CHADEMA imezindua Mkakati wa Kuwatetea Lowassa,Rostam na Chenge!

Slaa yeye mwenyewe fisadi. nendeni kwenye kamusi ya kiswahili tafuteni nini maana ya neno fisadi , utakuta imeandikwa ' ni mtu anae chukua wake za watu'

Huyu ameathirika na uwendawazimu wa Makamba, mwamsheni usingizini huenda anajuwa Makamba bado ni katibu mkuu wao huko chama cha magamba.
 
Chama Cha Demoktasia na maendeleo kimejikuta kikitetea mafisadi ambao CCM imetangaza kuwatosa! Chadema badala ya kubeza kwa miaka mingi kuwa CCM haina ubavu juu ya mafisadi hao sasa haiamini kile kinachotokea na badala yake wameanzisha mkakati wa kusema Mafisadi hao wana onewa! Pia wamekua wakisema siku zote CCM ilikua wapi kuwatimua! Lakini ikumbukwe kitendo cha Kikwete kwenda kuwa nadi watuhumiwa hao majimboni mwao Chadema ili pata agenda kwa mgombea wao wa Urais Dr Slaa kusema CCM inakumbatia mafisadi! Chadema kusema siku zote CCM ilikua wapi kuwatimua mafisadi wanatoa fursa ya kuwatetea mafisadi! Kwa hili nasimama upande wa CCM kuwaunga mkono kwa hatua hii ya kupambana na Ufisadi! Pia naona suala la Ufisadi iwe vita ya Utaifa na sio Chama kimoja cha siasa,naona Chadema ina hisi imenyang'anywa agenda ya Ufisadi na CCM! Leo gazeti la Tanzania daima linalo milikiwa na Mbowe nimeonesha taswira ya Chadema kuwatetea mafisadi hao kama CCM ina waonea! Hata JF nayo imegawanyika kwa baadhi ya wajumbe kubeza juhudi za CCM lakini kubwa ni chuki tu walio nayo kwa CCM bila kujali hatua hii mhimu ya kupambana na ufisadi. Na wengine wanasema CCM itagwanyika,jambo ambalo kwa utalaamu wa kisiasa kundi hili la akina lowassa,Rostam na Chenge lina nuka kwa jamii hivyo hawana ujanja wa kukubalika iwe kuanzisha chama au kuhamia vyama vingine!

My take: chadema iwe makini na jambo hili lasivyo itaonesha taswira ya yake kwa umma!

Chadema waunge mkono hatua ya CCM ili halafu iweje?
 
Kati ya wapumbafu walioko CCM wewe mtoa hoja uliweka bandiko hili ni namba moja..... mjinga mkubwa wewe
 
Kama CCM imejaribu kufanya jambo ambalo linalenga kuleta muafaka wa kijamii, kwa nini isipongeze kwa hatua hiyo? Kama tutaamua kujivalisha unafiki na kujitia upofu wa kutoona jambo ambalo lipo dhahiri sidhani kama tutafika kule ambak tumekuwekea matamanio ya siku moja kukufikia.
Sidhani kama miongoni mwetu kuna mtu aliemsafi kwa kiwango kinachohitajika, na sielewi ni gauge ipi tunaitumia kupima na kuwapata watu wale tunaodhani kuwa ni wasafi.
Kuna watu wamejichagulia tabia ya kupinga kila kitu kifanywacho na watu walio upande wasio utaka wao, hapo tutakuwa hatujifunzi kitu wala hatujiandaa na mafanikio ya baadae, ieleweke kuwa CCM peke yake bila ushirikiano toka kwa watu walio na itikadi ya vyama vingine haiwezi kuongoza nchi hii, vivyo kwa CDM, sasa sioni kwanini tusijengee ustaarabu katika kukosoana na kushaurina, badala yake tunajikita katika kudharirishana na kutiana maudhi, mbinu ambayo hutumika pale ambapo malengo ni kuangamizana na si kusaidiana kurekebishana.
Tuache tabia ya kubuni na kuunga unga taarifa ambazo mwisho wake ni kuchafuana kusiko na tija, kama wote lengo letu ni kusimama kama taifa moja imara katika nyanja zote za kijamii, yatupasa tushirikiane, tuwe wazi kiutambuzi kuwa pamoja na kelele zote CDM pia wana nafasi kubwa ya kushindwa kutimiza au kuyafanyia kazi yale wanayoyaahidi kwa wananchi kama vile ambavyo CCM inavyoshindwa.
Tuwe wakweli na kutambua mchango wa kila kundi katika kuijenga nchi yetu. Hakuna kundi la malaika miongoni mwetu, makundi yote yanaundwa na raia/binaadam dhaifu wenye mioyo na miili yenye asili na tabia za umimi, uchoyo, majivuno, tamaa, ubaguzzi,dharau,kukata tamaa, chuki,kuzaliwa, kuumwa kuishi na kufa.
Kama kuna watu wa kundi au chama fulani kinaundwa na watu wasio na tabia nilizozitaja hapo juu na wajitokeze.

