Chadema isijarabu kuingia mikoa ya pwani- wananchi

Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema
****! Ni lini na wapi mlikaa kikao cha maamuzi hayo? Mbona mimi ni wa pwani na CHADEMA pure? Watanzania wa sasa hawababaishwi na ghiliba za CCM na mafisadi. Ukweli ni kwamba mmechelewa, CHADEMA sasa ni kama moto wa nyika na si rahisi kuwazimisha! Pole
 
Kagera, Kigoma, Mara, Mwanza, Shinyanga, Singida, Manyara, Arusha, Dar, Iringa, Rukwa, Mbeya.... Ama kweli wachaga wameenea nchi.

Kama kuna mtu alifuatilia anguko la KANU ktk hatua ya mwisho walipita ktk njia hii,kwamba jimbo la Bonde la Ufa ni ngome ya KANU,wapinzani wasikanyage huko! Jamaa walitembeza panga,walimwaga damu,mwisho walishindwa!
 
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.

Umeamua kutumika siyo? Pole sana Mapesapesa! Utalikumbukia!
 
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.

Thanx MODS...
Safisha watu woote wenye akili kama za huyu Sakala.
 
Thanx MODS... Safisha watu woote wenye akili kama za huyu Sakala.
Kiukweli mkuu niliwashangaa sana MODS kuwavumilia watu kama hawa... ni kuwaeliminate mapema tu wanachafua jukwaa kwa manufaa binafsi. safi sana....tunajua atakuja na ID nyingine lakini MODS please....dont spare such people...
 
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.

Wamekuletea maombi wewe mkuu? Kama nani? Kazi mnayo.si mwenyekiti wenu alisema ni UPEPO TU,huwezi kuzuia upepo ni lazima uvume,tena huko pwani kinakuja kimbunga.MKITAKA KIMBILIENI MAHAKAMANI
 
Mkutano gani huo uliyosema hayo?Katiba iliyopo inampa kila raia haki ya kuwa muhumini wa chama chochote.:wacko: Magamba mbona mnaogopa kivuli chenu wenyewe!
 
attachment.php

nadhan mtoa mada ni miongoni mwa wale machizi ambao mh.MNYIKA aliwasema kwa bunge xo haina haja ya kumkimbiza mwacheni ili ajione kinyesi
 
Niliposema kuwa shule yako ndogo wengine walidhani kuwa nakuonea, hapo kwenye red maana yake nini? Very bogus person.

Mkuu only83,
hapo si tatizo la shule, tatizo ni kuwa wanyiramba hawana "cha", wana "sha", hivyo ikitokea muingiliano wa lugha na kutakiwa kuitumia "cha", basi wao huweka sha!!!
Ndio maana hawawezi kusema na kuandika wachaga wanaandika na kusema "washaga"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom