CHADEMA inakubalika zaidi Nyanda za Juu Kusini lakini Viongozi wao wanapenda zaidi Mwanza!

Nategemea huu ufafanuzi utautoa pia kwenye viwanja vya Furahisha.Wasukuma watakuwepo kukusikiliza kwa makini ukimpiga Spana JPM.Tatizo la wanaharakati wa CDM wengi wenu mnaishiaga kutoa povu hapa JF,wanaokwenda Field kina Mnyika naamini wanatusoma vizuri sana na wanajiandaa kujibu hiki tunachokihoji kwa manufaa ya ukuaji wa Chama chenu.

Yaani Mnyika atakujibu huu upuuzi unaosikia huku mitandaoni? Jibu lake litakuwa rahisi tu. Kajibiwe huko ulikosikia maneno hayo. Na majibu yake tumeshakupa. Sasa sijui unamtishia nani.

Yaani kama ccm mnaojifanya wasukuma mlikuwa mmekaa mahali mnajijaza upepo, siku hiyo mtafurahia show.
 
Uzuri wewe povu lako ni la hapa hapa,huna madhara yoyote.Vigogo wa CDM wanalijua hili ndiyo maana wakachagua Mwanza kwanza,hii hoja itajibiwa na wao na siyo wewe.
 
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.

Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.

Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza

Ngoja tuone!
Wazee wa TAKWIMU haya Tuambie na Huyu anakubalika zaidi wapi?
JamiiForums902311372.jpg
 
Attachments

  • 20221002_213448.jpg
    20221002_213448.jpg
    104.7 KB · Views: 1
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.

Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.

Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza

Ngoja tuone!
Wewe.!! Hebu tumia akili angalau kidogo tu..!! Sasa kama huko nyanda za juu kusini wanakubalika, maana yake, kwa upande huo wameshamaliza kazi..!! Siku zote unakitafuta kile usichokuwa nacho..!! kama bado hawakubaliki Mwanza, basi ni sawa wao kuwepo huko na hatimaye waongeze maeneo wanayokubalika..!!
 
Uzuri wewe povu lako ni la hapa hapa,huna madhara yoyote.Vigogo wa CDM wanalijua hili ndiyo maana wakachagua Mwanza kwanza,hii hoja itajibiwa na wao na siyo wewe.

Sasa ww ulipokuja huku na mikwara kwanini hilo povu usipeleke huko huko uwanjani ambako mihemko yako unatarajia kuipeleka? Wamechagua Mwanza kutokana na utashi, na sio kuja kujibu huu utoto wako
 
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.

Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.

Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza

Ngoja tuone!

Nadhani ungewauliza kwanini wameanzi Mwanza. Wao Wana sababu yao.
 
Sasa ww ulipokuja huku na mikwara kwanini hilo povu usipeleke huko huko uwanjani ambako mihemko yako unatarajia kuipeleka? Wamechagua Mwanza kutokana na utashi, na sio kuja kujibu huu utoto wako
Wewe tuishie hapa.
 
Vyote au kimojawapo Mkuu,lakini muhimu sana ningependa kupata majibu

Utapewa majibu ww kama nani? Huu utoto wa huku kwenye mitandao ndio utapeleka kwenye mikutano ya wanaume? Subiri uone kitakachoumiza moyo wako we sukuma gang.
 
Back
Top Bottom