Inaonekana una damu ya kifisadi.
 
Una akili iliyo na ufisadi
 
chama cha demoktasia na maendeleo kimejikuta kikitetea mafisadi ambao ccm imetangaza kuwatosa! Chadema badala ya kubeza kwa miaka mingi kuwa ccm haina ubavu juu ya mafisadi hao sasa haiamini kile kinachotokea na badala yake wameanzisha mkakati wa kusema mafisadi hao wana onewa! Pia wamekua wakisema siku zote ccm ilikua wapi kuwatimua! Lakini ikumbukwe kitendo cha kikwete kwenda kuwa nadi watuhumiwa hao majimboni mwao chadema ili pata agenda kwa mgombea wao wa urais dr slaa kusema ccm inakumbatia mafisadi! Chadema kusema siku zote ccm ilikua wapi kuwatimua mafisadi wanatoa fursa ya kuwatetea mafisadi! Kwa hili nasimama upande wa ccm kuwaunga mkono kwa hatua hii ya kupambana na ufisadi! Pia naona suala la ufisadi iwe vita ya utaifa na sio chama kimoja cha siasa,naona chadema ina hisi imenyang'anywa agenda ya ufisadi na ccm! Leo gazeti la tanzania daima linalo milikiwa na mbowe nimeonesha taswira ya chadema kuwatetea mafisadi hao kama ccm ina waonea! Hata jf nayo imegawanyika kwa baadhi ya wajumbe kubeza juhudi za ccm lakini kubwa ni chuki tu walio nayo kwa ccm bila kujali hatua hii mhimu ya kupambana na ufisadi. Na wengine wanasema ccm itagwanyika,jambo ambalo kwa utalaamu wa kisiasa kundi hili la akina lowassa,rostam na chenge lina nuka kwa jamii hivyo hawana ujanja wa kukubalika iwe kuanzisha chama au kuhamia vyama vingine!

My take: Chadema iwe makini na jambo hili lasivyo itaonesha taswira ya yake kwa umma!

what are you talking about ... !!!!

What are you trying to inplant into cdm which its nt there intention at all..!!

Honestly you are not in any position to warn anything against cdm cause that isnt from your heart... Are you serious about this??

Slaa yeye mwenyewe fisadi. nendeni kwenye kamusi ya kiswahili tafuteni nini maana ya neno fisadi , utakuta imeandikwa ' ni mtu anae chukua wake za watu'

Mhhh nashukuru hiyo quotation yako hapo juu inaonyesha upeo wa IQ yako. Kidumu chama cha magamba!!!!!!!!!!!
 
Slaa yeye mwenyewe fisadi. nendeni kwenye kamusi ya kiswahili tafuteni nini maana ya neno fisadi , utakuta imeandikwa ' ni mtu anae chukua wake za watu'

Mkuu naona unakuwa kana kwamba wewe unaishi ndani ya mtungi badala ya katika jamii ya watanzania, katika kiswahili kama ulipata elimu angalau ya sekondari kuna kitu kinaitwa misimu na misemo, hivi hutokea na watu wengi hujua maana yake hata kama maana halisi si hiyo unayoijua kitaalam, kuna maneno kama mchicha, mchuzi, uwezo, au demu, ngai, mchuchu, sungura, pumziko ets, haya yote yana maana yake na yanaeleweka kwa jamii. Kama wewe leo huelewi maana ya ufisadi basi ninaweza sema kuwa wewe unaingizwa ndani ya gari na kupakatiwa kwenye kiti nikiwa nina maana hiyohiyo ya kwenye kamusi.
 
