Chadema imara maradufu

CDM kushney sasa bado Ukawa nae siku zinahesabika.

Utafanikiwa kuua chadema kama ukifanikiwa kutoa roho watanganyika wote! Chadema iko mioyoni mwa watu tena wale ambao hawatakufa kesho wala keshokutwa. Ukitaka kuua chadema simply kill all Tanganyikans
 
Khaa!! Hii heading imenikumbusha mbali sana. Yule msemaji wa jeshi la iraq wakati wako vitani na majeshi ya marekani
 
Utafanikiwa kuua chadema kama ukifanikiwa kutoa roho watanganyika wote! Chadema iko mioyoni mwa watu tena wale ambao hawatakufa kesho wala keshokutwa. Ukitaka kuua chadema simply kill all Tanganyikans

Khaa!! Unajidanganya sana. Nani kakwambia chadema iko mioyoni mwa watz?? Mbona chalinze hata chopa haikuruka?? Ulevi wa viongozi wakuu wa cdm ndiyo umesababisha haya. Na laana iwashukie
 
kama huyo Zitto ameisha mbona hamuachi kumtaja humu kwa kila uzi mnaoposti? kinyaaaaaa.



Kadri adui zitto alivyoshindwa kutetea wananchi ktk mikataba ya madini na kushindwa kutaja wamiliki wa account za uswizi kutokana na umamluki wake ndivyo chama kinavyoimarika zaidi.....nafikiri mfa maji haachi kutapatapa km yona na wenzie walifukuzwa siku nyingi lkn wanajikomba....kwa kifupi hatuwataki nyie mamluki wa ccm.
 
Washabiki wengi wa CHADEMA wana walakini upstairs!

CDM kushney sasa bado Ukawa nae siku zinahesabika.

Chadema imechokwa haitakiwi tena watz, wamegundua ni genge la wasaka tonge

Akili yako ina utelezi na utando.

CCM imetumia Sh bilioni 3,659,000,000/ Kumpa ZITTO ili AIHUJUMU CHADEMA. Ebu fikiria:


  • Ikiwa kujenga DARASA 1 ina gharimu Tsh Milioni 10 vingejengwa vyumba vya Madarasa 365, sawa na Shule 45.
  • Kama zahanati 1 Itagharimu Tsh milioni 20 ingejenga Zahanati 182.
  • Ikiwa Kuchimba Kisima kimoja ni Tsh million 10 vingechimbwa visima 365.
  • Vocha 1 ya kilimo ina ghalimu Tsh 100,000/ Wakulima 36,590 wangepata vocha.
  • Kwa hali hii kweli ZITTO ni Mzalendo kwa nchi? je anafaa kuwa CHADEMA? TAFAKARI!
 
wanafiki hawatapata tena nafasi ya kupotosha hapa jf , tutahakikisha hampumui hapa , usaliti wenu pelekeni kwenye gazeti la uhuru .

Au sio KAMANDA???? Haaahaaahaaa wakati mwingine chadema naiona kama Al shaabab. Inajua kweli kweli namna ya kuwa brain wash wanachama wake.

Duh
 
Back
Top Bottom