Chadema isijarabu kuingia mikoa ya pwani- wananchi

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.
 
Pwani ipi ambayo Chadema haiko? Kama ni Kibaha Mchange alishashinda Ubunge mkamchakachua, Mtwara na Lindi kila mtu anajua kilichotokea au kama hajuia amuulize Membe mpaka akakiri kwamba jamaa wajiandae kuchukua dola... Dar ndio usiseme... Zanziba hawashughuliki nayo kwa sababu sio sehemu ya Tanzania na hata Ndugai na Makinda wanajua hilo ndio maana walikataa bunge lisiahirishwe na Muungano utavunjika tarehe 26.04.2014 wakati wa uzinduzi wa katiba mpya. Pwani unayoisema?
 
Upuuuzi mtupu, hayo maendeleo ya kaskazini yalitokea chini ya utawala wa chama gani? Chadema au?
 
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.

Kwa hiyo CHADEMA ndio wamewasababishia huo umaskini. Hivi watanzania ni lini mtakuwa na akili zilizo komaa na kuleta hoja zenye maana na tija kwa taifa hili? Kwa mtindo huu ndio tunaenda kwenye shirikisho la EAC hata kujenga hoja hatuna uwezo tunategemea nini? Nakushauri jaribu kuwa mtu mzima na kuleta hoja zenye mashiko na tija kwa taifa...Forum hii inasomwa na watu dunia nzima, sasa kwa wale wanajua kiswahili wakisoma hoja kama hizi wanaona namna ambavyo watanzania ni mabogasi na wasio jua wanafanya nini. Nakushauri jaribu kukuza ubongo wako kwa kujilisha mambo yaliyo na msingi, hii ni dalili kuwa una matatizo ya ubongo.
 
kwa hiyo chadema ndio wamewasababishia huo umaskini. Hivi watanzania ni lini mtakuwa na akili zilizo komaa na kuleta hoja zenye maana na tija kwa taifa hili? Kwa mtindo huu ndio tunaenda kwenye shirikisho la eac hata kujenga hoja hatuna uwezo tunategemea nini? Nakushauri jaribu kuwa mtu mzima na kuleta hoja zenye mashiko na tija kwa taifa...forum hii inasomwa na watu dunia nzima, sasa kwa wale wanajua kiswahili wakisoma hoja kama hizi wanaona namna ambavyo watanzania ni mabogasi na wasio jua wanafanya nini. Nakushauri jaribu kukuza ubongo wako kwa kujilisha mambo yaliyo na msingi, hii ni dalili kuwa una matatizo ya ubongo.

chadema mtabaki huko huko kwa washaga,
 
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.

Pwani inajumuisha mkoa wa Dar es Salaam. Jimbo la Kawe, jimbo ambalo familia ya Mwl Myerere, Mzee Mwinyi, Mzee Sykes, na wazee wangi waliopigania uhuru/vigogo wa nchi hii wanaishi liko chini ya CHADEMA. Jirani jimbo la ubungo nalo liko chini ya CHADEMA. Hiyo Pwani inayoongelewa ni ipi? Na watu wa Pwani wameridhika na mambo yanavyokwenda?
 
Mpesapesa you have been so abnoxious in threads you start and in comments you make in a number of threads. I wish you a good night the one you should not wake
 
niliposema kuwa shule yako ndogo wengine walidhani kuwa nakuonea, hapo kwenye red maana yake nini? Very bogus person.

ahahahhaa. Sasa unahangaika nini kujibu hoja za shule ndogo? Kinachongasa wewe hilo tungi la umeme unayotumia limetengenezwa kenya, chumvi kenya.
 
Mpesapesa you have been so abnoxious in threads you start and in comments you make in a number of threads. I wish you a good night the one you should not wake

Acha kuhangaika, Mikoa ya pwani sio yenu, yenu kwa washaga
 
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.

Hivi hujisikii aibu kumwaga pumba zako humu?
 
Tusisumbue vichwa,haya ni mawazo ya mtu na amelipwa kwa kufanya hivyo , Najua ccm kuna watabiri,waganga wa jadi,mafisadi,wauaji n.k hivyo sishangai kuona mtu anajitapa kuwa watu wa pwani wamesema hivyo pasipokuwa na source.Jambo la msingi ni kukumbuka kwamba siasa za ukanda,udini,ukabila,mauaji na uchakachuaji zinaendeshe na Chama Cha Maharamia.Pia tusisahau kwamba Mbunge wa Mbozi mhe.Zambi alikiri kwamba,atashangaa endapo ccm itabaki madarakani.Pia Mzee Mzindakaya amewahi kukiri hilo na hii inatokana na akili kama za mleta maada kuonekana zina tija kwa ccm!
 
Back
Top Bottom