MUNGU asema yule awaambiaye watu wawe wahaki na yeye mwenyewe akatenda udhalimu huyo siye wangu hata akiitwa kwa jina langu si wakwangu 2 ulimi nimeukusudia kwa kumbukumbu yangu msiunajisi kwa ukashifu.kama moto wa nafsi ukiwashinda kumbukeni makosa yenu wenyewe na siyo makosa ya viumbe wangu kwa kuwa kila mmoja wenu anaijuwa nafsi yake mwenyewe zaidi kuliko anavyowajuwa wengine.tukumbushane jee? Tunavowafukuza mafisadi tunao baki ni wasafi na tunao wasema mafisadi ni wasafi nakama sio tujisafishe kwanza au tuhame wote wabaki wasafi
 
Kama CCM imejaribu kufanya jambo ambalo linalenga kuleta muafaka wa kijamii, kwa nini isipongeze kwa hatua hiyo? Kama tutaamua kujivalisha unafiki na kujitia upofu wa kutoona jambo ambalo lipo dhahiri sidhani kama tutafika kule ambak tumekuwekea matamanio ya siku moja kukufikia.
Sidhani kama miongoni mwetu kuna mtu aliemsafi kwa kiwango kinachohitajika, na sielewi ni gauge ipi tunaitumia kupima na kuwapata watu wale tunaodhani kuwa ni wasafi.
Kuna watu wamejichagulia tabia ya kupinga kila kitu kifanywacho na watu walio upande wasio utaka wao, hapo tutakuwa hatujifunzi kitu wala hatujiandaa na mafanikio ya baadae, ieleweke kuwa CCM peke yake bila ushirikiano toka kwa watu walio na itikadi ya vyama vingine haiwezi kuongoza nchi hii, vivyo kwa CDM, sasa sioni kwanini tusijengee ustaarabu katika kukosoana na kushaurina, badala yake tunajikita katika kudharirishana na kutiana maudhi, mbinu ambayo hutumika pale ambapo malengo ni kuangamizana na si kusaidiana kurekebishana.
Tuache tabia ya kubuni na kuunga unga taarifa ambazo mwisho wake ni kuchafuana kusiko na tija, kama wote lengo letu ni kusimama kama taifa moja imara katika nyanja zote za kijamii, yatupasa tushirikiane, tuwe wazi kiutambuzi kuwa pamoja na kelele zote CDM pia wana nafasi kubwa ya kushindwa kutimiza au kuyafanyia kazi yale wanayoyaahidi kwa wananchi kama vile ambavyo CCM inavyoshindwa.
Tuwe wakweli na kutambua mchango wa kila kundi katika kuijenga nchi yetu. Hakuna kundi la malaika miongoni mwetu, makundi yote yanaundwa na raia/binaadam dhaifu wenye mioyo na miili yenye asili na tabia za umimi, uchoyo, majivuno, tamaa, ubaguzzi,dharau,kukata tamaa, chuki,kuzaliwa, kuumwa kuishi na kufa.
Kama kuna watu wa kundi au chama fulani kinaundwa na watu wasio na tabia nilizozitaja hapo juu na wajitokeze.
Mkuu:
nadhani kuna haja ya bongo yako kujivua gamba pia, maana inaonekana imelala na imepumbazika sana sana. wenzio tulikwisha amka zamani sana na sasa ni mwendo mbele.
Inaonekana hujui kama ambavyo baadhi ya wana ccm hawaju uwajibikaji wa chama tawala kinachoongoza serikali kwa wanachi. Unaposema ati kiungwe mkono kwa kuleta muafaka kwa jamii, kwa lipi?? wananchi tunataka kuona kodi zetu zinatumika kwa maendeleo ya nchi ktk miundombinu, afya, elimu n.k sas unapotaka wananchi ttungane, tumeungana sana huko nyuma, kwa sasa tumechoka, na hatudanganyiki na porojo zenu. Tuna mwamko na uelewa mpana sana. Tunasubiri kwa dhati kuliona lichichiemu likizikwa, then whoever takes be cdm, etc tutakuwa na moyo mpya.
Tunajua lichichiem lipo madarakani kwa nguvu ya uchakachuaji, na hata yanayotokea huenda ni laana ya kutuchakachulia kura zetu sisi walalahoi tuliokuwa tumedhamiria mabadiliko. Na laana hii mara hii acha iwapapure, mpka mnatuachia nchi. tunasubiri tamko la mapacha watatu.
 
Kviongozi wote wa polis wanao ongoza kamata kamata ni wahalifu na hilo haliwazui kukamata wahalifu!!!

Kazi ya kikwete ni kupambana na rushwa kubwa kama za akina rostam

tunataka awapeleke mahakamani akina rostam, lowasa na chenge na sio kuzungumza majukwaani!!!

