hongera sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah, wengine huwa wanaenda huko kufanya dili la kuibia nchi, hivi unadhani hatukuoni jinsi ulivyo na hofu kuhusu CDM, mimi sijali nani atakuwa mtawala wa kesho, ninachojua ni kuwa nchi kamwe haitapata rais ambaye ni MGANDA, MRUNDI, MKENYA, MDRC,NK; daima atakuwa ni MTANZANIA bila kujali chama, fikiria kupata mtu bora sio chama bora.
kama ingekuwa ni chama hapa BONGO kuna chama kina sera nzuri kuliko maelezo, njoo kwenye utekelezaji babaaaaaaaa heeeeee!!!!!!!!!!!!!! yaani weee achaaaaaaaaa tu!
Hivi karibuni umeibuka mtindo wa CHADEMA kufungua matawi nje ya nchi. Tumesikia mgombea Urais mtarajiwa mh. Zitto Kabwe akishirikiana na mbunge wa Tanzania anayeishi Marekani mh. Leticia Nyerere wakifungua tawi Washington DC. Tawi hili la Washington DC baadae tuliona limepewa zawadi ya gari na mwanachama mkereketwa! Leo kumekuwa na taarifa ya aliyevuliwa ubunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kuwa Uingereza kwa ajili ya ufunguzi wa matawi saba ya CHADEMA.....
nitake radhi mkuu sjawah kuwa ccm wala cdm na siyo shabiki wa mipasho yenu kama waimba taarabu siku hizi tumeamka kiakili hatuangalii eti chama cha nyerere wala chama cha wasema sana tunataka sera. ndio maana nasema hata SAU na NRA nitawapigia kura. ninyi mmekuwa mnaboa sana kila siku lazima mje na vijembe badala ya kunadi sera na kufanya kwa vitendo yale ambayo tunayataka.
kama siyo mchapa kazi hata iweje hatukupi kura uwe unatoka cdm ama ccm and 2015 you will leave to see manake ni bora hata amgombea binafsi akasimama anaweza kuwa muwajibikajiaa mzuri tofauti na hawa wenye wafuasi.
umeamka na nani...?
wangapi wameboeka........?
acha porojo...............
Sasa chama gani cha siasa Tanzania hii hakina magumashi? Kwani uchaguzi mkuu wa chama mwaka huu, utaendeshwa na fedha kutoka katika mfuko gani?
Kwa hiyo magumashi ni utaratibu ramsi wa vyama vyote vya siasa Tanzania?!!!
That is something to ponder. We are well wishers and one of the things that will help this country alot is to fight corruption. Kama magumashi yakipungua kwenye vyama vya siasa hata rushwa nayo itapungua. Inakuwa ngumu kupambana na wala rushwa kama wao ndio wafadhili wa vyama vya siasa na wana siasa wenyewe.
Katiba ya chama haisomwi kipengele kimoja pekee bali vyote ndipo ufanye hitimisho. pILI kumbuka katiba hiyo huanzisha vyombo na kuvipa mamlaka MBALIMbali , je umesoma mamlaka zake.
CDM ina watu waliobobea katika sheria haiwezekani suala hili likafanyika bila kuwa na kipengele katika katiba kinachoruhus hilo.
nina mashaka kama una katiba ya cdm unayo ya zamani, ebu waombe wakupatie nakala halisi inayotumika sasa hivi, uilete jamvini, tuidownload kisha tuisome na kukujibu kama wadau wengine wapenda maendeleo
no research no right to speak
CHADEMA started as a docile NGO.
Started by ZeMarcopolo, 7th June 2008
CHADEMA kisisikilizwe tena!
Started by ZeMarcopolo, 19th January 2011
CHADEMA hawana mkakati; endeleeni na shughuli zenu
Started by ZeMarcopolo, 9th November 2010
CHADEMA walikuwa CCM-B kabla ya CUF.
Started by ZeMarcopolo, 25th November 2010
Mbowe for presidency 2015?
Started by ZeMarcopolo, 11th November 2010
Vyama vya siasa feki Tanzania...
Started by ZeMarcopolo, 3rd June 2008
Una kipengele unachojua kimeruhusu au unatumia nadharia tu? Ongea kwa evidence...