambo mazito ambayo yanaendelea kuikumba nchi yetu nashauri sasa ni
mda muafaka wa kuandaa mpango mkakati wa kueleka 2015, Tunahitaji Chama Makini,
kilicho na watu makini kuweza kuinusuru hii nchi.

Me Nashauri tuanze hivi,

Moja:
Chadema tuandae compaign ya nguvu ya kusajili wanachama, nadhani sasa tuna
washabiki wengi, ni vyema sasa tufanye usajili, Kadi zitolewe kwa wingi,
tunaweza hata panga a week for this activity, tujue Tanzania nzima kama chama
tuna wanachama wangapi. Swala hili linaweza andaliwa kwa nchi nzima, tukawa na
week moja specific kwa ajili ya udahili wa wanachama

Pili:
katika majimbo yetu ambayo tumeshinda naomba tuanzishe compaign ambayo itakuwa
Jamii Shirikishi, Mfano jimbo la Ubungo tunaweza angalia kero nyingi za wananchi
then tukaziwekea mkakati, Mfano Swala la Usafi, Miundombinu ya Barabara na Maji,
na kero ya FOLENI (traffic Jam). Mbunge anaweza andaa plan wananchi wakaanda
siku moja lets says SIKU YA USAFI UBUNGO, Tunaweza pia kufanya consultations na
kuomba sponser kwa baadhi ya makampuni na wadau, hii inakuwa siku moja specific,
wananchi wote wa ubungo wanajitokeza kufanya usafi wa JIMBO lao, me nadhani hii
itakuwa na impact kubwa sana, Nguvu kazi ipo, na wananchi wanakerwa sana na
matatizo haya ambayo yako ndani ya uwezo wao, they just need mobilization

Hata barabara za Kimara, Mbezi ect zinaweza kutengenezeka kwa nguvu ya Wananchi,
Kiasi cha kupata Greda la manispaa then wananchi tutachanga mafuta tuchonge
barabara zetu.

Nina Imanai kwa kufanya haya Majimbo yote yaliyo china ya Chadema yatakuwa
mfano, then 2015 mambo fresh, Naomba wengine tuchangie mikakati inayoweza
kutumika pls

Thanks
 
Nimewahi kusema huko nyuma kwamba watanzania wanakila kitu isipokuwa Viongozi.

Nakubaliana na wewe kwa hoja ya pili kwamba kuna madhira yanatusibu kwa vile tu viongozi wanapenda kufikiri kwa niaba yetu badala ya kutushirikisha. Yapo matatizo ktk jamii tunamoishi yanahitaji ushirikishwaji wa watu tu. Kwa mfano:
- Usafi wa mtaa
- kuziba/kufukia mazalia ya mbu
- ukarabati mdogo wa barabara za mtaa (za vumbi)
- Usafi kwenye maeneo ya wazi ili watoto wacheze mahali safi n.k

Tunahitaji kusikilizwa na kutoa maoni juu ya maendeleo yetu wenyewe.
Kama CDM watafanya hivi, ntakuwa wa kwanza kuomba kadi ya uanachama na itakuwa mara yangu ya kwanza kuwa mwanachama wa chama cha siasa.
 
inabidi kuanzia Ubungo junction kuwaondoa machinga wote pale. ndiyo wanaleta uchafu sehemu nyingi za hapo mpaka daraja karibu na landmark
 
Sawa kbs! Ninavyoona trend yaa hizi siasa za sasa. Kupata ticket ya kusimamishwa ubunge na udiwani kupitia CDM 2015 itakua ni ghali/ngumu sana kuliko Chama Cha Ma-Dowans! Ugumu huo utaongezeka kwa mikakati kama ulioianisha hapo na mingine mingi zaidi! CDM for 2015 should start now, and it should start via you and me.
 
hii ndio tunaita maendeleo shirikishi.
Maendeleo hayawezi kufikiwa bila ya jamii husika kuhusishwa na kushirikishwa .
Hivyo ni wajibu wa wabunge wetu kuwashirikisha wananchi wao katika mipango endelevu katika maendeleo yao
Nimewahi kusema huko nyuma kwamba watanzania wanakila kitu isipokuwa Viongozi.

Nakubaliana na wewe kwa hoja ya pili kwamba kuna madhira yanatusibu kwa vile tu viongozi wanapenda kufikiri kwa niaba yetu badala ya kutushirikisha. Yapo matatizo ktk jamii tunamoishi yanahitaji ushirikishwaji wa watu tu. Kwa mfano:
- Usafi wa mtaa
- kuziba/kufukia mazalia ya mbu
- ukarabati mdogo wa barabara za mtaa (za vumbi)
- Usafi kwenye maeneo ya wazi ili watoto wacheze mahali safi n.k

Tunahitaji kusikilizwa na kutoa maoni juu ya maendeleo yetu wenyewe.
Kama CDM watafanya hivi, ntakuwa wa kwanza kuomba kadi ya uanachama na itakuwa mara yangu ya kwanza kuwa mwanachama wa chama cha siasa.
 
Naunga mkono hoja!Wataongeza na kujikombea imani zaidi kutoka kwa wananchi!By 2015 ni kiasi cha kukumbushia tu!
 
well said Makindi, kutakuwa na mziki mzito sana 2015 hivyo maandalizi yanahitajika mapema
Sawa kbs! Ninavyoona trend yaa hizi siasa za sasa. Kupata ticket ya kusimamishwa ubunge na udiwani kupitia CDM 2015 itakua ni ghali/ngumu sana kuliko Chama Cha Ma-Dowans! Ugumu huo utaongezeka kwa mikakati kama ulioianisha hapo na mingine mingi zaidi! CDM for 2015 should start now, and it should start via you and me.
 
ahsante kwa kuunga mkono au mguu, but you should be part of the process to be done..au sio Lizzy
Naunga mkono hoja!Wataongeza na kujikombea imani zaidi kutoka kwa wananchi!By 2015 ni kiasi cha kukumbushia tu!
 
hii ndio tunaita maendeleo shirikishi.
Maendeleo hayawezi kufikiwa bila ya jamii husika kuhusishwa na kushirikishwa .
Hivyo ni wajibu wa wabunge wetu kuwashirikisha wananchi wao katika mipango endelevu katika maendeleo yao

Kata ya kijitonyama tuna diwani kwa tiketi ya CDM, hata kabla hajaapishwa alipitisha greda kwenye baadhi ya mitaa at least kukwangua na kuondoa mashimo yasokuwa na mpango. Wenye vi-corola tunapita kwa raha siku hizi.

Nimepanga this week end kwenda ofisini kwake kumwomba aje mtaani kwetu tuzungumze nae.
Watanzania wengi wameamka na wanataka mabadiliko. Nyerere alisema ili tuendelee tunahitaji:
1. Ardhi
2. Watu
3. Siasa safi
4. Uongozi bora

Sina shaka juu ya namba 1 na 2, hapo 3 na 4 ndo penye mgogoro.

Nimekaa jimbo la kinondoni kwa miaka 20 na sijawahi kuhisi kuna mbunge wala diwani ingawa kiuhalisia wamekuwepo.
Natumaini diwani wa sasa atafanya tofauti na watangulizi wake.
 
Mallaba, naunga mkono hoja. Moja kwa moja naanza utekelezaji. Kesho naanza zoezi la kutafuta ofisi ya Vijana ya Wilaya ya Moshi Vijijini. Ofisi hii italipiwa na michango ya vijana wa Moshi Vijijini kwa njia ya sms. Utakuwa ni umoja wa vijana wenye nguvu na ushawishi mkubwa. Utasimamia shughuli zote za kujitolea kama usafi, michezo mashuleni, kufundisha nk na kuandaa mijadala mbalimbali.

Hili linawezekana na tususubiri. Tutaandaa utaratibu wa kutembeleana ili kuwa na mshikamano na kusaidiana! Ni vizuri tukaanza sasa!!

Nakushukuru sana kwa hoja yako!
 
MsandoAlberto ni swala muhimu na jambo la kupendeza sana sisi kama jamii tunpofikia mahali tuna-realize what are our roles and responsibilities. Ni kweli viongozi wetu ndio wanaotakiwa kuwa real model wakitu ongoza katika miradi mbali mbali lakini sisi kama wananchi tuna impact kubwa sana kwani ni wengi zaidi ya hao wabunge au madiwani wetu.
Hivyo tukikaa pamoja nao kwa kushirikiana, kushauriana bila kudharauliana natumaini kuwa tunaweza kufikia hatua ya mhimu sana katika historia ya nchi yetu. Kuna tatizo kubwa la viongozi wetu tz kufanya mambo wenyewe tu bila kutushirikisha ndio maana wananchi wengi wanajiona kama sio sehemu (part of ) ya hiyo nchi.
Mfano nimeongelea hapo usafi kitu amabpo ni kidogo sana na kinachotekelezeka lakini kwa sababu ya kukosa motisha basi watu wanaona uchafu au wanatupa uchafu bila ya kujali kuwa pia wana athilika na hilo.
Umejaribu kugusia mambo mengine , kweli haya ni ya muhimu sana , Narudia kusema kuwa sio kwamba watu wanapenda mambo kama jinsi yalivyo ..la hasha ..tatizo lililopo na nililoliona na ninaloliona ni kukosa mtu/ watu wa kuwaongoza/ kuwa eleza fanya hiki au tufanye hiki.
Nauhakika mabadidilo ya nchi yetu yatakuja kutokana na sisi wenyewe,
Mallaba, naunga mkono hoja. Moja kwa moja naanza utekelezaji. Kesho naanza zoezi la kutafuta ofisi ya Vijana ya Wilaya ya Moshi Vijijini. Ofisi hii italipiwa na michango ya vijana wa Moshi Vijijini kwa njia ya sms. Utakuwa ni umoja wa vijana wenye nguvu na ushawishi mkubwa. Utasimamia shughuli zote za kujitolea kama usafi, michezo mashuleni, kufundisha nk na kuandaa mijadala mbalimbali.

Hili linawezekana na tususubiri. Tutaandaa utaratibu wa kutembeleana ili kuwa na mshikamano na kusaidiana! Ni vizuri tukaanza sasa!!

Nakushukuru sana kwa hoja yako!
 
Msando tungependa tupate ushuhuda wa hilo swala kama likianza huko Moshi,ili iwe ni changamoto kwa wilaya na majibo mengine tz nzima.
Watz tujitume na tujitoe wenyewe kwa kushirikishana katika community services, kama mashuleni, hospitalini,n.k...mbona nchi zingine wanaweza kwanini sisi tushindwe? tusitegemee kila kitu kifanye na Kikwete, Salaa au Pinda.
Mallaba, naunga mkono hoja. Moja kwa moja naanza utekelezaji. Kesho naanza zoezi la kutafuta ofisi ya Vijana ya Wilaya ya Moshi Vijijini. Ofisi hii italipiwa na michango ya vijana wa Moshi Vijijini kwa njia ya sms. Utakuwa ni umoja wa vijana wenye nguvu na ushawishi mkubwa. Utasimamia shughuli zote za kujitolea kama usafi, michezo mashuleni, kufundisha nk na kuandaa mijadala mbalimbali.

Hili linawezekana na tususubiri. Tutaandaa utaratibu wa kutembeleana ili kuwa na mshikamano na kusaidiana! Ni vizuri tukaanza sasa!!

Nakushukuru sana kwa hoja yako!
 
JF Haijawekwa kujadili mikaakti ya vyama vya siasa peleka huko ujinga wako! Leta hapa mambo ya Msingi! Useless.......................og
To you is a useless and nonsense but to others are most important things ever.
Hivyo sikushangai sana.
 
Napendekeza makao makuu ya Chadema yawe Moshi kwa Wachaga ambao ndio wamiliki wa Chadema! Ni mhimu sana
Wewe unaweza ukawa na matatizo tena sio machache, kama unaona thread haikupendezi si ni bora ukawachia wenzako ? kinachokuuma ni nini kama sio kiherehere na kisabina sabina? kuwa Great thinker maana yake ni kuweza kukubalina na kutofautiana na wenzako ,lakini sio kutoa kejeli.
 
Chadema should shoot best for God is not on the side of the big battalions, but on the side of those who shoot best.
 
naunga mkono hoja.mie huwa natembea na kadi kwenye bcase yangu.akitokea mtu anataka nampa.hadi sasa ofc mate wangu wengi ni cdm.wakubalance hamia tu cdm.mwanampotevu!
 
chadema hawana jipya hawana upinzani,ikiwa kweli nyie watetezi wa taifa anzisheni mjadala wa tanganyika irudi,kwani chadema katika sera zetu si munataka serikali tatu ? sasa mbona mumedai katiba mpya ya tanzania kwa nini musilie na nchi yenu tanganyika ? tanzania sio nchi ni muungano tu kama wa EU ila kwa ule ujinga wenu watanganyika munalipaisha kama ni nchi .. LETENI MJADALA WA TANGANYIKA IRUDI KAMA TAIFA LA WATANGANYIKA
 
Wakubalance naomba nikujibu.

Yaelekea unajitahidi sana kupotosha umma wa watanzania kuwa CDM ni chama cha wachaga. It is very too late. CDM ni chama cha watanzania wote makini excluding you. Na kimeenea nchi nzima for your information. Watanzania wa sasa hatudanganyiki na propaganda za sisiemu chama ambacho wewe unasupport
 
Back
Top Bottom