Je mafisadi hawa wakihamia chadema watapokelewa????au vita ya ufisadi itakwisha
 
Lengo la slaa kuwataja akina lowasa ,rostam, na chenge ni nini???

Slaa alisikika akisema anataka mafisadi wote wapelekwe mahakamani!!!

Sasa nani wa kuwapeleka mafisadi mahakamani??

Lazima watu wawe na akili wasitumiwe na mafisadi kudhoofisha vita ya ufisadi!!!
 
really situation kujivua gamba kwa ccm ni kiinimacho cha kunusuru chama mwaka 2015, walengwa wakubwa wakiwa ni wale wananchi wa vijijini ambao baado wana upeo mdogo , ili waamini kuwa ccm imekuja na sura mpya kumbe ni kamchezo tu kamepangwa ndani ya chama baada ya kungatuka kuwa 2015 hata mjinga hatadanganyika, ila wangekuwa wajanja sasa hivi wangeibana serikali ilegeze gharama za maisha,kuzunguka nchi nzima na kujisifia kuvua ganda haimsaidii mwananchi,bali wanzidi kuunda mifumo mipya ya kifisadi
 
Aisee na kweli uchafu wa game zote ni BUFALO SOLDIER - BENJAMIN MKAPA haasa ndie amejafua nchi hii. Na JK ndie FISADI namba one anatakiwa avue gamba wenyewe kwanza ndio wenzake wa follow. Najua LOWASA atamanika uchi huyo swahiba wake JK asipo angalia vizuri kwa sababu JK is the source and backbone of all the FISADI. Aisee game hiyo ni taamu, tusubiri tuangalie.
 
Chama Cha Demoktasia na maendeleo kimejikuta kikitetea mafisadi ambao CCM imetangaza kuwatosa! Chadema badala ya kubeza kwa miaka mingi kuwa CCM haina ubavu juu ya mafisadi hao sasa haiamini kile kinachotokea na badala yake wameanzisha mkakati wa kusema Mafisadi hao wana onewa! Pia wamekua wakisema siku zote CCM ilikua wapi kuwatimua! Lakini ikumbukwe kitendo cha Kikwete kwenda kuwa nadi watuhumiwa hao majimboni mwao Chadema ili pata agenda kwa mgombea wao wa Urais Dr Slaa kusema CCM inakumbatia mafisadi! Chadema kusema siku zote CCM ilikua wapi kuwatimua mafisadi wanatoa fursa ya kuwatetea mafisadi! Kwa hili nasimama upande wa CCM kuwaunga mkono kwa hatua hii ya kupambana na Ufisadi! Pia naona suala la Ufisadi iwe vita ya Utaifa na sio Chama kimoja cha siasa,naona Chadema ina hisi imenyang'anywa agenda ya Ufisadi na CCM! Leo gazeti la Tanzania daima linalo milikiwa na Mbowe nimeonesha taswira ya Chadema kuwatetea mafisadi hao kama CCM ina waonea! Hata JF nayo imegawanyika kwa baadhi ya wajumbe kubeza juhudi za CCM lakini kubwa ni chuki tu walio nayo kwa CCM bila kujali hatua hii mhimu ya kupambana na ufisadi. Na wengine wanasema CCM itagwanyika,jambo ambalo kwa utalaamu wa kisiasa kundi hili la akina lowassa,Rostam na Chenge lina nuka kwa jamii hivyo hawana ujanja wa kukubalika iwe kuanzisha chama au kuhamia vyama vingine!

My take: chadema iwe makini na jambo hili lasivyo itaonesha taswira ya yake kwa umma!

Dk. Slaa afichua mabilioni ya Rostam
• Asema anapokea bil. 280/- kwa mwaka, ataka akamatwe

na Joseph Senga

amka2.gif

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuchunguza mapato ya Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (CCM), kwa kile alichodai yana uhusiano mkubwa na ufisadi.

Dk. Slaa aliyasema hayo juzi jioni katika mkutano wake mjini Igunga, mkoani Tabora katika mwendelezo wa ziara zake.

Alisema mapato ya Rostam kwa mwaka yanafikia sh bilioni 280, hivyo TAKUKURU haina budi kumkamata na kumchunguza kwani aliwahi kutangaza kuwa hana shida ya kuwa kiongozi au kung’ang’ania madaraka yoyote, kwani pesa alizonazo zinamtosha.

