Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,335
- 3,902
nani kakudanganya wewe, uliyaona ya LINDI na Mtwara? km wewe ni magamba stop kudanganya umma. Chadema 2015 madarakani
wamesahau zamani kama walipita chadema
nani kakudanganya wewe, uliyaona ya LINDI na Mtwara? km wewe ni magamba stop kudanganya umma. Chadema 2015 madarakani
chadema mtabaki huko huko kwa wachaga,
****! Ni lini na wapi mlikaa kikao cha maamuzi hayo? Mbona mimi ni wa pwani na CHADEMA pure? Watanzania wa sasa hawababaishwi na ghiliba za CCM na mafisadi. Ukweli ni kwamba mmechelewa, CHADEMA sasa ni kama moto wa nyika na si rahisi kuwazimisha! PoleWamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema
Kagera, Kigoma, Mara, Mwanza, Shinyanga, Singida, Manyara, Arusha, Dar, Iringa, Rukwa, Mbeya.... Ama kweli wachaga wameenea nchi.
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema
wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.
Mbona hapa napoishi watu wa pwani ndio wengi katika tawi letu? Au wewe unaizungumzia pwani ipi?
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema
wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.
Kiukweli mkuu niliwashangaa sana MODS kuwavumilia watu kama hawa... ni kuwaeliminate mapema tu wanachafua jukwaa kwa manufaa binafsi. safi sana....tunajua atakuja na ID nyingine lakini MODS please....dont spare such people...Thanx MODS... Safisha watu woote wenye akili kama za huyu Sakala.
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema
wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.
chadema mtabaki huko huko kwa washaga,
Niliposema kuwa shule yako ndogo wengine walidhani kuwa nakuonea, hapo kwenye red maana yake nini? Very bogus person.