GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Watu wengine huwa mnawashwa kuandika chochote hata hakina miguu wala kichwa mara ngapi tumeaga miili ya waislam iliyokaa kwa motuali kwa muda mrefu Kawawa alikaa siku ngapi mbona hukuwalaumu CCM kuchelewesha na kuufanyia maonesho mwli wake.
Utaratibu unasemaje ? Unakumbuka marehemu makamu wa Rais Dr. Omari Ali Juma mazishi yake ? yalifanyika haraka na wala hakukuwa na maonyesho huo ndio utaratibu. Kama mwenzako anakosea na ww ndio ukosee? kweli CHADEMA si watu makini