Chadema inazuia wananchi kupindua serikali?

IslamTZ

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
309
182
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, alisema:

“Labda nimwambie (Msajili wa Vyama vya Siasa, John) Tendwa kwamba...CHADEMA inafanya kazi kubwa ya kuwazuia wananchi kuingia mitaani kama walivyofanya Misri, Tunisia… kama sio sisi kuwazuia hawa watu wangeingia barabarani siku nyingi"

SOURCE: TANZANIA DAIMA
 
CHADEMA CHACHUKIWA NA VIJANA KWA KUMKINGA KIKWETE ASING'OLEWE MADARAKANI

Laiti kama isingalikua ni CHADEMA basi hadi sasa Mhe Kikwete angemtangulia Mubarak Uarabuni.

CHADEMA hadi sasa kinafanya kazi ya ziada kukiokoa serikali ya kifisadi na uchakachuaji kising'olewe madarakani lakini wimbi kubwa huenda ukawashinda hapo mbeleni kidogo kwa KUTEGEMEA SANA SWALA LA KATIBA NA TUME HURU YA UCHAGUZI utakavyoshughulikiwa bungeni na vita dhi ya ufisadi zaidi nchini.

Jambo hili la CHADEMA kuwa ngao kwa CCM ni la kweli kabisa na ninashangaa kwamba imekuaje viongozi wetu kama vile John Tendwa na wengine wengi tu nchini hawajapata kugundua kwamba hadi hivi sasa CHADEMA kinawakosesha amani wananchi wengi sana juu ya tabia yao na mbinu mbali mbali wanazotumia KUZUIA SERIKALI CHUKIZO LA CCM lising'olewe na MAFISADI wote hadi sasa.

Kama hamalitambui hili mbaka hivi sasa basi kuna shida kubwa mno.
 
tuuwatoe kama vipi, si wameshashibndwa nchi//we watu gani mnashindwa kusupply umeme kwa watu 20% kati ya populatiomn ya watu million 40? si ni wehu huu
 
CHADEMA CHACHUKIWA NA VIJANA KWA KUMKINGA KIKWETE ASING'OLEWE MADARAKANI

Laiti kama isingalikua ni CHADEMA basi hadi sasa Mhe Kikwete angemtangulia Mubarak Uarabuni.

CHADEMA hadi sasa kinafanya kazi ya ziada kukiokoa serikali ya kifisadi na uchakachuaji kising'olewe madarakani lakini wimbi kubwa huenda ukawashinda hapo mbeleni kidogo kwa KUTEGEMEA SANA SWALA LA KATIBA NA TUME HURU YA UCHAGUZI utakavyoshughulikiwa bungeni na vita dhi ya ufisadi zaidi nchini.

Jambo hili la CHADEMA kuwa ngao kwa CCM ni la kweli kabisa na ninashangaa kwamba imekuaje viongozi wetu kama vile John Tendwa na wengine wengi tu nchini hawajapata kugundua kwamba hadi hivi sasa CHADEMA kinawakosesha amani wananchi wengi sana juu ya tabia yao na mbinu mbali mbali wanazotumia KUZUIA SERIKALI CHUKIZO LA CCM lising'olewe na MAFISADI wote hadi sasa.

Kama hamalitambui hili mbaka hivi sasa basi kuna shida kubwa mno.

tutaandama wakitupiga mabomu obama analeta ndege
 
Obama hupeleka ndege penye mafuta sasa TZ kama kuna mafuta basi bila shaka ndege zitakuja lakini kama nchi hata umeme haina nani atatuma ndege zake ktk nchi kama hiyo?
 
Waki2pinga maandamano Marekani & Uingereza wataleta ndege chap na watang'oka tu hawa mabwenyenye,mafisadi wasiot6sheka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom