Chadema hawajakiuka maadili?

kama shujaa hata marehemu karume hakukaa 1 week

wewe si unaiga duh dini ya kiislam wenye dini waarabu huko unamjua Rafiki Hariri alikaa siku ngapi mpaka akazikwa?
wachovu wachovu wanazikwa siku hiyo hiyo lakini watu muhimu wanakaa hata wiki ili kutayarisha maombolezo n.k
 
dini ya kiislam sio ya kiarabu, ni yangu na wewe ndio maana hata waarabu wapo wakiristo. lkn kama ya kiarabu mbona viongozi wa Chadema wamebeba maiti yenye maandishi ya kiarabu. jee huyo ni mwarabu?
 
Kadhalika Hadiyth hiyo inajulisha umuhimu wa kumzika pale pale alipofariki maiti na si kumchelewesha kwa kumsafirisha eneo jingine au mji au nchi nyingine, kwani kufanya hivyo kutachelewesha kuzikwa maiti na hivyo kutagongana na maamrisho hayo ya kipenzi chetu.
Jaabir bin ‘Abdillaah (Radhiya Allaahu ‘anhuma) anasimulia:
“Katika vita vya Uhud Waislamu waliokufa walikuwa wakibebwa kupelekwa (katika makaburi ya) al-Baqiy’i. Lakini baadaye ikatangazwa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kaamrisha nyinyi kuzika waliokufa pale walipofia/walipouliwa. Hapo ni wakati ambao mama yangu alikuwa tayari keshaweka maiti ya baba yangu na mjomba wangu juu ya ngamia. Na hapo wakachukuliwa na kurudishwa kwenda kuzikwa kule walipouliza.” [Ahmad, Abu Daawuud na wengineo. Imethibitishwa usahihi wake na Shaykh al-Albaaniy katika Ahkaamul Janaaiz uk.25]
HUU NI UMUHIMU WA KUMZIKA MAITI MAPEMA

Ndugu 'Bitter-cassava' naona unataka kuchanganya mambo.. Kutokana na mazingira ambayo marehemu alipatwa na kifo, uchunguzi wa kina ulikuwa ukifanyika , haya ni mambo ya kipolisi. Huwezi kulazimisha kuchukua maiti yako kama Polisi wanafanyia uchunguzi. Ndio maana hata hii leo mtu akifia nje ya nchi ili kuurudisha mwili nyumbani inaweza kukuchukua hata wiki mbili. Kuna taratibu inabidi zifuatwe huwezi tuu lazimisha kwa kuwa dini yako inataka hivyo. Nadhani sasa umepata mwanga kidogo.
 
dini ya kiislam sio ya kiarabu, ni yangu na wewe ndio maana hata waarabu wapo wakiristo. lkn kama ya kiarabu mbona viongozi wa Chadema wamebeba maiti yenye maandishi ya kiarabu. jee huyo ni mwarabu?

wewe si unaiga toka kwa waarabu, dini yako wewe ni ya kienyeji ya kiafrika labda kama na wewe mwarabu
 
dini ya kiislam ni ya wote. kama ya kienyeji hiyo ni imani yako ndio maana hata chadema waliobeba mabegani maandishi ya kiislam ya mtu wa Arusha na wala uarabuni hapajui. lete hoja za msingi
 
Ndugu 'Bitter-cassava' naona unataka kuchanganya mambo.. Kutokana na mazingira ambayo marehemu alipatwa na kifo, uchunguzi wa kina ulikuwa ukifanyika , haya ni mambo ya kipolisi. Huwezi kulazimisha kuchukua maiti yako kama Polisi wanafanyia uchunguzi. Ndio maana hata hii leo mtu akifia nje ya nchi ili kuurudisha mwili nyumbani inaweza kukuchukua hata wiki mbili. Kuna taratibu inabidi zifuatwe huwezi tuu lazimisha kwa kuwa dini yako inataka hivyo. Nadhani sasa umepata mwanga kidogo.
sasa najua unataka utete uozo wa chadema, hata pemba waliokufa ni watu kupitia polisi. mwembechai nayo ni hivyo hivyo , sasa Chadema sijui wao walikuwa na nini hata marehemu acheleweshwe huku wa Pemba na mwembechai na hata maandamano ya waislam unguja 1983 yote yakiharakizwa
 
dini ya kiislam ni ya wote. kama ya kienyeji hiyo ni imani yako ndio maana hata chadema waliobeba mabegani maandishi ya kiislam ya mtu wa Arusha na wala uarabuni hapajui. lete hoja za msingi

