CHADEMA imepatwa na nini, njooni tujadili tukiamshe hiki Chama Pendwa

Vicent Kagabu

Member
Sep 14, 2022
11
23
Kila mtu ajipe muda aende Makao Makuu CHADEMA siku za kazi, atakachokiona kama ni mpenda mabadiliko anaweza kulia. Nje pale Kuna walinzi wawili na anaweza kuwepo Afisa mmoja tu mara nyingi anakuwepo Kamanda Mashuve au Meshack au Remigius.

Ni ngumu sana kuwakuwa wakurugenzi au kumkuta Katibu Mkuu mwenyewe au manaibu wake. Kwa kifupi unaweza kuhisi labda haujaenda CHADEMA ni kama vile upo Ofisi za UDP, ACT, au TLP. Ile CHADEMA ambayo unaijua Kichwani mwako haipo kabisa. Hii inaumiza sana

Mbali na hilo CHADEMA kimekuwa kikisua sua sana kwa sasa hasa kwenye kufanya Maamuzi ya Utekelezaji wa Katiba hususani kuziba nafasi zilizowazi pamoja na kutekeleza Maamuzi ya Vikao vya juu vya Chama kama Baraza Kuu. Turejee mifano michache. Kwa mfano

Baraza Kuu la Chama 2019 liliazimia zifanyike Chaguzi za Mabaraza za Kanda. Lakini mpaka leo hazijafanyika Mnyika amepwaya sana. Ni Kiongozi mzuri lakini sio mtendaji kabisa. In short hafai kabisa kuwa Katibu Mkuu

Hata BAVICHA baada ya Nusrat kuondoka wameshindwa kufanya Uchaguzi kwa mujibu wa Katiba tokea 2020 baada ya usaliti wa Nusrat mpk Leo nafasi inakaimiwa na Naibu Katibu Mkuu BAVICHA.

Hata ukienda BAWACHA Hali ni ileile nafasi ya M/kiti bado inakaimiwa.
Sisi tunaokipenda Chama ndio tunaumia. Ukienda pale Ofisini Makao Makuu ya Chama sasa hivi hakuna mtu na wakati hiki ndio Chama pekee kilichobeba matumani ya watanzania lakini kila mmoja afanye survey aende Makao Makuu ya CHADEMA siku za kazi halafu atakuwa walinzi wawili labda na Afisa mmoja.

Haya mambo yanasikitisha sana. Tukiamshe Chama chetu.

Mwenyekiti wetu Pendwa Mhe. Mbowe amka baba wakurugenzi warudi Ofisini na Katibu Mkuu afanye kazi za Utendaji za Chama kila siku. Otherwise yafanyike mabadiliko makubwa bila kuoneana haya. Tofauti na hivyo hii Brand itapotea kabisa Hali ni mbaya sana
 
Hawapendagi kuambiwa ukweli, subiri kidogo uanze kuyaoga matusi. Wakikusamehe sana watakuita CCM na kukwambia ya CHADEMA waachie wenyewe.
 
Kila mtu ajipe muda aende Makao Makuu CHADEMA siku za kazi, atakachokiona kama ni mpenda mabadiliko anaweza kulia. Nje pale Kuna walinzi wawili na anaweza kuwepo Afisa mmoja tu mara nyingi anakuwepo Kamanda Mashuve au Meshack au Remigius. Ni ngumu sana kuwakuwa wakurugenzi au kumkuta Katibu Mkuu mwenyewe au manaibu wake. Kwa kifupi unaweza kuhisi labda haujaenda CHADEMA ni kama vile upo Ofisi za UDP, ACT, au TLP. Ile CHADEMA ambayo unaijua Kichwani mwako haipo kabisa. Hii inaumiza sana

Mbali na hilo CHADEMA kimekuwa kikisua sua sana kwa sasa hasa kwenye kufanya Maamuzi ya Utekelezaji wa Katiba hususani kuziba nafasi zilizowazi pamoja na kutekeleza Maamuzi ya Vikao vya juu vya Chama kama Baraza Kuu. Turejee mifano michache. Kwa mfano

Baraza Kuu la Chama 2019 liliazimia zifanyike Chaguzi za Mabaraza za Kanda. Lakini mpaka leo hazijafanyika Mnyika amepwaya sana. Ni Kiongozi mzuri lakini sio mtendaji kabisa. In short hafai kabisa kuwa Katibu Mkuu

Hata BAVICHA baada ya Nusrat kuondoka wameshindwa kufanya Uchaguzi kwa mujibu wa Katiba tokea 2020 baada ya usaliti wa Nusrat mpk Leo nafasi inakaimiwa na Naibu Katibu Mkuu BAVICHA.

Hata ukienda BAWACHA Hali ni ileile nafasi ya M/kiti bado inakaimiwa.
Sisi tunaokipenda Chama ndio tunaumia. Ukienda pale Ofisini Makao Makuu ya Chama sasa hivi hakuna mtu na wakati hiki ndio Chama pekee kilichobeba matumani ya watanzania lakini kila mmoja afanye survey aende Makao Makuu ya CHADEMA siku za kazi halafu atakuwa walinzi wawili labda na Afisa mmoja.

Haya mambo yanasikitisha sana. Tukiamshe Chama chetu.

Mwenyekiti wetu Pendwa Mhe. Mbowe amka baba wakurugenzi warudi Ofisini na Katibu Mkuu afanye kazi za Utendaji za Chama kila siku. Otherwise yafanyike mabadiliko makubwa bila kuoneana haya. Tofauti na hivyo hii Brand itapotea kabisa Hali ni mbaya sana
Inaumiza sana
 
Laana ya kumtukana kipenzi cha watanzania Magufuli inawatafuna.

Makamu mwenyekiti hataki kuachika Ubelgiji.
 
Sasa hamueleweki mnataka nini mnasema chama kimekufa lakini bado hampati usingizi, yaani maiti inawatesa hivi!
 
Back
Top Bottom