CHADEMA imezindua Mkakati wa Kuwatetea Lowassa,Rostam na Chenge!

bado sio kwamba ccm imeweza kuwaondoa, kwa sasa bado haijafanya loote la kutirudishia imani wnanchi,
hzo za akina nnauye na chiligati pamoja wilson mkama ni nguvu za soda ambazo hata JK alipoingia kwa kiti zilitufariji mno.

hapa tunataka vitendo ndo tukubalimabadiliko.
 
slaa yeye mwenyewe fisadi. Nendeni kwenye kamusi ya kiswahili tafuteni nini maana ya neno fisadi , utakuta imeandikwa ' ni mtu anae chukua wake za watu'

kama hiyo ndiyo maana halisi, ccm wanaposema rostam, chenge na lowasa ni mafisadi, hawa jamaa wametembea na mke wa nani ccm hadi mnawalazimisha kujiuzulu cc na nec?

Pili josephine ana uhuru wa kumchagua ampendaye. Na ana uhuru wa kubadilisha maamuzi yake na sheria zinaruhusu. Kama mshumbuzi anampenda slaa kwa sasa ni halali kisheria na hakuna mahakama itamtia hatiani na mtu yeyote akiwapo aliyewahi kumwoa kabla - kama yupo kikweli hawezi kumshtaki dr slaa. Vinginevyo mwambie aende halafu aone
.
Ndugu yangu ndoa ni upendo. Ni hiari ya watu wawili wanaoishi pamoja kwa kupendana. Mmoja wao akigoma it is the end of the story. No more. Hakuna mtu yo yote chini jua wala serikali au dini italizimisha hilo.
Kwa hiyo, dr slaa kuwa na mshumbuzi siyo ufisadi hata kwa tafsiri yako iliyopitwa na wakati na wala hajavunja sheria yo yote, period.
 
Mambo yote haya hayana maana kama mtanzania wa kawaida anaeishi chini ya dola moja hatakomboka!!!!
 
Back
Top Bottom