Kwa mujibu wa Dk. Slaa, ikiwa TAKUKURU haitamchukulia hatua Rostam, atawashawishi wananchi kutotoa ushirikiano wowote kwa taasisi hiyo ikiwa ni pamoja na kuwazomea maofisa wake kila wanapowaona.
Akifafanua tuhuma hizo za ufisadi, alisema kuwa kati ya makampuni 17 yanayosemekana kuwa ni ya Rostam hakuna jina lake hata moja.

Alisema kama Rais Jakaya Kikwete angekuwa na nia ya kweli angemshirikisha kuwakamata mafisadi badala ya kuwapa siku 90 kuondoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kwa mujibu wa Dk. Slaa, ikiwa Kikwete amewapa mafisadi hao siku hizo kuondoka ndani ya chama pamoja na kuachia ubunge, naye hana budi kujipa siku hizo, kwani naye ni fisadi.

Alisema kujitokeza kwa mmiliki wa Dowans Brigedia Jenerali (mstaafu), Sulaiman Mohammed Yahya Al Adawi, ulikuwa ni usanii wa picha ya Rostam kwani baadaye ndiye atakayelipwa fedha hizo za Dowans.

Alisema CHADEMA haitakubali fedha hizo zilipwe na kwamba itaitisha maandamano nchi nzima kupinga.
Dk. Slaa alisema ufisadi mwingine wa serikali katika sakata hilo la Dowans ni serikali kuweka mawakili watatu kinyemela na kupanga kuwalipa sh bilioni tano.

“Nilimtaja Rostam kuwa ni mmoja wa mafisadi kule Mwembeyanga, naye alinitumia vitisho kwa ujumbe mfupi kuwa nina sekunde chache za kuishi hivyo nipige magoti, nisali. Nilimjibu na nasema …nilizaliwa siku moja na nitakufa siku moja, sitaogopa kusema ukweli,” alisema Dk. Slaa.

Katika hatua nyingine, Dk. Slaa alisema moto uliowashwa na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA) umeifanya serikali ya CCM akiwamo Rais Jakaya Kikwete kushindwa kulala.

Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Ikungi katika Jimbo la Singida Mashariki jana aliposimama kuwasalimia wakati akitokea Singida kuelekea Dar es Salaam, Dk. Slaa alisema Lissu ni mbunge jasiri katika Bunge ambaye amediriki kumnyooshea kidole hata Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema.

Katika hotuba yake hiyo alisema wananchi hawana imani tena na serikali ya Jakaya Kikwete na kama atafanya mchezo hataweza kurudisha imani hiyo wala kumaliza kipindi chake cha utawala.

Alisema mambo mengi yamejitokeza ambayo yamesababisha wananchi kukosa imani naye, yakiwamo ya ufisadi unaofanywa na yeye mwenyewe pamoja na watu walio karibu naye. “Wananchi wanaona yanayofanyika, mtoto wa rais, Ridhiwani Kikwete, amemaliza shule hivi karibuni lakini leo ni bilionea. Haya yote hayawezi kuvumilika hata kidogo.”
Akiwashukuru wananchi wa kijiji hicho, Dk. Slaa alisema si tu kwamba wamemchagua mbunge wa Jimbo la Singida, bali ni mbunge wa nchi nzima na kwamba ni nyundo itakayotumika kuwaponda CCM.

Akizungumzia suala la CCM kujivua gamba, alisema neno fisadi alilianzisha yeye na chama chake na kwamba anayepaswa kujivua gamba hilo ni Kikwete halafu awavue wengine.

h.sep3.gif

juu
 
Mlengo wa Kati,
Utake usitake
i) CCM imechelewa kuchukua hatua kinachofanyika ni usanii tu. Kuwapa siku 90 wajivue wenyewe?
2) Wakijivua CCM ndio hela yetu iliyotafunwa katika ufisadi huo itarudi?
3) Kama ni Wachafu ndani ya CCM ndio wasafi kushika nafasi za Kiserikali na kuwa wawakilishi wa wananchi? Pick up courage.
4) Chadema hatumumunyo Maneno. Tulipotamkas List of Shame Mwembe Yanga, 15th September, kwenye Listi hiyo alikuwemo pia JK. Ndio maana tulimpa naye siku 90, kama wameogopa kumpa muda, sisi hatumwogopi, kwa kuwa Rais ni mwajiriwa wa Wananchi. Aonyeshe njia na Mfano. Hii ndiyo hoja. Kwa Taarifa yako Gazeti la Tanzania Daima siyo la Chadema, na haibebi Tahriri ya Chadema. Linamilikwa na Kampuni, na Kampuni hiyo haina uhusiano na Chadema.

Back
Top Bottom