CHADEMA is the most respected political party in East Africa

mwehu wewe. mbona huongelei mtu kumfunga mwnzake jela kisa eti kamchukulia mkewe?

Ahaa umetukumbusha bana si yule BABU alieimba wimbo wa kutoka wote na mpenzi wake ili watu wajue kwamba anampenda,Kuna Dr mmoja wa heshima alimfanyizia bana.analia jela tu saivi.
 
Kuna Dr. kinda moja pale UDSM ametoka seminary wakati wa uchaguzi wa 2010 alikuwa na ka NGO chake cha kusifia chadema eti anajifananisha na REDET and other respected instit kwenye utafiti..

Unajua chdm mnajidanganya sana kujiona mpo na watu wa kundi fulani tu..tanzania ni zaidi ya hilo kundi..

Yap, kila chama kina makundi fulani fulani yanayokitambulisha. CUf kinatambulishwa zaidi na kundi kutoka Pemba, CCM kinatambuliwa zaidi kwa watu mbumbumbu, akina mama waliochoka, waswahili wa pwani, na of course mafisadi. Chadema kinatambuliwa zaidi kama chama cha vijana, wasomi wa umri wowote, na watanzania wote wasioridhishwa na mazingira ya sasa ya kiutawala katika taifa letu. Uchaguzi kwako ni rahisi, je utangangania wapemba waliofunga ndoa na ccm, au unataka tumaini la maendeleo ya kweli? Kama unabisha, na ulivyo mdini wewe, endelea kudidimiza kichwa chako mchangani utakapoibuka akili zitakuingia ukiwa umechelewa saaana.
 
Sina chama ila kwa CCM mh sera zimeisha tunawaomba tu wapumzike wawaachie wenzao wenye uchungu na nchi hii
 
Mheshimiwa Dr Dr Dr Dr Dr Jakaya Mrisho Halfan Kikwete leo amelazimika kutoa hotuba ya dharura baada ya watu makini wa CDM Kutoa challenge ndani ya siku moja tu.Challenge ambayo imewaondoa wabunge wavivu wa kufikiri wa CCM katika mada ya mswaada wa katiba na kuanza kujadili hoja za ukweli za waziri kivuli wa sheria(Tundu Mughwai Lissu Antipas).


Hilo tu limetosha kuthibitisha kuwa CHADEMA ni moto wa kuotea mbali hivyo kuendelea kushika rekodi ya chama chenye mvuto Afrika mashariki (VOA) .Hata hivyo wabunge wa CCM na raisi wao wameishia kujadili watu na sio hoja kitu kinachofanya hoja iliyotolewa ndani ya siku moja kubaki haijajibiwa.

Anayeweza kukataa atakataa lakini akiwa peke yake anajua kuwa CDM ni kiboko.THIS IS JUST THE BEGINNING

Hapo kwenye red! Sio wavivu wa kufikiri bali akili zao ndipo zilipoishia na muda wote wanaweka mbele maslahi ya chama chao na sio maslahi ya nchi. Nadhani uprofessa nao ungekuwa wakupewa JK angehakikisha vyuo vyote vinavyoendeshwa kisiasa kama UDSM na UDOM wanampatia maake Dr zimekuwa nyingi!
 
Nightmare zingine bwana.Mtawehuka ikija fika 2015.cdm mtaendelea isoma namba.
 
Bora? Kwa vigezo gani? Kwa kuoa wake za watu? Kwa maandamano kila siku? Kwa kutaka madaraka kwa nguvu wakati wananchi hawawataki? Kwa kuwa na ofisi chafu na zisizo na hadhi pale kinondoni wakati wanajilipa mshahara wa m 7 na posho za laki sita kwenye kila maandamano?

na kwa kuiba kura nakulazimisha jaji makame amanipulate kura..hahaaaaa gombe zee ccm limepoteza mvuto na linaumwa kansa ya korodani so limekuwa functionless....yamebaki mapembe tu
 
Bora? Kwa vigezo gani? Kwa kuoa wake za watu? Kwa maandamano kila siku? Kwa kutaka madaraka kwa nguvu wakati wananchi hawawataki? Kwa kuwa na ofisi chafu na zisizo na hadhi pale kinondoni wakati wanajilipa mshahara wa m 7 na posho za laki sita kwenye kila maandamano?
Acha Pumba mzee
 
Ni CHAMA BORA EA yaani Kenya. Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania kote huko chama bora ni CHADEMA tu kweli hii kali
 
Is the most respected political party in VIOLENCE, RIOTS, DEMONSTRATIONS, Kuoa wake za watu, kuvaa nguo za kimgambo(kwa hilo mnaheshimika), ila sikatai hata kidogo kwamba MNYIKA NI MAKINI(Huyu dogo ni safi sana), sio CHADEMA.
 
Bora? Kwa vigezo gani? Kwa kuoa wake za watu? Kwa maandamano kila siku? Kwa kutaka madaraka kwa nguvu wakati wananchi hawawataki? Kwa kuwa na ofisi chafu na zisizo na hadhi pale kinondoni wakati wanajilipa mshahara wa m 7 na posho za laki sita kwenye kila maandamano?

Kwa sera. Kama kwako wewe ofisi safi na sera mbovu ndio tija huo ni mtizamo wako wa usomi usio na elimu. BOSI hatambuliki kwa suti, tutamtambua kwa skills zake za ku-solve matatizo tuliyonayo. Tunaweza kuwa na jengo zuuuuri na safi lkn ni wodi ya vichaa.

Ila nikupongeze kwa jambo moja, UMEFANYA UAMUZI MZURI WA KUTOWEKA KATUNI KAMA AVATAR YAKO BADALA YAKE UMEWEKA PICHA YAKO. Hakika inafanania mawazo yako, kweli umependezeana nayo.
 
Back
Top Bottom