Chadema imara maradufu

Gambabovu

JF-Expert Member
May 17, 2014
296
30
Kadri adui zitto alivyoshindwa kutetea wananchi ktk mikataba ya madini na kushindwa kutaja wamiliki wa account za uswizi kutokana na umamluki wake ndivyo chama kinavyoimarika zaidi.....nafikiri mfa maji haachi kutapatapa km yona na wenzie walifukuzwa siku nyingi lkn wanajikomba....kwa kifupi hatuwataki nyie mamluki wa ccm.
 
Chadema imechokwa haitakiwi tena watz, wamegundua ni genge la wasaka tonge
 
Mleta mada,pitia hapa ili ujielimishe bila gharama

Reality: CHADEMA imechokwa vibaya
Watu hawataki tena kusikia habari ya hiki chama. Wanasema kinachohubiriwa na viongozi wake sicho wanachoenenda,sicho wanachotekeleza.

Wanachukulia mfano wa jina tu la chama kuwa chama cha demokrasia,lakini ukiangalia kiuhalisia hakuna demokrasia zaidi ya ubaguzi,ukandamizaji wa mawazo huru,ubabe na kubinywa kwa fikra mbadala.

Wanasema mwanzo tulianza kudanganyika na zaidi kudanganyika huko kulichagizwa na makosa/mpasuko wa ndani ya CCM kuelekea 2010 ambapo CCM hawakuwa wamoja. Sasa habari iko tofauti.

kibaya zaidi chama kinachojiita cha kidemokrasia kinatumia muda mwingi majukwaani na mitandaoni kushambulia wenzao wa upinzani kwa kuwaita majina yote mabaya,

Je ni demokrasia au demoghasia hii? Kwamba kama juzi na jana CUF na NCCR Mageuzi walikuwa CCMB,matawi ya CCM na vibaraka wa CCM, leo ni wapenzi na ni wapinzani wa kweli itakuwaje jambo la ajabu kusikia kesho kuwa ACT - Tanzania ni washirika wa CHADEMA?ni wapinzani wa kweli? Hizi sio siasa za sizitaki mbichi hizi??

Wanasema anayeonja nyama ya mtu/ubaguzi haachi.atakula hadi ya mwanae wa kumzaa.

My take: Asiyesikia ushauri yatampata.Hakuna dhambi mbaya kama ubaguzi
ZeMarcopolo, Ninaweza and Simiyu Yetu like this.
"Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria" - Dr. Slaa
 
Andishi refu lakini uharo mtupu na nimekujibu bila kulisoma.Mtahangaika sana,CDM kiboko ya magamba na wahujumu uchumi
 
CDM imeendelea kuwa kimbilio la wanyonge,wenye kudhurumiwa haki zao na hii serikali dhalimu ya kifisadi.CDM ndio sauti ya wanyonge,tunaikubali na tutaiunga mkono katika chaguzi zote tukianza na huu wa serikali za mitaa.Viva CDM
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom