Hatimae Chama cha Demokasia na Maendeleo kimeonyesha uwezo wake na kuwahakikishia watu wa intelijensia na serikali ya JK kwa ujumla kuwa intelijensia zao si kitu na nizauongo uliokithiri. IGP anajiweka wapi baada ya CHADEMA kuongoza mazishi yaliyohudhuriwa na idadi ya watu ilyiovunja rekodi katika historia ya uwanja wa NMC Arusha na kumaliza vilivyo shughuli nzima bila hata ya polisi wa JK.
Hii inatafsiriwa kuwa ni aibu kubwa sana. Hivyo Said mwema na waziri wake wa mambo ya ndani wanapaswa kuachia ngazi mara moja. Wataficha wapi nyuso zao kutokana na aibu hii? CHADEMA wako makini na wanaijua intelijensia kuliko hata IGP. Imejihirisha leo hii Hapa NMC. Mnasemaje wana JF?