CHADEMA inapoichezea CCM "off side trick"

Itawapata zaidi watu wachache wa kanda ya Mashariki waishio Kimara, Sinza, Mbezi, Boko, Tegeta na wachahce wa Msasani. Haiwezi kabisa kupa watu wa Temeke, Ukonga, na hata Magomeni , kariakoo na kigamboni.

Sababu kubwa chama ni cha Ukanda na ukabila bila kusahau udini

Kazi kwenu

Umefika wakati sasa jifunze kuwa na helicopter view, utaifa zaidi kuliko dini yako. Taifa linapokuwa na umaskini wa kujitakia kama hili la TZ kila mtu regardless anatoka dini, kabila, kanda gani, lazima ataathirika

I urge you to move from that comfort zone ya udini kwa sababu ndio inayotufanya tuwe miles away from development path. Liangalie Taifa lako na vizazi vinavyokuja.

You still have time to change, lakini short of that the tides of change will overtake you, cos you can't stop the Tsunami of change, u really can't!
 
Mkuu unajua mpira au unazungumza tuu hii habari kufurahisha baraza...
Off side trick ni mfumo unaotumiwa na timu inayowaelemea wengine, hivyo kutokana na wao kushambulia zaidi ya kushambuliwa..
Offside trick hutumika kama kinga ya mashambulizi ya ghafla kutoka upande unaoshambiliwa ma mara nyingi huwa ktk nusu uwanja au robo tatu ya uwaja ktk mashambulizi yako upande mmoja unaoele ewa....

Kitaalam beki hujipanga mbele ya washambuliaji hasa wa mwisho hii inasaidia mpira kuchezwa zaidi upande wa pili na kuifanya timu nyingine kujihami zaidi...

Kwa hiyo yawez kana kabisa umeandika kichwa cha ha ari vizuri lakini umeshindwa kutumia maana yake.. Chadema ipo katika mashambulizi na offside trick wanaitumia kuhakikisha CCM hawarudi na counter attack wakiwa wamejisahau..
 
na huyu ndio mshambuliaji wao makini anayefanya zoezi zima la kuvizia au siasa za kuotea,dah jamaa ni hatari sana na huyu si mwingine bali ni dakta Slaa,eti kwa CV hii yote sikuamini umaskini wa karatu uko kiasi kile na huyu mviziaji alikuweko
1. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010
pamoja na kuotea(off side trick) zote alishindwa kuwaletea neema watu wa karatu,sasa uraisi atauweza? embu kujeni na mbinu mpya dah CDM mnachekesha sana,nasikia Dakta pia ni muoteaji mzurii sana wa mambo flani....teeh
 
Itawapata zaidi watu wachache wa kanda ya Mashariki waishio Kimara, Sinza, Mbezi, Boko, Tegeta na wachahce wa Msasani. Haiwezi kabisa kupa watu wa Temeke, Ukonga, na hata Magomeni , kariakoo na kigamboni.

Sababu kubwa chama ni cha Ukanda na ukabila bila kusahau udini

Kazi kwenu
Hivi unaijua Dar vizuri.
 
kwa mtindo huo,ccm wapo ktk siasa za utumwa,yaani inawabidi wafanye kile CDM inakifikilia,safiiiiiii walijisahau sana sasa wajue kuna watu na wameamuwa kubadilika,hawataki tena siasa uchwala
 
Itawapata zaidi watu wachache wa kanda ya Mashariki waishio Kimara, Sinza, Mbezi, Boko, Tegeta na wachahce wa Msasani. Haiwezi kabisa kupa watu wa Temeke, Ukonga, na hata Magomeni , kariakoo na kigamboni.

Sababu kubwa chama ni cha Ukanda na ukabila bila kusahau udini

Kazi kwenu

Na tuseme kweli mbele ya muumba wetu ndugu yangu.
Hivi wale wote walio andamana kanda ya ziwa ni wa kabila na dini ipi mwanangu? kama hiyo ni dini na ni ukabila mimi nitajiunga na dini hiyo.
Tuache kuwa mavuvuzela/vipaza sauti wa wapinga mageuzi na mafisadi.
TAFAKARI MWANANGU!
 
