IslamTZ
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 309
- 182
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, alisema:
Labda nimwambie (Msajili wa Vyama vya Siasa, John) Tendwa kwamba...CHADEMA inafanya kazi kubwa ya kuwazuia wananchi kuingia mitaani kama walivyofanya Misri, Tunisia kama sio sisi kuwazuia hawa watu wangeingia barabarani siku nyingi"
SOURCE: TANZANIA DAIMA