Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,305
- 33,924
Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Isimani wamefanikiwa kuchangisha "thumuni thumuni" kutoka kwa wanachama wao wa vijijini na kufanikiwa kupata Shilingi 250,000 kwa ajili ya kufanya operesheni maalum ya kujenga chama kwenye Jimbo hilo. Kama kuna mtu yeyote anayetaka kusaidia kwa kiwango chochote kile cha fedha, vifaa, au ushiriki wa moja kwa moja kwenye operesheni hiyo ya kujenga chama kwenye Jimbo la Isimani awasiliane na Katibu wa CHADEMA wilaya ya Iringa Vijijini. kwa Simu Namba. 0753924183.