CHADEMA is the most respected political party in East Africa

gayo

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
238
93
Pia SI unit ya mbunge mwadilifu imekwenda kwa John Mnyika

Pia chama chenye mvuto zaidi wa kisiasa ni chadema

Source:VOA
 
uko sawa kabisa haina mjadala hilo coz cdm imewanyima usingizi wanaoenz na kutukuza MAGAMBA.kIUKWELI CDM inaenda kushika dola
 
CDM go go go go....!!!CDM hit hit hit hit on....hit them!!
 
Mbowe nimeamini ni kamanda mpiganaji kakipa chama sura ya pekee ktk kudai uhuru wa mtanzania
 
Bora? Kwa vigezo gani? Kwa kuoa wake za watu? Kwa maandamano kila siku? Kwa kutaka madaraka kwa nguvu wakati wananchi hawawataki? Kwa kuwa na ofisi chafu na zisizo na hadhi pale kinondoni wakati wanajilipa mshahara wa m 7 na posho za laki sita kwenye kila maandamano?
 
Bora kwa kuyapapasa masaburi yako
 
Mkuu hilo halina ubishi kuwa chadema ni chama bora zaidi kwa sasa nchini Tanzania. Wamethubutu kupinga ufisadi,wamejitahidi na wanasonga mbele.
 
Kuna Dr. kinda moja pale UDSM ametoka seminary wakati wa uchaguzi wa 2010 alikuwa na ka NGO chake cha kusifia chadema eti anajifananisha na REDET and other respected instit kwenye utafiti..

Unajua chdm mnajidanganya sana kujiona mpo na watu wa kundi fulani tu..tanzania ni zaidi ya hilo kundi..
 
Mpaka utoke nje ya chupa ndiyo utajua cdm ina ubora gani. Mkuu funguka!!
 
Bora? Kwa vigezo gani? Kwa kuoa wake za watu? Kwa maandamano kila siku? Kwa kutaka madaraka kwa nguvu wakati wananchi hawawataki? Kwa kuwa na ofisi chafu na zisizo na hadhi pale kinondoni wakati wanajilipa mshahara wa m 7 na posho za laki sita kwenye kila maandamano?
Saga chupa ukanywe.
 
mwehu wewe. mbona huongelei mtu kumfunga mwnzake jela kisa eti kamchukulia mkewe?
 
Bora? Kwa vigezo gani? Kwa kuoa wake za watu? Kwa maandamano kila siku? Kwa kutaka madaraka kwa nguvu wakati wananchi hawawataki? Kwa kuwa na ofisi chafu na zisizo na hadhi pale kinondoni wakati wanajilipa mshahara wa m 7 na posho za laki sita kwenye kila maandamano?

Mbona unatokwa povu mdomoni? Uliza tu kistarabu utajibiwa.
 
Mheshimiwa Dr Dr Dr Dr Dr Jakaya Mrisho Halfan Kikwete leo amelazimika kutoa hotuba ya dharura baada ya watu makini wa CDM Kutoa challenge ndani ya siku moja tu.Challenge ambayo imewaondoa wabunge wavivu wa kufikiri wa CCM katika mada ya mswaada wa katiba na kuanza kujadili hoja za ukweli za waziri kivuli wa sheria(Tundu Mughwai Lissu Antipas).

Hilo tu limetosha kuthibitisha kuwa CHADEMA ni moto wa kuotea mbali hivyo kuendelea kushika rekodi ya chama chenye mvuto Afrika mashariki (VOA) .Hata hivyo wabunge wa CCM na raisi wao wameishia kujadili watu na sio hoja kitu kinachofanya hoja iliyotolewa ndani ya siku moja kubaki haijajibiwa.

Anayeweza kukataa atakataa lakini akiwa peke yake anajua kuwa CDM ni kiboko.THIS IS JUST THE BEGINNING
 
Back
Top Bottom