Nchi kuongozwa na fikra za chama tawala siku zote itaharibika tu lazima, kuwe na kitu kama wanachofanya chadema, hii inasaidia sana katika kujenga nchi na uchumi wake,chadema endeleeni kwani hata mageuzi yanayofanyika ndani ya ccm ni kutokana na upinzani wenu wa kweli katika nchi yetu,bila nyinyi hali ingekuwa mbaya sana hata mapigano ya sisi kwa sisi yangekuwa tayari,msikatishwe tamaa na maneno ya watu na ya viongozi wa ccm kwani wanajaribu kulinda zaidi kuliko kushambulia, washambuliaji wao tayari wamezeeka na hawana tena speed, Wasira,makamba,Msekwa n.k hawa ndio washambuliaji mnawaonaje, waweza kuishinda chadema kwa hoja haiwezekani, walikwisha haribu na wamemaliza mbinu zote,kilichobaki sasa ni kukitanganza chadema kila mahali,pembe zote za Tanzania,hoo chadema kafanya hivi,hoo wakamatwe viongozi wa chadema,hoo fungia chadema, hoo chadema inachochea,hooo chedema inataka kumpindua rais,hooo brabra irimuradi wamesikika kutaja chadema ama kweli wamenashwa katika mtego off-side trick.Kwangu mimi kutamka chadema imekuwa sera ya ccm,katika hotuba zote za viongozi wetu neno chadema lazima uliweke usipoliweka hotuba yako sio sawasawa.CCM pia imeamua kutumia mamluki watakao saidia kutangaza jina la chadema Mrema,Lipumba,na wengine pia kila mmoja lazima aweke msamiati chadema,sasa hivi mpaka vijijini tanzania nzima inaelewa chama cha upinzani cha kweli ni chadema na si vingine na kiongozi wake na DR (PHD) na si mwingine ndio maana hata prof naye kajikuta mtegoni,mtego huu haujaikumba ccm pekee mpaka ccm B.Tunahitaji upinzani wa kweli kama wa chadema unasababisha serikali na chama tawala kuzibua masikio yao kwa ajili ya watanzania,wakiendelea kuziba masikio watajuta yatakapo anza kutoa usaha na goma kuoza wenzao hao wakiwa Magogoni wakirekebisha sera za uchumi wa nchi na kuwaadhibu wahalifu wote.
 
na huyu ndio mshambuliaji wao makini anayefanya zoezi zima la kuvizia au siasa za kuotea,dah jamaa ni hatari sana na huyu si mwingine bali ni dakta Slaa,eti kwa CV hii yote sikuamini umaskini wa karatu uko kiasi kile na huyu mviziaji alikuweko
1. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010
pamoja na kuotea(off side trick) zote alishindwa kuwaletea neema watu wa karatu,sasa uraisi atauweza? embu kujeni na mbinu mpya dah CDM mnachekesha sana,nasikia Dakta pia ni muoteaji mzurii sana wa mambo flani....teeh

Hakuwa mwizi wa mali za uma kama wengine,matatizo yanafanana kila sehemu ndugu yangu karatu kama mbunge anamuda gani? sasa hivi tunahitaji kuukomboa uchumi wa nchi yetu toka kwa watu wachache na usio na manufaa kwa watanzania, ndicho kinachopiganiwa, ukianza kuangali hivyo tembea nchi nzima uje na data kamili,mimi hakuna nisiko fika tanzania(tanganyika na visiwa unguja) hii hali ni hiyo hiyo hakuna tofauti labda ulitaka palingane na Arusha mjini,napo sio jiji la kuringia hakuna kitu jina kubwa tu hali mbaya sana.
 
We Prudence kama alivyo kaka yako Padre Privatus na kaka yako Primus ni wazuri sana wa kujenga hoja watu wa Ibwera kule aragwe.

Lakini kwa hili Classmate wangu imekupuruchuka.

Kwani lazima ujue kuwa kazi ya Vyama vya Upinzani ni kuizindua na kuikosoa Serikali iliyopo madarakani kwa nia na madhumuni ya kufanya nchi iende sawia. Kwa hiyo Serikali yoyote iliyo makini ni ile inayochambua kauli za wapinzani na zile wanazoziona zinawakwaza wananchi basi inaweka kipaumbele katika kuzitatua.

Mfano mdogo ni issue ya katiba mpya. hata kule Kenya utaiona upinzani ndio ulioshinikiza na serikali ikakubali na baadae wamepata katiba mpya. Si rahisi kwa Serikali yenyewe na chama chake kutaka katiba mpya sababu kubwa katiba hiyo mara nyingi ina kipendelea chama tawala.

Kwa hiyo Upnzani si dhambi na ni wajibu wao kuikosoa serikali pale inapokosea.