CHADEMA wamembeba shujaaa akipigania ukombozi wa wan arusha umeona nyomi yake? au wewe ulikuwa kusherekea zenji
 
Nawauliza maiti ya Mtuikufu Dr. Rashidi Mfaume Kawawa iliwekwa ka siku ngapi kabla ya kuzikwa kwa heshima zote za kitaifa; na za dini ya Kiislamu na kifamilia? Tunawaomba hao wanaoiendeleza hii hoja ya kanuni za Uislamu katika swala hili waangalie pande zote! Mimi naamini kabisa hili swala la dini liachiliwe mbali.
 
kwa ninavyoijua Chadema inaweza ikaona swala hili dogo tu.

Ndugu yangu ninakushauri kama mmoja wa wachangiaji alivyoshauri

1. Swali hili ungewauliza ndugu wa marehemu
2.Shura ya maimamu

Sisi wengine wote hatutatoa jibu zuri kwako,
 
Nawauliza maiti ya Mtuikufu Dr. Rashidi Mfaume Kawawa iliwekwa ka siku ngapi kabla ya kuzikwa kwa heshima zote za kitaifa; na za dini ya Kiislamu na kifamilia? Tunawaomba hao wanaoiendeleza hii hoja ya kanuni za Uislamu katika swala hili waangalie pande zote! Mimi naamini kabisa hili swala la dini liachiliwe mbali.

haikuzidi 3 days. lkn hii ya chadema 8 days
 
Ndugu yangu ninakushauri kama mmoja wa wachangiaji alivyoshauri

1. Swali hili ungewauliza ndugu wa marehemu
2.Shura ya maimamu

Sisi wengine wote hatutatoa jibu zuri kwako,
umejaribu kujibu. lkn hapa hoja jee chadema hawakwenda kuomba ushauri kwa wahusika? hawaigi kwa vyama vyengine vya siasa hasa kwa mambo haya ya imani?
 
Nawauliza maiti ya Mtuikufu Dr. Rashidi Mfaume Kawawa iliwekwa ka siku ngapi kabla ya kuzikwa kwa heshima zote za kitaifa; na za dini ya Kiislamu na kifamilia? Tunawaomba hao wanaoiendeleza hii hoja ya kanuni za Uislamu katika swala hili waangalie pande zote! Mimi naamini kabisa hili swala la dini liachiliwe mbali.

huwezi kuliacha. mara yatafika mkiristo hamna kusaliwa kanisani.
 
cimg4526.jpg
 
umejaribu kujibu. lkn hapa hoja jee chadema hawakwenda kuomba ushauri kwa wahusika? hawaigi kwa vyama vyengine vya siasa hasa kwa mambo haya ya imani?
Kwa hili sina uhakika, ila ninaamini viongozi walikuwa na mawasiliano ya karibu na ndugu wa wafiwa, na ndugu hawa waliridhia marehemu waagwe pamoja kwenye halaiki

Sidhani kama katika kusign kutoa mwili ndugu wa familia hakuhusiswhwa,

Vilevile kuna waislamu na wakristo wanaofariki na kuzikwa kwao kunagubikwa na mizozo ya mahakamani pande mbili zikigombea kuzika, kisha akishinda muislam au mkristo ndipo marehemu anazikwa kwa taratibu za dini ambayo imeshinda kesi, nimeshuhudia maiti zikiwa mortuary zaidi ya wiki2 kesi ikinguruma kisha kuzikwa kiislamu,

Vilevile mazingira ya vifo vya ndugu hawa yaligubikwa na utata fulani, nahisi ndio sababu ya ucheleweshwaji

Uwe na amani ndugu, kama CDM wamekosea ni sahihi kukiri udhaifu ila sio intentional
 
Back
Top Bottom