Itawapata zaidi watu wachache wa kanda ya Mashariki waishio Kimara, Sinza, Mbezi, Boko, Tegeta na wachahce wa Msasani. Haiwezi kabisa kupa watu wa Temeke, Ukonga, na hata Magomeni , kariakoo na kigamboni.
Sababu kubwa chama ni cha Ukanda na ukabila bila kusahau udini
Kazi kwenu
Umefika wakati sasa jifunze kuwa na helicopter view, utaifa zaidi kuliko dini yako. Taifa linapokuwa na umaskini wa kujitakia kama hili la TZ kila mtu regardless anatoka dini, kabila, kanda gani, lazima ataathirika
I urge you to move from that comfort zone ya udini kwa sababu ndio inayotufanya tuwe miles away from development path. Liangalie Taifa lako na vizazi vinavyokuja.
You still have time to change, lakini short of that the tides of change will overtake you, cos you can't stop the Tsunami of change, u really can't!