Nyegera waitu

Naamini hujaisoma vizuri article ya Karugendo. Irudie utaielewe. Baadae jiulize unampinga nini
 
Bravo Prudence Karugendo

Saafi sana hii article mwanakwetu. Imetulia na ni somo kwa Chama Cha Mafisadi(CCM)!
Unajua kwa sasa CC hawajawahi kuwa na mtu mwenye busara kama Nyerere. Nakumbuka wakti wa Mwalimu wapinzania alisema waachwe waandamane na hata wafuasi wao wakitaka kuwabeba sawa tu).Alisema kuzuia maandamano ya wapinzani na kuwapiga mabomu ni kuwaongezea UMAARUFU.

CCM ndicho wanachofanya sasa kwa CDM. Wao CCM wanafikiri wanawamaliza CDM kumbe ndiyo wanazidi kuijenga CDM na upinzani kwa ujumla. CCM kwishne!!!!!!!!
 
Good analysis Mpiganaji Luteni. Mafanikio ya Chadema Tanzania yataandikwa kwa karne ijayo na kutakuwa na kitabu na somo la Chadema. Tutachotaka na ku-expect kutoka kwa viongozi wa Chadema ni strategic approach ya issues nyingine nyingi zinazo ikabili Taifa i.e. energy, education, economy in general na kikubwa unemployment issue. Pia kuwe na Major Initiative Kumdhalirisha Makinda na Mipango ya Rostam kuzuia Demokrasi katika Bunge.

Ninachoona kikubwa sasa ni ku-bring revolution concept in all levels ya society yetu ya Tanzania. Mfano mkubwa ni kutaka wananchi kuwakataa wabunge mafisadi, mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wote wanaofanya kazi kwa ajili ya mafisadi. Chadema tupeleke mapinduzi kila sekta na kila amuzi la kuzamisha Taifa kiuchumi tuchukulie hatua kama tulivyofanya Dowans, matokeo si tunayaona kuhusu Dowans? Kinachohitajika ni jinsi ya kupinga maamuzi yote ya Kikwete kuzamisha Tanzania.

"Wananchi na Chadema tuna nguvu kubwa na tuhakikishe tunamaliza haya mapinduzi Tanzania, just few days left"
 
Hiyo ni tafsiri ya ofside trik? Nadhani ni mfumo wa kuotea na si wa kumzidi nguvu mpinzani. Mfano cdm wanaotea halafu ccm wanarudi nyuma wakidhani refa atapiga filimbi kumbe hafanyi hivyo, then cdm wanapata goli

Tafsiri za offside trick ni nyingi, na moja wapo ni kama ifuatavyo.
Mabeki wanaoaminika na CCM akina Makamba, Kinana, Chilingati, wakisaidiwa na wachezaji wa viungo akina Tume ya uchaguzi, msajili wa vyama vya siasa Tendwa, mwanasheria mkuu wa serikali pamoja na mashabiki wao polisi, mahakama na kipa wao akiwa Kikwete wameshindwa kunufaika na mchezo wa offside trick baada ya Chadema kuvunja mfumo huo kwa kutumia winga machachari (maandamano na mikutano ya hadhara) kupiga majalo safi hadi kufunga magoli halali yaliyomwacha mlinda mlango Kikwete hoi. Magoli hayo ni Mchakacho wa katiba mpya, kupunguza bei ya sukari, kupinga Dowans nk.
Wanajamii forums mpooooooooo?:peace:
 
Itawapata zaidi watu wachache wa kanda ya Mashariki waishio Kimara, Sinza, Mbezi, Boko, Tegeta na wachahce wa Msasani. Haiwezi kabisa kupa watu wa Temeke, Ukonga, na hata Magomeni , kariakoo na kigamboni.

Sababu kubwa chama ni cha Ukanda na ukabila bila kusahau udini

Kazi kwenu

I wonder if you mean what you have just written. Please be serious!!! Usiombe hiyo siku itokee Chadema waitishe maandamano Dar, utashangaa na hiyo kauli yako!!!

Tiba
 
na huyu ndio mshambuliaji wao makini anayefanya zoezi zima la kuvizia au siasa za kuotea,dah jamaa ni hatari sana na huyu si mwingine bali ni dakta Slaa,eti kwa CV hii yote sikuamini umaskini wa karatu uko kiasi kile na huyu mviziaji alikuweko
1. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010
pamoja na kuotea(off side trick) zote alishindwa kuwaletea neema watu wa karatu,sasa uraisi atauweza? embu kujeni na mbinu mpya dah CDM mnachekesha sana,nasikia Dakta pia ni muoteaji mzurii sana wa mambo flani....teeh

Kashaga,

Wakati mwingine inabidi uone aibu. Hii sasa wapi wapi kwenye hii post? Hao mafisadi unaojaribu kuwatetea hapa na hivyo vijisenti unavyopokea kutoka kwao vitakusaidia leo na kesho. Lakini inabidi uangalie mbali zaidi ya kuganga njaa kwa sasa kwamba watoto wako watarithi nini katika NCHI hii kama tukiwaacha mafisadi waendelee kufanya kila wanachokitaka?

Fikiria, Chukua Hatua.

Tiba
 
We Prudence kama alivyo kaka yako Padre Privatus na kaka yako Primus ni wazuri sana wa kujenga hoja watu wa Ibwera kule aragwe.

Lakini kwa hili Classmate wangu imekupuruchuka.

Kwani lazima ujue kuwa kazi ya Vyama vya Upinzani ni kuizindua na kuikosoa Serikali iliyopo madarakani kwa nia na madhumuni ya kufanya nchi iende sawia. Kwa hiyo Serikali yoyote iliyo makini ni ile inayochambua kauli za wapinzani na zile wanazoziona zinawakwaza wananchi basi inaweka kipaumbele katika kuzitatua.

Mfano mdogo ni issue ya katiba mpya. hata kule Kenya utaiona upinzani ndio ulioshinikiza na serikali ikakubali na baadae wamepata katiba mpya. Si rahisi kwa Serikali yenyewe na chama chake kutaka katiba mpya sababu kubwa katiba hiyo mara nyingi ina kipendelea chama tawala.

Kwa hiyo Upnzani si dhambi na ni wajibu wao kuikosoa serikali pale inapokosea.

Nyegera waitu

Lakini hao wapinzani walipopanga mashambulizi, hoja zao hazikupokelewa kwa lugha hiyo laini ya "kuizindua na kuikosoa serikali iliyopo madarakani" unakumbuka ishu ya katiba mpya ilivyoshika kasi baada ya walk-out ya CHADEMA pale bungeni? unakumbuka majibu ya akina Celina Kombani na mwanasheria mkuu? lakini unakumbuka baadae serikali imekuja na msimamo gani? kwa hiyo ishu ni pressure na style mbalimbali za mapambano zinavyochezwa na CHADEMA. hata wewe umelazimika kutoa kauli hii baada ya kutambua kwamba the pressure is great na ishu zinazoongelewa zina mashiko. serikali ime-bow to pressure, kwa hiyo wa kupongezwa ni hao "wapinzani"

vyama vingine vya upinzani vimepiga kelele weee, sasa navyo vimeanza kuandaa maandamano yao! taaratibu tutamuona Hafifu naye anasema kuumbeee!
 
na huyu ndio mshambuliaji wao makini anayefanya zoezi zima la kuvizia au siasa za kuotea,dah jamaa ni hatari sana na huyu si mwingine bali ni dakta Slaa,eti kwa CV hii yote sikuamini umaskini wa karatu uko kiasi kile na huyu mviziaji alikuweko
1. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010
pamoja na kuotea(off side trick) zote alishindwa kuwaletea neema watu wa karatu,sasa uraisi atauweza? embu kujeni na mbinu mpya dah CDM mnachekesha sana,nasikia Dakta pia ni muoteaji mzurii sana wa mambo flani....teeh

Kashaga

Washagaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, premises zako haziendani na conclusion. Mbona juzi nyerere ndo kajengewa kwao butiama ? Ulitaka awe kaiba mapema. Poor analysis we nshomile wa wapi? Kwenu Nyungwe nini? Kule Bwanjai Kanyigo
 
lakini hao wapinzani walipopanga mashambulizi, hoja zao hazikupokelewa kwa lugha hiyo laini ya "kuizindua na kuikosoa serikali iliyopo madarakani" unakumbuka ishu ya katiba mpya ilivyoshika kasi baada ya walk-out ya chadema pale bungeni? Unakumbuka majibu ya akina celina kombani na mwanasheria mkuu? Lakini unakumbuka baadae serikali imekuja na msimamo gani? Kwa hiyo ishu ni pressure na style mbalimbali za mapambano zinavyochezwa na chadema. Hata wewe umelazimika kutoa kauli hii baada ya kutambua kwamba the pressure is great na ishu zinazoongelewa zina mashiko. Serikali ime-bow to pressure, kwa hiyo wa kupongezwa ni hao "wapinzani"

vyama vingine vya upinzani vimepiga kelele weee, sasa navyo vimeanza kuandaa maandamano yao! Taaratibu tutamuona hafifu naye anasema kuumbeee!

mimi aomba amani tu na sipendi lugha chafu na za uchochezi.
 
Back
Top Bottom