CHADEMA kimeiabisha serikali ya JK Arusha

cray

Senior Member
Nov 2, 2010
171
10
Hatimae Chama cha Demokasia na Maendeleo kimeonyesha uwezo wake na kuwahakikishia watu wa intelijensia na serikali ya JK kwa ujumla kuwa intelijensia zao si kitu na nizauongo uliokithiri. IGP anajiweka wapi baada ya CHADEMA kuongoza mazishi yaliyohudhuriwa na idadi ya watu ilyiovunja rekodi katika historia ya uwanja wa NMC Arusha na kumaliza vilivyo shughuli nzima bila hata ya polisi wa JK.
Hii inatafsiriwa kuwa ni aibu kubwa sana. Hivyo Said mwema na waziri wake wa mambo ya ndani wanapaswa kuachia ngazi mara moja. Wataficha wapi nyuso zao kutokana na aibu hii? CHADEMA wako makini na wanaijua intelijensia kuliko hata IGP. Imejihirisha leo hii Hapa NMC. Mnasemaje wana JF?
 
Umesema vema Cray, CDM ni chama kinachoaminika na it has proven so hasa kwa tukio hili kubwa na la kihistoria kilichofanyika Arusha leo. The so called Intelligencia if it ever exists, it has to be in the service of JK and his government; na si kwa maslahi ya Watanzania wenye nia njema na wanaoandamana kwa amani...yaani hata watu wanaoandamana bila silaha washambuliwe as if they are so hard core criminals who must be fought at all costs? It doesnt click at all what they called intelligentsia....
 
JK, Nahodha, Mwema, Andengenye na Zuberi wajiuzulu halafu wafanyiwe uchunguzi, na hatimaye wapelekwe mahakamani kwa kuua raia wasio na hata marungu.
 
Cray you are right!! CCM kinaongozwa na mavuvuzela na wasanii wakati CDM inaongozwa na watu makini!!
 
i concur, ccm imeaibika sana, JK ameaibika sana, believe me sasa wamemjua rasmi who is Dr Slaa and chadema machinery, waliwadharau, waliwabeza, sasa inakula kwao. Nasubiria wiki chache zijazo na bunge lifunguliwe rasmi april sijui hawa jamaa watasema nini hata sijui. Shame on JK and CCM pupets
 
Nimeona kwenye ITV and it was very moving event.
Sasa diplomats wajue wamekuwa wakisupport serikali ya kisanii na iliyojaa unafiki.

Asanteni CDM kwa kuliweza hili na kuwathibitishia wenye mamlaka kwamba kuna nguvu kuu kuliko wao ambayo ni Wananchi.
Na sauti ya wengi ni sauti Mungu mwenyewe.

Nakubaliana nawe kaka, aibu yao wenyeweeee
 
wanajamii ninachoweza kusema ni kwamba hao ccm including makamba sio watanzani bali ni wanaccm wasio watanzania ambao wao wanaona kuwa cdm inachokifanya inaona wahajui kumbe cdm ndo maintellejensia halisi na kuseme kweli pinda,igp, nahodha wajiuzuru kwsababu wameshiriki kuuwa wananchi na walipa kodi wao.nalia sana ila mzimu wa hao raia hautawacha salama pinda mtoto wamkulima anahusika kwa asilimia zote.
 
JK, Nahodha, Mwema, Andengenye na Zuberi wajiuzulu halafu wafanyiwe uchunguzi, na hatimaye wapelekwe mahakamani kwa kuua raia wasio na hata marungu.

Walitakuwa wawe walishajiuzulu kabla ya event ya kuwaaga marehemu pale NMC, Arusha. Lakini kutokana na kuwa mioyo yao na akili zao ni ganzi, hawawezi kujiuzulu bila umma kuwalazimisha! Vivyo hivyo na mkuu wao JK, kama alivyokuwa ganzi kwa ishu ya Dowans...!
Hawa watu ni ganzi, hawana akili kufikiri hisia za Umma, na hatma yao ni adhabu! Maamuzi ya umma yatawawajibisha, na hawatakuwa na pa kukimbilia tena! Tunaomba wajiuzulu wenyewe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom